daktari alienihudumia ni wa kiume wewe acha tu
wewe bwana unataka nijianike huku ato z bwana?hapo kweli ulikutana na changamoto. Huenda dkt kwa kupenda aonekane amekutibu alikurefer kwa wauguzi zikaondolewe hapohapo hosptalini bdala ya kukupa maelekezo ukajihudumia mwenyewe
mimi nimefurahi at least ulifika a-level na hata kuimaliza ukiwa salama. Kwa kuwa aibu ya nywere ilichangia katika usalama huo hali ilikuwaje baada ya wewe kupata uelewa?
Smile nimesahau matokeo ya 4m umepata four ya ngapi?
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu
nilikuwa la sita.
mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua kama zinanyolewa nikawa nipo nazo miaka inakata. nilipoenda a level boarding nikiwa naoga na wenzangu mimi nilikuwa sivui underwear maana nilikuwa naona siko normal nilikuwa nashangaa mbona wao hawana hzo nywele huko?
hata wanaume walikuwa wakinitongoza nilikuwa nakataa cause nilijua wataniona huku nio aibu nikapanga kwenda kwa daktari bwana ..................................wewe
nashindwa kumalizia mtanicheka sana huku
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana
hivi ukitongozwa ni lazima ufanywe?
my point ni vema mabinti waelezwe kuhusu mabadiliko katika miili yao live bwana