Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,453
- 43,789
Nimetoa ushauri kwa CHADEMA.....Kwa nini kila wanachofanya ni kanda ya kaskazini tu????? Eleza hapa huo mpango ni wa visima vingapi na vinachimbwa wapi? au unasema tu ili kutetea UCHADEMA wako???
Hakuna mpango wa visima huyo anaropoka tu si hunajua tena Chadema-Kata..mwambie aeleze vizuri.