Recent content by chobocho

  1. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni muujiza gani umeusikia uliotendeka kwa maombi ya Mwamposa, ambao umekufurahisha, umekushangaza au umekutia wasiwasi?

    Kapata mtoto toka kwa mwanaume yupi wakati walishaachana?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Maisha Tv brands

    Naomba mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia Television za Maisha, ubora na upungufu wake anifahamishe nijue. Asanteni, nawasilisha.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Katika kusoma kwangu sijawahi ongoza somo la Hisabati -Mathematics

    Hata Kiswahili tu hujui, ulifaulu masomo gani? Kwenye h huweki, unapotakiwa uandike a unachanganya na h, wewe ni mhaya? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Gari ya bure kwa anaehitaji.

    Nitakupa laki mbili zikusaidie kurekebisha passport Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimeona viumbe/binadamu vya ajabu vyenye miili myembamba na vichwa vikubwa

    Hilo jiwe lipo hapo kwenu mpaka sasa?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mwenye mawasiliano ya hospitali ya Burere

    Kabla ya kufika kwa Dr. Bake, umeshawahi kumpeleka CCBRT Mikocheni. Hao ni Professionals wa kazi hiyo na wana vifaa vya kisasa.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Msaada nissan patrol

    Gari yako inatumia Betti mbili? Cheki betri moja imepungua nguvu au kuna luzi koneksheni kwenye betri iliyopungua nguvu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Ndege ya Air Tanzania "kuegeshwa" bila kuruka

    Matengenezo baada ya kuwa hewani saa 12000 ni kweli au umekisia Mkuu Barafu? Maana ni mengi. Hivi mfano ndege ikiruka saa 10 kwa siku × 30 = saa 300 hapo bila kupunguza safari siku yoyote. Sasa saa 12000 ÷ 300 = miezi 40 ambayo ni miaka mitatu na miezi 4. Je hizo bombardier zimekuja na kuanza...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Shigongo Kaibuka kivingine, ashauri jinsi ya kujitawala kiuchumi kipindi cha Magufuli

    Umeshawahi kusoma articles zake? Hizo alizoandilka ni principles za kawaida za wanaojitambua na kufanya yao ( wafanyabiashara n.k)na sio waajiriwa wanaotegemea mzunguko wa fedha uwe mzuri. Kumbe yeye anajua hali si nzuri na hashauri kubadili life style!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Shigongo Kaibuka kivingine, ashauri jinsi ya kujitawala kiuchumi kipindi cha Magufuli

    Sasa kwa akili yako umeona kaandika kitu kipya zaidi ya kujipendekeza au unafiki tu?
  11. C

    JamiiForums Tanzania US sanctions Tanzanian kingpin, Shkuba and his East Africa-based Drug Trafficking Organization

    .z,,,,x,,_,z$/zx,,,z , x ,,zz,zZd,*%__""/_//__/ xrz,,,, s,,k,,,_,
  12. C

    JamiiForums Tanzania Malawians shun uninspiring Mutharika, turn to Tanzania's Magufuli

    People at work.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

    Endelea
Back
Top Bottom