Hey doctors na wanajamii mi ni mwanafunzi wa chuo nasomea mba ila tatizo langu kila nikiwa darasani au najisomea natokwa na miayo sana tatizo ni nini? Ila nikiwa katika sehemu nyingine hata kama ni usiku vipi hili tatizo halijitokezi ila ikiwa kwenye masomo tu ni tatizo please naomba msaada wenu
asanteni sana
asanteni sana