Recent content by chitage

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vigogo tisa NHIF watumbuliwa

    BENEFITS PACKAGE Introduction The National Health Insurance Fund (NHIF) has an attractive benefits package that is offered to its beneficiaries through accredited health facilities countrywide. This package has a total of eleven (11) benefits that are offered to its beneficiaries as per...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hongera Magazeti ya Tanzania kwa kuwatendea haki Waislam na Rais Magufuli

    mwananchi na tanzania Daima wameng'ang'ana na siasa tu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Wataalam wa IT kutoka Rwanda, tuige pia Mfumo wa Usalama wa Jiji la Kigali

    hizi ndio hoja zenye mashiko...safi sana
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu ya Organogold

    Karibu sana katika semina maalum iliyoandaliwa mahususi katika kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu organo gold...njoo uongee na watu waliofanikiwa ujue biashara hii ina misingi gani ya mafanikio. Semina hii itafanyika siku ya kesho tarehe 15/07/2015 maeneo ya posta,hakuna kiingilio ..Kwa yeyote...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Lowassa

    Happy birth day to u the next president of the URT
  6. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar hiyooo, Tanganyika kimyaaaa

    duuuh hoja zako zimefungwa na fikra za udini ni kama kile kisa cha watu waliopangoni(an allegory of the cave)..Tanzania itadum daima..huu ni urithi na tnu za taifa,uundwaji wa katiba ni frsa ya kutatua mapungufu ya muungano wetu....tusione haya kuunga mkono fikra sahihi za Nyerere na...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa CUF tar 26/03/2014 kudai nchi yao...

    wasisahau kuwa kuna watu wana viapo vya kulinda muungano...kwa nini hawa wanasiasa wanashadidia masuala ya madaraka badala ya kubuni sera za kukuza uchumi na kuboresha huduma za jamii? kwa hili la serikali tatu au muungano wa mkataba ni matokeo ya ubinafsi na chuki tu za kihistoria...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    goood,aliestawisha demokrasia nchini.....
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    safi sana,hawa ndio wazalendo wa kweli
  10. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

    Mmmmmmh bila Shaka na wewe ni mawakala wa kagame......hakuna utata wowote, ni propaganda ovu dhidi ya Tanzania na rais wetu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

    Huyu alieandika no mwongo...Mara anasema alipewa dawa ya sindano,baadae anadema kabla ya kuimeza alisoma maelekezo.......msitukane wakunga...........karma mtu kakosea Luna utaratibu wa kudai khaki yako badala ya kutukana madaktari......hivi unajua akina mama wangapi na watoto wanaokolewa name...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    Kwa hili jk anastahili pongezi..tusiwe negative minded kiasi cha kupinga kila kitu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar was nothing like I imagined. I had expected the locals to be warm and friendly, but they we

    mbona kwao pia kuna matukio mabaya zaidi ya hili...zanzibar bado ni kisiwa chenye mvuto.
  14. C

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kwa mpango huu Tanzania inaelekea kutokuwa salama teena.Tutaikumbuka kwa uchungu ileee tanzania yenye amani na watu wanaopendana.....ila naamini katika jambo moja,haitofika siku wanadaamu wote wakaamini imani moja bila kutofautiana....hivyo kila mmoja azoee tu kuishi na mwenzake na kuvumiliana...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Madaktari na Ikulu

    Hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa chama cha madakri/jumuiya ya madaktari aliyeachia ngazi...huenda Ribosome una ajenda yako,basi kiseme kilichotokea ikulu kama unakijua.Propaganda zako hazitafanikiwa kuvunja umoja wa madaktari.Siasa wapelekee wanasiasa uchwara wenzio.
Back
Top Bottom