Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamandamakini, Feb 21, 2012.

 1. k

  kamandamakini Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [h=3]LEO: ccm yaendelea kufumuliwa na Mbunge Msigwa[/h]

  [​IMG]


  akifungua tawi la kihesa.
  [​IMG]  [​IMG]

  Msigwa akiwahutubia wakazi wa kihesa maeneo ya semtema jioni ya leo
  [​IMG]
  akina mama wakipanga foleni kuchukua kadi za chadema
  [​IMG]
  sehemu ya umati ukimsikilza Msigwa kwa umakini

  [​IMG]


  [​IMG]
  Msigwa akisalimiana na akina mama ambao ni wanachama wapya.


  katika mkutano huu Msigwa amewahimiza kuwa chama kitajengwa na wanachama, na kuwasihi wanachi kupuuza propaganda za CCM dhidi yake na chama chake, mikutano yake inaendelea tena kesho kata ya Ruaha. katika mkutano huo alivuna wanachama wapya wakimama 78, kama wanavyoonekana katika picha hapo juu.​


  Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani iringa

  Msigwa akiwahutubia wananchi wa makambako katika ufunguzi wa matawi makambako.


  [​IMG]


  [​IMG]


  umati wa watu katika mitaa mbalimbali makambako.


  [​IMG]


  sehemu ya umati wa wananchi wa makambako wakimsikiliza kwa makini mbunge msigwa


  [​IMG]


  wanachama wapya kujiunga chadema kutoka ccm siku hiyo ya tarehe 19 jumapili.


  [​IMG]
  akiongea na wanachama katika ukumbi wa RC makambako.​  source: Mbunge Wako Iringa Mjini
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  msigwa hongera sana kwa kuwaonyesha wananchi kuwa maisha yanawezekana bila CCM na waambie wakiipa serikali CDM mwaka 2015 mtafanya mara 100 ya hayo wanayoyaona kwani hizo ni rasharasha tu yenyewe mvua yenyewe inakuja.
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  safii! katika Wabunge nawaozimikia ni wewe Baba
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Hongera sana mkuu, harakati za kun'goa tonge kwenye midomo ya mafisadi ni shughuli kubwa.
  Keep it up.
   
 5. M

  Mayuka Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi kamanda tupo pamoja na wewe katika mapambano haya ya kuwang'oa CCM 2015
   
 6. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ongera mchungaji
   
 7. chitulanghov

  chitulanghov Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  endelea baba kuwapa sala ya toba waliokuwa kigumu chama cha majambazi
   
 8. V

  Victor malisa Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hongera sana mh. Wakimbize hao vibaka wa ccm tumechoka na siasa zao uchwara,tunataka siasa za chadema sasa
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo ninapowapendea cdm...UKUMBI WA KANISA KATOLIKI..duh haya siasa siku hizi udini nje-nje
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Mbunge
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mchungaji karibu JF
   
 12. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  MIJITU INAYOFIKIRIA UDINI KILA KUKICHA NI SAWA NA KARAKANA YA SHETANI,MBONA HAYA MAJITU YANAKAA KIMYA KWENYE ISSUES ZA KUGAWANA PESA?AMBAYO NDIYO DHAMBI KUBWA YA KUBOMOA TAIFA HILI MUDA SI MREFU? Iddle mind is workshop of devil.TWILUMWI,MSIGWA GOOD MIDDLE!
   
 13. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hongera Mb! Keep it up
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Mwanzoni waliwaza watumie ukumbi wa Msikiti kwakuwa mahali pale hakuna mtu binafsi mwenye ukumbi walipokwenda kwa waheshimiwa Maimam maimam wakajibu kuwa misikiti yenyewe ni midogo size ya choo cha kulipia pale Mwenge so they were left with no option isipokuwa ukumbi wa katoliki ambao ni robo tatu ya Dimond Jubilee
   
 15. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Rev. Msigwa hongera sana, mwanzoni nilikuwa siajakusoma lakini kadri siku wa zianakwenda imani yangu kwako inakuwa kwa kasi yua ajabu kazi njema kila mtu afanye sehemu yake kukijenga chama tuache malumbano yasiyo na mantiki kama ya mwenzetu (kama ni mwenzetu kweki) TUMTEMEKE.
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Msingwa ni kamanda anayepambana kivyake, he is alone but strong!
   
 17. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kila la kheri chadema!
   
 18. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mungu akupe nguvu zaidi, hili joka ccm litaondoka na haki itapatikana na maisha yatakuwa nafuu
   
 19. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Hii ndiyo ile kitu watanzania wanataka ikuwe kwa siku mingi ikakosekana..Baba kaza mwendo..ukiwa mzuri hata ukikaa 20 years mbona mambo muzuri tuu
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nadhani mkiendelea na msimamo wenu mzuri kama huu ambao nadhani pindi mtakapopewa ridhaa na wananchi kuiongoza nchi yetu mtatusaidia kuondoka kwenye black list
   
Loading...