Recent content by chitulanghov

  1. chitulanghov

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    24 season 2 episode 1 - tunashinda kw kishindo episode 2 - tunachaguana kishkaji(wale tuliokataliwa na mchonga ndio tunawaongoza) episode 3 - inaundwa ccj tunaifutilia mbali episode 4 - tunaanzisha udini episode 5 - tunaleta el shabaab episode 6- tunaagiza container la sumu ukitupinga tuna...
  2. chitulanghov

    Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa

    endelea baba kuwapa sala ya toba waliokuwa kigumu chama cha majambazi
  3. chitulanghov

    AMIMI USIAMINI - Hii ndiyo fomu ya kuombea viza ya kuja Tanzania!

    kwani Tanzania kuna wasomi? kuna wakiritimba. kuna mijitu ambayo yenyewe ili uwe na akili lazima uwe na cheti sio ufahamu wako. hii mijitu ndiyo ilileta sera ya kumpunguzia maksi mtoto aliyerudia mtihani kana kwamba kukata rufaa ya kufeli ni dhambi. hii mijitu yaani haiwazi hata moja jumlisha...
  4. chitulanghov

    "Dark Secret Exposed" Al-Qaeda 100% Pentagon Run

    dunia hii si yetu ni ya wenye nguvu. tulio dhaifu nyummba yetu tulivu ni kaburi>
  5. chitulanghov

    Meli ya "Samaki wa Magufuli" yazamishwa kwa hujuma

    kitoto cha kitanzania kikishazaliwa tu mkichelewa kinajiibia hadi kitovu chake. yaani Bongo ni wezi by nature!
  6. chitulanghov

    Zitto Kabwe ashindwa kutokea mkutanoni

    Magamba bwana! Hata hayajishangai! Yenyewe yanafikiria kama kijiko cha cha chai huwa hakifikiri kwamba kuna beleshi! Zito dume la mbegu hebu njoo hapa leta taarifa ili hawa walioliwa wake zao na mwigulu watulie.
  7. chitulanghov

    CCM kumecha!!

    MTI UKITOLEWA GAMBA LAZIMA UKAUKE! Handsome na white crested maasai sijui vita yao itaishaje! au ni maigizo tu?
  8. chitulanghov

    TAARIFA juu ya maombi ya CCM kuwa Dkt. Willibrod Slaa awanie ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki

    Tuukubali ukweli. still Dr. Slaa atakuwa candidate wetu 2015. Mimi sio muumini wa democracy AFRICA. Sihitaji democracy kumteua Dr. Slaa. tunamuhitaji kumlinda kwa hali na mali. MIMI MWENYEWE NILISONONEKA SANA NILIPOSIKIA KWAMBA ATAGOMBEA UBUNGE ARUMERU! AHSANTE SANA KWA TAARIFA. MTAANI TULIKUWA...
  9. chitulanghov

    Viongozi wa UVCCM Arusha watwangwana makonde leo

    Kigumu chama cha mapinduzi! Kigumu!
  10. chitulanghov

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    tunaangalia 24 series season one. epsode 1. nyerere anawakataa epsode 2. nyerere anaondoka mzima lakini anarudi marehemu (sterling machale yanamcheza0 epsode 3. waliokataliwa ndio wanaotuongoza sasa (conspiracy?) epsode 4. tukiwapinga bone marrows hazifanyi kazi na matokeo ya ugonjwa wetu...
  11. chitulanghov

    MASWALI 10 ya papo kwa papo kwa Nape na wana CCM

    tunakosea sana na hii sio sawa! tumeanza kushambulia hata hajajibi swali la pili tayari yameshakua maswali kumi na tatu! siamini kama nape atakaa tena tutaishia na hilo moja tu. tuache unazi bana!
  12. chitulanghov

    Tanzania elimu ni cheti?

    1. Hivi ni kwa nini watoto wanaorudia mtihani ni lazima wakatwe alama? kwani kama jana sikuelewa ni dhambi kuelewa mwaka huu? kwani lengo la elimu si ni kuelewa? au kuna lengo jingine? 2. kila unapotaka kuingia chuo wanataka cheti cha nyuma. Hivi kama mwaka juzi nilifeli halafu nikakaa nikaamua...
  13. chitulanghov

    Blandina Nyoni na uhamisho wa uonevu, na kupendelea kabila lake, marafiki

    na wanyakyusa hawana mfano nyie wafuatilieni tu!
  14. chitulanghov

    Blandina Nyoni na uhamisho wa uonevu, na kupendelea kabila lake, marafiki

    Nani wa kumpandisha karandinga? Kikwete? Fredrick warimu? Lowasa? Pinda? Ngeleja? Saidi mwema? Labda kama hakimu atakuwa webb yule refa wa manchester!
  15. chitulanghov

    ushuhuda wa kweli-niliishi miaka 7 bila...

    Watu wengi wameshabikia na kusmile! lakini wengi wamesahau kwamba jamii yetu sio wawazi sana kwenye mambo hayo na jamii yetu inategemea ujijulie mwenyewe mbele ya safari! Mimba nyingi za utotoni hutokea kutokana na kutaka kujaribu bila kuwa na taarifa sahihi! Mimi nilipopata "WET DREAM" kwa mara...
Back
Top Bottom