Recent content by choggo

  1. choggo

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Habari,mimi nina eneo ambalo kwa kipindi hiki cha mvua kwenye kona moja ukitembea unaona kama unatitia kiasi,nikamuuliza jirani akaniambia hali hiyo ni kwa juu tu,ukichimba ft 2 utakuta ardhi ngumu,jambo hili lina ukweli wowote au ndo nijipange kwa gharama kubwa kujenga msingi. Eneo lina mita 30...
  2. choggo

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Rushwa tupu,hakuna aliye msafi kwenye kinyang`anyiro hichi cha CCM.
  3. choggo

    JamiiForums Tanzania David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

    All the best
  4. choggo

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi......

    Kuwa JAMBAZI eboo!
  5. choggo

    JamiiForums Tanzania Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    wakaombe mwananchi wana vwango?
  6. choggo

    JamiiForums Tanzania Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

    Sasa hii tiss ya kwetu mbona inaonekana imekaa kichama zaidi au kwa ajili ya viongozi fulani fulani hivi,kuliko kujishughulisha na maslahi ya taifa la tanzania ndani ya nchi au popote yalipo duniani.
  7. choggo

    JamiiForums Tanzania Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Ahh napita tu naenda zangu
  8. choggo

    JamiiForums Tanzania JK kutangaza baraza la Mawaziri kesho

    Ikimpendeza atangaze na isipompendeza asubiri 2015 anaefuata atatangaza tu.
  9. choggo

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa Mochuari "amchimba mkwara" waziri

    Kwani yule Waziri aliyepata ajali ya ndege Mbeya alifia wapi?
  10. choggo

    JamiiForums Tanzania Mhudumu wa Mochuari "amchimba mkwara" waziri

    Nampongeza huyo mtumishi kwa kuwa muwazi kwa kiwango hicho,ni mfano wa kuigwa na watumishi wengine wawe wawazi pindi viongozi wanapotembelea maeneo yao ya kazi.
  11. choggo

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM Luhaga Mpina azomewa kwenye mkutano wa Aggrey Mwamri Meatu. Kamanda Mawazo anahusika.

    Waendelee kusubiri 2015 nchi nzima itakuwa ikiwazomea akina mpiina.
  12. choggo

    JamiiForums Tanzania My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    Ni bora ukatoe sadaka
  13. choggo

    JamiiForums Tanzania Kumtoa msichana ubikra ni fedheha na kichefuchefu au ni raha?

    Kama anayo bikra kaitoe lakini usijipe 100% linaweza kuwa changa hilo
  14. choggo

    JamiiForums Tanzania wanaume ! unene ni dili kumbe

    Nimetazama,yataka moyo
  15. choggo

    JamiiForums Tanzania Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    Huyo hakutakiwa hata kuwa mbunge kwa tiketi ya chadema,amejipambanua mno kuwa bado ana mapenzi ya dhati na ccm na hilo atalidhihirisha wakati ukifika 2015.
Back
Top Bottom