me nakataaa bana amna maajabu yyte kwan c wanashika na ayo ma vyuma yao wana wabana vichwa mengne yanaendlee me nachopenda ni wanavyo elezea tu aina za sumu za ao nyoka !
Bro unatkiwa uwe big thinker usz kumpa jina la ukoo wenu mtoto c wako ! Mama mtu yupo makin sana kwenye kumuoa cio sababu wala kuhudumia mtoto ndo umpe jina la kwenu ii c sawa kaka ! let's say una mtoto mama ake kaolewa afu jina lako kwa mtoto wako limekatwa anaitwa jina la baba mlezi io pain...
Nyie c mnaandika tu unacho jskia mnawaona wa nigeria kama wapumbavu, endleen tu kuomba aman ya nchi yenu ila yakiwafka ndo mtajua uchungu wa kumwaga dam, maandamano ayawez kuisha coz dam za ndgu zao zna mwaga na ndo hasira znzid na mkumbuke watu wenye roho ngumu kwenye hili bara ni Nigeria...
aaaaaaah ww we joti tangu liin ukamuona kaend fnya photoshoot studio na nguo za kike ata kama ayupo tunavoic ila dogo kazid sana kuigiza kidada io picha iende nch za watu watasema shoga na ukiweka oicha ya jot ya kike na za dulla za joti zmekaa ki comedy kbxa ss uyu jmaa daaaaah
Sent using...
daaaaah kwakwel watu wana idharau iran kinoma lolote linaweza kutokea! ata ikitokea marekani ikampiga iran naiman ata iran lazima imtikise kidgo
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.