Recent content by christer

  1. C

    Wadau Sicle Cell inaniangamizia mtoto wangu msaada wa haraka jaman

    ni pm kuna ndugu yangu ana mtoto wa hivyo na atleast augui mara nyingi na asoma vizuri
  2. C

    Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    viongozi wenu wasomi ndiyo walio saini mikataba feki.wezi wakubwa.sasa ubunge unahitaji sifa gani kikatiba.ma prof walioko bungeni unadhani wanatumia elimu yao hata chembe? siasa wizi tu
  3. C

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    ni wiki 39 maximum.lakini anaweza kuzaliwa kuanzia wiki ya 36.toka mimba kutungwa
  4. C

    Tatizo la kupigwa na miayo mara kwa mara

    (hapo ukosefu wa oksijeni) mi niki kaa sehemu ya mkusanyiko napiga mihayo mpaka naona aibu.
  5. C

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    heshima kwenu wandugu. nini chanzo cha fungus katikati ya mapaja (mpakani mwa tool na paja) je fungus hizi zina uhusiano na magonjwa ya zinaa. nini tiba yake dawa na tabia(kama kuna vitu vya kufanya ili kuepuka) nategemea msaada wenu
  6. C

    Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

    we na mwenzio ndo mpige marufuku kwani lazima kuvaa
  7. C

    Kuitwa kwenye usaili Muhimbili

    nimetumiwa sms kuwa ni tar 17 feb written sasa sijui ni kweli au la maana nimeconfirm kwa sms pia.
  8. C

    Kukiss denda inaamasisha kufanya mapenzi

    denda kabiisa tena lenye maufundi aaah kama nafasi hairuhusu kila mtu anaondoka amechanganyikiwa
  9. C

    Josephine Mushumbuzi amfikisha kortini mumewe Mahimbo kudai talaka

    huyu mume wa josephine akae apumzike mke wako adi aondoke kwako akaishi na mume mwingine we ni bogus.na hawa ni wakristo sasa alivyo ona anatoka na mh ndo anamdai.je angesikia ameolewa manzese na mbeba mizigo angeshitaki? au angetoa talaka haraka.mke si mali kama shamba kufungua madai kwakua...
  10. C

    Hupi muda wa kuachama na mke au mme wako kisheria

    u una maanisha kuwa na uhusiano wa kinyumba?sijakupata vyema
  11. C

    Waziri Stephen Wassira :Ndani ya dakika 45 ITV sasa

    tatizo watangazaji wanaogopa kuuliza maswali ya maana wanatafuta yasiyo muudhi mh.alafu unakuta mwandishi hajui kama wasira alisha enda upinzani.tatizo wakisha feli shule ndo wanaenda uandishini.
  12. C

    Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

    mpatie mafuta ya samaki.kama ananyonya mnyonyeshe kwa wingi.mkamulie maji ya machungwa mpe.usipende kumpa dawa kwa umri huo.
Back
Top Bottom