Msaada nissan patrol

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
27,739
79,952
Ndugu zangu naomba mnisaidie, gari yangu inazingua ikiwa katika hali ya kawaida taa ya 4 wheel inawaka katika dashboard na ukisema utie 4w taa inazima ila hapo gia unakuwa huzipati, nini tatizo hasa.. na sasa limekiwa na tatizo la kunyonya betri, unaweza ukawa unatembelea lakin gari inakuzimikia ghafla, hasa unapokuwa umepunguza mwendo na kurudi gia ya ndogo(kubwa) mfano uko 3, unarudi mbili pale inaweza ikazimika kabisa, hapo ukiwasha betri haipigi..
 
mkuu kwenye 4wheel please check unaweza kuta inaengage yenyewe. na Pia issue ya bentri unaweza kuta ni tatizo la mfumo wa umeme au gari haijichaji yenyewe
Sawa nashkuru mkuu.
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie, gari yangu inazingua ikiwa katika hali ya kawaida taa ya 4 wheel inawaka katika dashboard na ukisema utie 4w taa inazima ila hapo gia unakuwa huzipati, nini tatizo hasa.. na sasa limekiwa na tatizo la kunyonya betri, unaweza ukawa unatembelea lakin gari inakuzimikia ghafla, hasa unapokuwa umepunguza mwendo na kurudi gia ya ndogo(kubwa) mfano uko 3, unarudi mbili pale inaweza ikazimika kabisa, hapo ukiwasha betri haipigi..
Kuhusu battery kunyonywa unatakiwa upime kama alternator yko inafanya kaz (kucharge).
Kuhusu na taa ya 4 wheel unatakiwa ucheck/change Fuse ya 4wheel kwenye Fuse box
Njia ya tatu unatakiwa ujue kama kwenye Nissan patrol yko kama ni hle ya kunyonga/turn switch kwanza kwenye Tyres za mbele kabla ya kuengange kwa switch ya ndan. Kama inamechanism hyo unatakiwa ulosse kwanza kwenye tryres,Tatzo lako litakua limekwisha.
Njia nyngne unatakiwa ufuatilie wire zote zinazotoka kwenye Gear box may be kuna Sensors au connector zmepata uchafu kwahyo unatakiwa usafishe.
 
Shukrani mkuu, ntaifanyia kazi.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom