Kukiss denda inaamasisha kufanya mapenzi

watu wengi wamekalili kukiss ndio moja wapo ya kukuamasisha kufanya mapenzi,lakini si kweli unaweza ukakaa na mpz wako mkakiss bila kufanya mapenzi.lakini kwa baadhi ya wabongo hawawezi.

Kumbuka safari moja inaanza nyingine
 
Mdomo umeumbwa maalumu kwa kuongea, kula chakula, kunywa maji au kutemea mate na makohozi pale unapokuwa unaumwa kikohozi. Haya matumizi mengine siyo matumizi rasmi na hayana tofauti na wanaotumia sehemu ya kutoa kinyesi kwa mambo yale mengine.
Duh! Hii kali!
 
bab vipi nimetoka facebook kufuata mambo kama haya halafu wewe unataka kuyapeperusha nipishane nayo siyo fresh bab!kama unaona siyo jitie jukwaa la siasa kaumize kichwa watu mapenzi ndo yanafanya tushine mjini.......

Is that for shizo?
 
Kama ni kiss kiss za kawaida tu hapo sawa, lakini denda......? Denda kabisa denda...,.? Liishe ivi ivi....mmh! Labda!!

denda kabiisa tena lenye maufundi aaah kama nafasi hairuhusu kila mtu anaondoka amechanganyikiwa
 
Denda is another level bwana hasa upewe na mtaalamu! Kwanza si la kutoa hovyo lazima uwe umeshadondoka halafu penzi likiwa ndo bichi balaa kama halijaenda next level lazima mtoke hapo kama huoni mbele lol..
 
Back
Top Bottom