Recent content by Choga Cosmasy

  1. Choga Cosmasy

    Woga ni dalili ya kufilisika

    “ Wananchi wakiamua kufanya kitu katika nchi yao kwa asilimia 100 serikali, na taasisi zake zote, haitaweza kuwazuia. Kwa sababu, mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.
  2. Choga Cosmasy

    TFF kuwatia nguvuni washabiki wa Yanga watakaobeba mabango kuikashifu serikali kesho dhidi ya Ngaya

    Mkuu hapa kama umetupotosha sio mashabiki wa yanga ni mashabiki wote ambao watafanya hivyo
  3. Choga Cosmasy

    Maulid Kitenge na Bluetooth receiver

    Hayo ni maamuzi ya mhusika huwezi mchagulia njia za kutumia
  4. Choga Cosmasy

    Idara ya Uhamiaji iache kutumika kisiasa kwenye suala la Manji

    La madawa limegeuzwa uhamiaji
  5. Choga Cosmasy

    Idara ya Uhamiaji iache kutumika kisiasa kwenye suala la Manji

    Nchi inadanganywa mchana kweupe na inaweza kuingia hasara ya mabilioni, Kilichotokea kwa Bakhresa miaka ya 95+ kinaweza kujitokeza kwa Manji, Hizi kesi za kitoto zenye malengo ya kufurahisha watawala tumeshashuhudia zikiliumiza taifa, Ipo wapi NMC yetu ya Tazara? Ipo wapi kesi ya samaki wa...
  6. Choga Cosmasy

    TV 1 na Kwese sports vipi

    Ni uendeshaji tu wa habari
  7. Choga Cosmasy

    Tuhuma za Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima aachiwa kutoka polisi

    Vita bado kubwa hii na serikali itaingia hasara isipo jiangalaia kwa akili ya kufikirika
  8. Choga Cosmasy

    Haya yasipofanyiwa kazi Tanzania itashuka kila siku

    Sembe imepanda bei wacha tuzungumzie soka Teh
  9. Choga Cosmasy

    Haya yasipofanyiwa kazi Tanzania itashuka kila siku

    Na Cosmasy Choga Binadamu huzaliwa na kupitia hatua zaukuaji na hawezi zikwepa,kwanza ni kutambaa na pili ni kusimamia vitu ndipo sasa hutembea kidogokidogo. Ndivyo ilivyo katika shule, hakuna mwanafunzi anayeibukia tu Kuwa darasa la saba kwanza awali na baadae la kwanza na ndiko hupata...
  10. Choga Cosmasy

    Dondoo za michezo leo

    Na Cosmasy Choga WENGER:Mashabiki wawe kama wa timu nyingine. Ikiwa ni siku chache kupita toka mashabiki wa Arsenal wabebe mabango yenye ujumbe wa kutaka kocha wa timu hiyo aachie wengine waifundishe Wenger mwenyewe leo amewajibu kwa kusema wanatakiwa wawe Kama mashabiki wa timu nyingine...
  11. Choga Cosmasy

    Mashabiki Yanga wamsindikiza Manji polisi

    Pichani Yusuph Manji akiwasili kituo cha polisi kwaajili ya mahojiano
  12. Choga Cosmasy

    Mashabiki Yanga wamsindikiza Manji polisi

    Na Cosmasy Choga Siku moja baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutaja orodha ya watu wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya akiwemo mwenyekiti wa yanga Yusuph Manji mashabiki wa club hiyo tayari wameaza kuwasili kituo cha polisi kujua hatima ya kiongozi wao...
  13. Choga Cosmasy

    Wachezaji fumbueni macho

    Na Cosmasy Choga Ukiwa shuleni utajifunza mambo ya lensi mbinuko na mbonyeo na kila moja hufanya kazi yake mbinuko kufanya uone mbali wakati mbonyeo kufanya uone Karibu,anyway Soka nalo ni kama sayansi vile unapaswa kuyajua hayo kabla ya na baada ya. Vipaji vingi vya soka vinaibuka na...
Back
Top Bottom