Kufuatia mateso kwa Dr Ulimboka, vyumba vya maiti nao wagoma!

Ntakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa aliyotendewa Ulimboka yametendwa na serikali/polisi. Naomba Mungu amlaani sasa hivi na amuondoe duniani, yeyote aliyepanga na kutekeleza uovu huu dhidi ya Dr Ulimboka.
Well-said
 
Tanzania yetu!!! Yaani viongozi wetu wanatengeneza giza mbele bila sababu yoyote ya msingi! Hivi hawa watu hawajui yaliyo tokea kwa wenzetu yalianza hivi hivi kama mzaha lakini mwisho wake ukawa mbaya mno kwa raia na wao pia! Eeh Mungu tuepusha na hili balaa mbeye yetu maana tayari mbele kuna giza!
 
Na lilaaniwe Jicho la huyo jangili lililomuona Dr. Ulimboka, Ulaaniwe usafiri uliotumika kumfuata alipo Dr. Ulimboka, Ulaaniwe mguu uliompeleka huyo jangili kumdhuru Dr. Ulimboka, Ilaaaniwe silaha yoyote iliyoinuka kumdhuru Dr. Ulimboka na mwisho kilaaniwe kichwa kilichomtuma aliyehusika na unyama huu kwa namna yoyote ile, damu ya mtu asiye na hatia na iwe juu yake!

Na wote tuseme Aminaa....

Kama kweli umeitoa dua hii toka moyoni, yeye aliyemuumba Dr. Ulimboka amesikia na atajibu ndani ya siku 7.
 
Walimu ambao wanamshahara mkia wa mbuzi nao wagome? kisha askari mwishiwe JWTZ kuasi enyi madaktari elimu hii muerehemewa na nani? mukigoma mwagomea raia wasio na hatia! kuweni na subra mutapata kilobora! Hivi huyo JK na PINDA wanatibiwa hizi huspitali vundo? M uhimu badilisheni systems SINA maana muchague CDM, CUF , NCCR AU kubadili mgombea CCM, mubadilike watawaliwa ndipo watawala wageuke! siasa za ukabila umajimbo na udini ndipoanapotupeleka hapa! huu ndio ukweli usawa kwa watanzani ni ndoto wako wanaofikiri nchi hii wanamilki yao! ylioyotoke misri sahauni kutokezea TZ, muhimili wa kuishika uko wapi? mazingira ya TZ na MASRI ni tofauti mno? tusijidanganye ukombozi wa TZ utaletwa na raia na sio chama chochote che siasa ambayo sera zao ni mithili ya manukato kwenye mizoga ya mauaji ya kimbari!
 
kwa hiyo mtu akifiwana mgonjwa wodini utaratibu gani utatumika.!
 
Huyu Ulimboka yaliyomkuta ni sawa kabisa. Anaanzisha mgomo wananchi wanakufa kama utitiri. Waliompiga nawapongeza, ntaka wawatafute na Kina Ulimboka wengine wawafanyizie effectively. Hatuwezi kuua watu kibao kwa sababu ya maslahi ya wachache. Piga tena hawa wapuuzi.
 
Matokeo hayo yawatoa hudumakuanza kugomazaidi yanategemewa maana kila mmoja anasilaha sasa wananchi ndo wenye kuathirika zaidi
 
Huyu Ulimboka yaliyomkuta ni sawa kabisa. Anaanzisha mgomo wananchi wanakufa kama utitiri. Waliompiga nawapongeza, ntaka wawatafute na Kina Ulimboka wengine wawafanyizie effectively. Hatuwezi kuua watu kibao kwa sababu ya maslahi ya wachache. Piga tena hawa wapuuzi.

Mkuu ID yako kama vile inalingana fikra zako! Sidhani kama mawazo yako yaweza kuleta suluhisho! Wakifanyiziwa ndo utapata faida gani? Je wananchi wataacha kufa au ndo watazidi kuangamia? Naamini bado kuna njia ya kupata suluhu kwa madai ya madaktari!
 
I Believe Mr Pinda was talking under intense pressure,is not that easy to tell public such unreconciliatory reponse
 
Wagome nchi nzima huyu mtalii arudi awasikilize ila nimeumia kutoka moyoni kwa hili Dr. Walivyo mfanyia.
 
huwa napata hasira ninapo sikia kale ka wimbo ka tanzaniaaa,,tanzaniaa nakupenda kwa moyo wote
 
Back
Top Bottom