Azania tawi la arusha biashara imewashinda

Bigjahman

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
803
500
Tawi la Azania Arusha Mjini Limeharibika sana Kiasi kwamba wateja Wanaondoka.Kero kubwa sana ni afsa mikopo Muheshimiwa sana John,Afisa uyu amekuwa akitaka rushwa kubwa sana laki tano kwa wateja wanaochukua mikopo na hajali mteja anachukua kiasi kidogo mf million tano(5) au ata pungufu ya apo.Kama mteja atatoa kiasi kidogo ama mteja huyo hatakaa apewe mkopo katika bank iyo,anaifanya bank kama yake na inashaingaza kwanini uongozi haumchukulii hatua,unakuta mteja amechukua mkopo na marejesho hajasumbua hata siku moja kwahali ya kawaida na kwa maslahi ya ya bank mteja huyo anatakiwa kupewa mkopo lakini katika tawi hili hali ni tofauti kabisa.Kwa vile mikopo inatolewa kwa manufaa ya John afisa mikopo na mteja hukuwahi hongo basi hutapewa hela ata uombeje Uongozi akiwemo Manager wanafumbia macho vitendo hivi viovu dhidi ya biashara zetu wajasiria mali,Kinachoshangaza kwa vile malalamiko ni mengi je uongozi wa tawi na makaoo makuu hawajawahi kupata tetesi hizi?Kwanini huyu afisa anafumbiwa macho akiharibu biashara ya Bank?je anashirikiana na uongozi kugawana rushwa?na kwanini uongozi haufanyi follow up kwa wateja ambao ambao siio wasumbufu kwenye marejesho maana ingekuwa rahisi kutatua tatizo hili,Natoa wito kwa uongozi ulitatue tatizo kwa kumchukulia hatua za kinidham afisa huyu maana ashakuwa sumu hata kwa wafanyakazi waadilifu baraka,binafsi nilisha mreport takukuru Arusha kumchukulia hatua mda sasa,na naomba wateja tupewe wasaa wa kutoa ushahidi ilii tuonyeshe jinsi afisa huyu anavyotisha kwa Rushwa maana box la maoni pale halina msaada.Wasalamu wateja waaminifufu wa azania bank ambao uvumilivu umewashinda pia.
 
High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,138
2,000
Hayatuhusu mwambie yeye na siyo kuja kubwabwaja tu sasa ataelewaje kuwa ana tabia mbaya
 
Bigjahman

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
803
500
Hayatuhusu mwambie yeye na siyo kuja kubwabwaja tu sasa ataelewaje kuwa ana tabia mbaya
We ndo John nini mbona povu mkuu sana,soma iyo post uelewe mkuu acha uswahili,huyu mtu ni hatari sana kwenye biashara zetu.Azania pia ni hatari kwetu maana uyu John kwa matukio kama haya alifukuzwa NMB,why azania wanamlea?
 
chuma_cha_pua

Member
Sep 28, 2013
23
45
Inawezekana unachosema kikawa na ukweli ila tatizo njia uliyotumia inaweza ikawa sio ya kisomi ila majungu ya mitaani...umejaribu kuwa face supervisors wake??maana hii ni rahisi sana yeye kujitetea na kusema "jamaa nimemchukulia demu wake ndo maana kaamua kuniandika jf" si unatujua wabongo tulivyo...
 
Prince Hope

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
2,159
1,225
Tawi la Azania Arusha Mjini Limeharibika sana Kiasi kwamba wateja Wanaondoka.Kero kubwa sana ni afsa mikopo Muheshimiwa sana John,Afisa uyu amekuwa akitaka rushwa kubwa sana laki tano kwa wateja wanaochukua mikopo na hajali mteja anachukua kiasi kidogo mf million tano(5) au ata pungufu ya apo.Kama mteja atatoa kiasi kidogo ama mteja huyo hatakaa apewe mkopo katika bank iyo,anaifanya bank kama yake na inashaingaza kwanini uongozi haumchukulii hatua,unakuta mteja amechukua mkopo na marejesho hajasumbua hata siku moja kwahali ya kawaida na kwa maslahi ya ya bank mteja huyo anatakiwa kupewa mkopo lakini katika tawi hili hali ni tofauti kabisa.Kwa vile mikopo inatolewa kwa manufaa ya John afisa mikopo na mteja hukuwahi hongo basi hutapewa hela ata uombeje Uongozi akiwemo Manager wanafumbia macho vitendo hivi viovu dhidi ya biashara zetu wajasiria mali,Kinachoshangaza kwa vile malalamiko ni mengi je uongozi wa tawi na makaoo makuu hawajawahi kupata tetesi hizi?Kwanini huyu afisa anafumbiwa macho akiharibu biashara ya Bank?je anashirikiana na uongozi kugawana rushwa?na kwanini uongozi haufanyi follow up kwa wateja ambao ambao siio wasumbufu kwenye marejesho maana ingekuwa rahisi kutatua tatizo hili,Natoa wito kwa uongozi ulitatue tatizo kwa kumchukulia hatua za kinidham afisa huyu maana ashakuwa sumu hata kwa wafanyakazi waadilifu baraka,binafsi nilisha mreport takukuru Arusha kumchukulia hatua mda sasa,na naomba wateja tupewe wasaa wa kutoa ushahidi ilii tuonyeshe jinsi afisa huyu anavyotisha kwa Rushwa maana box la maoni pale halina msaada.Wasalamu wateja waaminifufu wa azania bank ambao uvumilivu umewashinda pia.

Inanikumbusha afisa mmoja wa NMB tawi la bunda! Milioni tu, anataka laki. Nashukuru walishamwondoa baada ya ku release millioni saba kwa dhamana ya kipisi cha ardhi! Sijui Afisa 'E' atakuwa wapi sasa hivi!
 
Bigjahman

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
803
500
Inawezekana unachosema kikawa na ukweli ila tatizo njia uliyotumia inaweza ikawa sio ya kisomi ila majungu ya mitaani...umejaribu kuwa face supervisors wake??maana hii ni rahisi sana yeye kujitetea na kusema "jamaa nimemchukulia demu wake ndo maana kaamua kuniandika jf" si unatujua wabongo tulivyo...
Mimi yamenikuta mkuu,nimepata hasara flani flani nimesha apply plan b,nnavyojua biashara kubwa ya bank ni mikopo kama ndio wakuu wake wafanye uchunguzi kidogo tu ukweli wataujua kama ni kanchukulia mwanamke au kweli jamaa ni fisadi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom