Kuitwa kwenye usaili Muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuitwa kwenye usaili Muhimbili

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Man United, Feb 14, 2012.

 1. M

  Man United Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu kuna mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi ya uhasibu chuo kikuu cha muhimbili,je kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili? kwani ni miezi imepita sasa.
   
 2. A

  ABUMAN Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu mimi pia niliomba naona muda umepita sana,tena muhimbili na nssf zilifuatana naona wao wamechelewa sana ngoja tuwape tena muda.
   
 3. c

  christer Senior Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0  nimetumiwa sms kuwa ni tar 17 feb written sasa sijui ni kweli au la maana nimeconfirm kwa sms pia.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  poa mkuu.
   
 5. A

  ABUMAN Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu yaani Interview ni tar 17 feb,ila binafsi sijaipata hiyo sms ngoja tusubiri
   
 6. M

  Man United Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata dogo wangu naona katumiwa itakuwa ni kweli!
   
 7. A

  ABUMAN Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa maana hiyo ndio kusema kisichoriziki hakiliki ok,all the best wadau
   
Loading...