Habari wanajamvi,
Kuna jambo nimeona la kushangaza kidogo katika maonyesho haya ya sabasaba katika banda la Wizara ya Kilimo na Uvuvi, kuna sanamu ya huyu samaki anayeitwa coelacanth au silikanti ambaye ni aina ya samaki anayezaa badala ya kutaga mayai, na pia inasemekana ni jamii ya samaki...
Lipa deni...najua kabla ya wao kuja kufanya hiko walichokifanya walijaribu kuwasiliana na wewe kwa njia mbali mbali ikiwemo kukupa notice ya kulipa hilo deni la baba yako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Tpb bank ukaunganishwe na huduma ya Simu ya Tpb popote iko fast and reliable, na makato yake ni cheap,hakikisha unapata pia Atm zao ziko vzuri 24-7....sisumbukagi na maswala ya mtandao wala foleni ndefu.
Mpaka sasa nimesoma comments za wengi ila yako ina kitu cha tofauti...wito kwa vijana wanaosoma mavyuoni,anzeni kujishughulisha na ujasiriamali mkiwa bado mavyuoni,hata ukija kupata mshahara wa 1M hautotosha...mtaji usiwe kigezo, kitu kikubwa ni nia..ukiwa na nia, njia ya kupata mtaji...
Kwa sasa huko morogoro kama nataka kuanza kulima nianze kwa kulima zao gani ukizingatia na hali ya hewa ambayo ipo huko sasa....mimi ndo kwanza nataka kuanza ila nimekatishwa tamaa na mtu ambaye yupo huko anasema hali ya hewa kwa sasa haiko vizuri kwa kulima..plz wadau msaada hapa..
Inawezekana unachosema kikawa na ukweli ila tatizo njia uliyotumia inaweza ikawa sio ya kisomi ila majungu ya mitaani...umejaribu kuwa face supervisors wake??maana hii ni rahisi sana yeye kujitetea na kusema "jamaa nimemchukulia demu wake ndo maana kaamua kuniandika jf" si unatujua wabongo...
Jaman natanguliza shukrani kwa msaada, plz kama kuna mtu anajua ufumbuzi wa hili tatizo...maana ninachaji siku nzima lakini inaambulia kujaa 11% nkichaji via computer ndo kidogo inafika 42% na hapo imelala usiku mzima ndo inajaa hivyo, please help.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.