Recent content by Click_and_go

  1. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Ombi la kunikaribisha

    Ak the t I zx wi#I wI do should sll seewew xxwwsxxwzxsss2s2unn6nng
  2. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Ombi la kunikaribisha

    No Korean
  3. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Muhimbili madaktari watimuliwa

    serikali inafanya mchezo wa paka na panya!
  4. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Mkumba: Wenye uchungu wa kuikomboa nchi waende wakazae!

    wapuuzi hawa, bungeni wanaenda kuongelea maswala ya namna hii??
  5. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!

    kama ndo hivi where are we heading to???? TANZANIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
  6. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

    :shock::shock:DUH! NENDA KAFIKIRIE UPYA KAMA NA HILI KWAKO NI GENI!!! :shock::shock:
  7. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    ....hivi hawa viongozi wanatuona sisi wapumbavu kiasi hiki!!!!! I long for the day when all citizens will know their rights and responsilbility na hawa wachache wanaodhani kila siku ni ijumaa watajua!!!
  8. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yavuna 960 kutoka CCM Arusha

    Malaria Sugu.
  9. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania IN PICTURES LIVE TOKA KARIMJEE - Buriani Dada Regia Mtema

    ahsante mkuu kwa picha.
  10. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Help: What do i consider when i want to buy a new car??

    Hello JF, I want to purchase a new car,,,please help me understand what I should consider before buying a car and the best companies which can help me achieve that.
  11. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: ILi kumuezi dada Regia kiti chake apewe pacha wake

    ni wazo zuri bt nadhani tuache system ifanye mchakato na waje na pendekezo la mwisho.
  12. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania Dakika 45 ITV: Jobu Ndugai apasua siri jinsi nchi inavyofilisiwa na serikali iliyoko madarakani

    hata kama kuna mihimili mingine ya serikali ambayo inakula pesa zaidi ya wabunge lakini dhambi ni dhambi tuuu, hakuna cha ndogo wala kubwa,,,,so tuanzie na wabunge alafu tutaendelea na hao wengine!
  13. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania daladala laivu by Nathan Mpangala

    true story!!!
  14. Click_and_go

    JamiiForums Tanzania mwenyewe anajiona mjanjaaa....!!!

    huyu balaaa!
Back
Top Bottom