TV 1 na Kwese sports vipi

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
11,224
17,080
Naona hawa kwese sports wame dominate sehemu kubwa ya vipindi.. Hata game za EPL jumamosi wanachukua feed kwa hawa jamaa..au Kuna uhusiano wa TV 1 na hawa jamaa?
 
Naona hawa kwese sports wame dominate sehemu kubwa ya vipindi.. Hata game za EPL jumamosi wanachukua feed kwa hawa jamaa..au Kuna uhusiano wa TV 1 na hawa jamaa?
Kuna uhusiano....wamechangua channel kila inchi tz ni tv1,unganda ni wbs n.k ingia kwesesport utaona Chanel zote wanazofanya nazo kazi
 
Afadhali ya hawa channel 1 kuna kichannel flani hivi kilikuwa kinamatangazo hicho unaweza dhani wanahaki ya kurusha matangazo ya EPL live.
Uliona jinsi Chelsea walivyo beba kombe? Au sijui uliona nani alivyo ongoza kwa ufungaji?.unaweza kuwa mshabiki wa man u au chelsea au arsenal au timu flani basi tangaza na------ msimu huu wa EPL kitu chenyewe unadandia tu matangazo kibao.mngekuwa ndiyo DSTV hivi ingekuwaje?
 
Kwesse Sports anakuja kwa kasi, ameanza na soko la Free-to-air Tv huku akiwa njiani kuleta Pay Tv katika nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Nchini Tanzania ameanza kwa kufanya kazi na TV1.
 
Naona ipo kwenye kingamuzi cha azam lakini hakuna hata chanel moja inayo onesha! Au azam wana wabania?
 
Mkataba wa Tv1 na Azam, umekwisha na Tv1 hawakutaka kuendelea nao ndo mana hakaonekani kwa king'amuzi cha Azam, Tv1 ni channel ya Kwe'se sports kwa sasa!

Na kwa wanaoifahamu Kwe'se sports ni media ya billioner Strive Masiyiwa yule mmiliki wa econet wireless from Zimbabwe!
 
ila makao makuu ya econet n
 
Nawasubiri kwa hamu hawa Kwese TV. Looks like it's a real deal in Sports for now
 
Back
Top Bottom