wanaume ! unene ni dili kumbe

wanaume ! unene ni dili kumbe

I wish ningekuwa mnene!! Nawaoneaje wivu na huu wembamba wangu!

Iku siku nitanona tu kudadadeki!
 
Full giza, hizi tamaduni zingine tabu sana! Haya watetezi wa tamaduni za mtu mweusi njooni huku mtetee watu kutembea uchi!
 
Mmhhh hatareeeeee...... Bongo ukiwa hivi eti ndiyo mambo safi!!!
 
Aise ukimuona mtu kapiga bonge la suti na cheni za goldi, buti ya bei kali............duh, kumbe ndani ndio yuko hivyo ?
 
Hiyo mijamaa ilivyo.....na jinsi imekaa uchi, wamenikera sana.

Dawa yao unaenda, unawapakia wote unaenda kuwaacha mombasa.....watazitafuta nguo zilipo.
 
Back
Top Bottom