Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
ukweli imekera watu wengi. Angalau viongozi wa wilaya ungeendelea na mkutano hata bila ya mh kutofika. Hapa watu wengi wanaisubiri chadema kwa hamu kubwa hasa baada ya cuf kuyumba. Hii ilikua ngome ya doyo aliyefukuzwa cuf, n umakini wa chadema ndo uta determine mavuno ya mamia ya wanachama wapya
wawaulize nini tayari ilisha kula hiyo
Wakuu leo Mh Zito Kabwe ilikuwa ahutubie mkutano wa hadhara hapa wilayani Handeni. Lakini mamia ya wananchi waliojitokeza wamejikuta wakisubiri kwa muda mrefu bila mafanikio na hata viongozi wa CHADEMA wilayani hapa wameshindwa kuhutubia mkutano huo na kuwafanya wananchi kujiondokea bila kujua ni kitu gani kimetokea.
Hapo kwenye nyekundu inaonyesha jinsi akili yako ilivyo na hitilafu!Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
Ingekua CUF sijui pangesemwaje hapa!
Hata bila vifaa vya kisayansi vya kukutolea damu au utra sound tayari ushaonekana akili yako ina kwashakooMkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.
Mkutano tu wa kukijenga chama ni hivyo, jee ukiwapa nchi si ndio itakuwa "chaos". Mungu iweke CCM yetu.