Tanzania elimu ni cheti? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania elimu ni cheti?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by chitulanghov, Feb 17, 2012.

 1. chitulanghov

  chitulanghov Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Hivi ni kwa nini watoto wanaorudia mtihani ni lazima wakatwe alama? kwani kama jana sikuelewa ni dhambi kuelewa mwaka huu? kwani lengo la elimu si ni kuelewa? au kuna lengo jingine?
  2. kila unapotaka kuingia chuo wanataka cheti cha nyuma. Hivi kama mwaka juzi nilifeli halafu nikakaa nikaamua kujisomea uwezo wangu kichwani ukaongezeka inamaana hili karatasi si litakuwa linadanganya uwezo wangu kamili?
  mimi binafsi nilizuiliwa kuingia chuo kwa sababu sikuwa na maksi za kutosha japo nimemaliza kidato cha nne miaka 15 iliyopita. nikawaomba wanipe mtihani wanipime kama sifai au nafaa wakanigomea. sasa ELIMU NI NINI?
   
Loading...