Drake Vs Kendrick Lamar

May 16, 2020
88
95
Watu wa mziki tusaidiane kidogo labda mnaweza kunielewesha na nikaelewa zaidi.

Mara nyingi kila nikikutana na battle nani mkali kati ya Drake na Kendrick Lamar comment nyingi huwa zinakuwa kwa Kendrick Lamar.

Kwamba Kendrick Lamar ni zaidi ya Drake. Najiuliza how?

Kwa sababu namuona Drake anafanya vizuri zaidi akitoa Album zake zinasumbua sana kama Views,Scorpion n.k

Drake zile charts za Billboard anachezea kila akiachi ngoma zake.

Kwenye Spotify ndio kabisaa ngoma kama God Plan au One Dance zinazaidi ya Streaming bilion 1.6

Why Kendrick Lamar ni zaidi ya Drake? Au Drake hafanyi Hip Hop???
 
Hv n kweli bidhaa isiyo na ubora inaweza uzika kuliko ile yenye ubora...?
inshort naona kendrik ni bora ila Drake ni zaidi
 
Nikiwa fan wa Drake since day one enzi za Room for Improvement mpaka hii ya juzi Dark Lane Demo Tapes na pia ni fan wa Kendrick since anaitwa K.Dot, Section 8 mpaka DAMN.

Tofauti kubwa ya Drake na Kendrick ni quality ya music. Kenny since naanza kumsikiliza anafanya conscious rap/hip hop. Wadau wa hip hop mtakua mmenisoma the guy anakaza unapata burudani na knowledge mfano kama ulisikiliza To Pimp a Butterfly utanielewa.

Drake mwanzoni alikua anatoa ngoma conscious to some degree ila tangu ile mixtape 'If You're Reading this Its Too Late' imekua sio priority tena kuanzia Views mpaka Scorpion. Kwa kifupi amepoteza fan base ya hip hop na kugain wengine weeengi in the process, INGAWA amesema album yake itakayotoka summer itakua concise so lets wait and see.

Muziki wa Drake upo easy to digest na ana target audience kubwa ndo maana linapokuja swala la mafanikio ya kimziki as in sales, charts, awards Drake yupo juu ila linapokuja swala la impact katika jamii wa Kendrick upo levels za wa kina 2Pac, Nas, Jay Z etc. in short upo juu.

Drake is the biggest artist in the rap game ila Kenny ni Best rapper.
I enjoy music wa both so its all good.
 
Nikiwa fan wa Drake since day one enzi za Room for Improvement mpaka hii ya juzi Dark Lane Demo Tapes na pia ni fan wa Kendrick since anaitwa K.Dot, Section 8 mpaka DAMN.

Tofauti kubwa ya Drake na Kendrick ni quality ya music. Kenny since naanza kumsikiliza anafanya concise rap/hip hop. Wadau wa hip hop mtakua mmenisoma the guy anakaza unapata burudani na knowledge mfano kama ulisikiliza To Pimp a Butterfly utanielewa.

Drake mwanzoni alikua anatoa ngoma concise to some degree ila tangu If You're Reading this Its Too Late imekua sio priority tena kuanzia Views mpaka Scorpion. Kwa kifupi amepoteza fan base ya hip hop na kugain wengine weeengi in the process, INGAWA amesema album yake itakayotoka summer itakua concise so lets wait and see.

Muziki wa Drake upo easy to digest na ana target audience kubwa ndo maana linapokuja swala la mafanikio ya kimziki as in sales, charts, awards Drake yupo juu ila linapokuja swala la impact katika jamii wa Kendrick upo levels za wa kina 2Pac, Nas, Jay Z etc. in short upo juu.

Drake is the biggest artist in the rap game ila Kenny ni Best rapper.
I enjoy music wa both so its all good.
sema kingereza kingi kk lkn nimepata kitu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom