Zanzibar hiyooo, Tanganyika kimyaaaa

Zanzibar hiyooo, Tanganyika kimyaaaa

Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.

Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?

Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.

Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.

Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.

Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?

Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.

duuuh hoja zako zimefungwa na fikra za udini ni kama kile kisa cha watu waliopangoni(an allegory of the cave)..Tanzania itadum daima..huu ni urithi na tnu za taifa,uundwaji wa katiba ni frsa ya kutatua mapungufu ya muungano wetu....tusione haya kuunga mkono fikra sahihi za Nyerere na Karume...hivi kati ya fikra zako za udini na zile za mzee karume na Nyerere zipi zina tija?
 
Umevurugwa!
 
UKRAINE
Wakati CRIMEA ikiandaa kujitenga na mpaka ilipojitenga toka UKRAINE nchi ya UKRAINE ilikuwepo na haikutafuta bendera, wimbo, sarafu wala uwakilishi wa kimataifa kwa sababu yenyewe IPO
Ajitengaye kwa sababu ndo anaanza hujitafutia vyote hivyo.
Tambua muungano huu wa Visiwa Vidogo na Nchi kubwa Ndio muungano wa Ajabu uliosalia Duniani ! Nchi kubwa haijielewi haijitambui inapelekeshwa na Visiwa Kama Upepo haina Sauti mbele ya wana Visiwa ! Zinatumika pesa nyingi kujipendekeza na kubembeleza muungano huku wananchi wakitaabika kwa ubovu wa huduma za jamii ! Ebu cheki muungano wa Marekani Nchi 52 Hakuna kero za Muungano wala wizara ya muungano, Udini,Ubaguzi,Uchoyo wa Ardhi kama Zanzibar ! Wapo na muungano Digtal hawana Utitiri wa wabunge kwenye zile nchi ndogo wala wabunge kula posho Mara mbili Kama wa Zanzibar wanaovuna posho Dodoma na zenji huku wabunge wa Tanganyika wakiwa hawana Haki ya kula posho zenji .
 
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
Duh .. kwa hili nakubaliana nawe (kwa mara ya kwanza)
 
ajabu hii MUUNGANO wa CHURA na TEMBO , TEMBO kambana CHURA hadi chura akawa hapumui c alipopata nafas kaingia tumbon mwa tembo tembo anabaki kupiga mayowe na kujigonga na miti ili chura afe bila kujua kumbe ndo anajiumiza . polen sn ndugu zangu WATANGA NYIKA
 
duuuh hoja zako zimefungwa na fikra za udini ni kama kile kisa cha watu waliopangoni(an allegory of the cave)..Tanzania itadum daima..huu ni urithi na tnu za taifa,uundwaji wa katiba ni frsa ya kutatua mapungufu ya muungano wetu....tusione haya kuunga mkono fikra sahihi za Nyerere na Karume...hivi kati ya fikra zako za udini na zile za mzee karume na Nyerere zipi zina tija?

Fikra zako hazina tofauti na fikra za wote wasioitaka Tanganyika irudi. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar ipo, Jee, Tanganyika iko wapi?

Nakuhakikishia haipo na aliyeiuwa ni Nyerere.

Kama unaitaka Tanzania, basi kumbuka kuwa ipo leo hii na si ya kuitafuta na halikadhalika Zanzibar ipo, bendera yake hii:

Na bendera ya Rais wa Serikali ya Manduzi Zanzibar hii:

Na bendera ya Zanzibar inatambulika Kimataifa:

Jee, ya Tanganyika iko wapi?
 
Is this Nyerereism?

Maana umemuongelea Nyerere tu post yako nzima tena kwa namna ya kebehi na kejeli.
Ulipoanza kutaja vitu kama "mwenyeheri" na vingine vinavyofanana na hivyo, nimemaizi kuwa chuki yako dhidi ya Nyerere imejengwa katika misingi ya kidini, Vyovyote iwavyo, muungano ulioasisiwa na Nyerere sio tulionao sasa. Hustahili kutumia mwavuli wa muungano katika kuhalalisha kejeli zako kwake, Labda tafuta kitu kingine.
Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.

Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?

Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.

Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.

Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.

Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?

Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
 
Zitadumu vipi wakati yeye ndiye aliyeiuwa Tanganyika na yeye ndiye aliyeunda Nchi moja yenye Serikali mbili?

Ikirudi Tanganyika na fikra za Nyerere zimekufa.
Yaani wewe janja yako ni ya nyani!!
Unatishia watu eti Tanganyika ikirudi fikra za Nyerere zimekufa ili waendelee na mfumo huu ulioshindwa wa serikali mbili?
Ni Nyerere gani ambae angependelea muundo huu kwa jinsi mambo yalivyo sasa!??

Hebu ona hii;
Raisi wa muungano kwa sababu amezuiwa na katiba ya Zanzibar kugawa mikoa na wilaya za Zanzibar kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano,

Mahakama ya rufani ya JMT imepigwa marufuku ya katiba ya Zanzibar kusikiliza mambo yahusuyo mahakama za kadhi, haki za binadamu na kutafsiri katiba ya Zanziba r.

Sheria zinazopitishwa na bunge la JMT ambalo pia limecomprise wazanzibar haziwezi kutumika zanzibar mpaka ziridhiwe na baraza la wawakilishi na huwa zinarudishwa katika bunge la JMT ili zifanyiwe marekebisho ndipo zitumike Zanzibar(yaani wanashurutishwa?)

Kwa kifupi, Katiba ya Zanzibar iko juu ya katiba ya JMT na baraza la wawakilishi liko juu ya bunge la JMT maana hivi vyote vinalazimika kufuata visiwani wanachotaka,
 
FaizaFoxy said:
Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.
FaizaFoxy, kwa ukumbusho tu Azimilio la Arusha liliuawa Mwalimu akingali hai na liliuliwa huko huko Zanzibar mwaka 1991 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana chini ya Raisi Ali Hasan Mwinyi, Mzanzibari. Mwaka 2010 huko huko Zanzibar Muungano wa serikali mbili nchi moja uliuawa huko Zanzibar, Jakaya Kikwete, Raisi na Mwenyekiti wa CCM, alipoafiki kuvunjwa kwa Katiba na kuundwa kwa Muungano wa serikali mbili nchi mbili. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe alivyowahi kusema Mwalimu kuhusu Muungano;
Mwalimu Nyerere said:
Iwapo umma wa wazanzibari bila ya ushawishi wowote kutoka nje, na kwa sababu zao wenyewe, wataona kuwa Muungamo una hasara kwa uhai wao, sitowapiga mabomu kuwalazimisha. Muungano utakuwa hauna tena sababu ya kuendelea iwapo washiriki wake wataamua kuukana
Hakuna hata siku moja Mwalimu alisema/aliapa Muungano lazima udumu milele; alichosisitiza ni taratibu kufuatwa na hiyo ngio sababu ya kumwajibisha Aboud Jumbe na kuwapinga G55. Sana sana alionya kuwa kama Muungano unavunjika kwa sababu za kipuuzi kama za kibaguzi, Watanzania hawatabaki salama...dhambi ya kubaguana kikabila, kidini, kitabaka n.k. ingeendelea kuwatafuna kizazi hadi kizazi. Hata Marehemu Karume naye aliongelea jambo hilo; kwamba Muungano ni kama koti, likikubana unalivua.

Muda muafaka sasa umefika, hatuwezi tena kuendelea na Muungano huu kama ulivyo, msimamo wa CCM ni uendawazimu na bahati mbaya Kiongozi aliyeshindwa kuulinda kwa kutetea Katiba ndiye huyo huyo sasa anataka kuulinda kwa kutumia mabomu na kulazimisha;yale yale aliyokataa Mwalimu! Hekima imetuaga na sasa tunabwabwaja tu kama wehu, CCM kwa kweli inatupeleka pabaya na Mola atuepushie mbali. Misukule ya Lumumba iache kuhangaika kuzoa maziwa yaliyomwagika...Muungano kwishnei!
 
Last edited by a moderator:
Hivi zanzibar ikijitenga na tanganyika ikajitenga nani atalipa deni la taifa? Au tutaligawa nusu kwa nusu

mkuu point hiyo umeongea. Ndo mana CCM waliokopa hawataki kusikia hicho kitu. Njia pekee ya kuanza upya ndo hivyo tu.

Ka vipi cc tulio mikoa inayopakana na nchi za jirani kwa mfano Arusha tupige kura kama wenzetu wa CRIMEA walivyofanya ili tujiunge na Kenya tuone ka CCM hawajabakiwa na mikoa ya DAR, PWANI, SINGIDA na DODOMA kulikojaa viumbe waoga ambao kila wakifa makaburi yao yanadidimia halafu wenyewe wanaamini wachawi wamefukua maiti
 
Kagera wahamie Rwanda, kigoma wahamie Burundi au Kongo Rukwa wahamie Zambia Mbeya wahamie Malawi,Mtwara wahamie Msumbiji,mwanza wahamie Uganda,Mara, Kilimanjaro,Arusha wahamie Kenya ! Baadae huke mbeleni ile mikoa iliyopakana na hao ihamie huko walipo ! Huu muujiza ukiikumba Tanganyika na ukafanikiwa kuna Hatari Ramani za Dunia zikavurugika
 
CRIMEA wamewafumbua macho watanganyika Kuwa Nchi moja inaweza kutumia Kura ya Maoni kujinasua toka nchi ingine na kujipachika kweye Nchi ingine. Huu mfano sasa utumike hapa kwetu ili iwe ni fursa ya kuinasua Tanganyika toka kwenye Unyonyaji wa Zanzibar .
 
Tanganyika unayoiuliza iko wapi? aliiua Nyerere. Kuidai hivi sasa ina maanisha fikra za Nyerere zife na si zidumu tena.

Ni Watanzania wangapi leo hii wanaoweza kupinga fikra za Nyerere kwa makusudi kabisa?

Kuirudisha Tanganyika ni kuzidi kumpeleka mbali na utakatifu mwenyeheri Nyerere.

Muujiza wa kumfikisha Nyerere kuwa mtakatifu unakuwa rahisi sana nchi ikitoka kwenye serikali mbili ikawa moja. Itakuwa ni muujiza wa Nyerere umetimia, kuitawala nchi yenye zaidi ya asilimia 98 Waislaam na kuiingiza kwenye Serikali moja isiyo na dini.

Kumbuka, serikali ya Zanzibar ina dini na dini yake ni Uislaam na kadhi wanae.

Kufanya nchi iwe na Serikali tatu ni kuiuwa ndoto ya wanaompenda Nyerere awe mtakatifu. Linawezekana hilo?

Mimi natamani hata muungano usiwepo kama inawezekana, ikishindikana basi hizo tatu ndio pendeleo langu. Nakuhakikishieni na hilo ndilo pendeleo la Waislaam walio wengi.

Na sisi tukishaipata Tanganyika Wazanzibar mliojisaahau huku tannganyika kama wewe na mnaouthamini uislamu kuliko uafrica wako tutakuapandisha kwenye jahazi urudi kwenu Zenj alafu tuone kama uta lilia kurudi Tanganyika
 
Is this Nyerereism?

Maana umemuongelea Nyerere tu post yako nzima tena kwa namna ya kebehi na kejeli.
Ulipoanza kutaja vitu kama "mwenyeheri" na vingine vinavyofanana na hivyo, nimemaizi kuwa chuki yako dhidi ya Nyerere imejengwa katika misingi ya kidini, Vyovyote iwavyo, muungano ulioasisiwa na Nyerere sio tulionao sasa. Hustahili kutumia mwavuli wa muungano katika kuhalalisha kejeli zako kwake, Labda tafuta kitu kingine.

Kwani Nyerere si mwenyeheri? Inashangaza sana unapotaka kuubadilisha ukweli.

Muungano aliouwacha Nyerere, Tanganyika ilikuwepo?

Uko pamoja nami katika kukubaliana kuwa fikra za Nyerere zisidumu. Ahsante.
 
Na sisi tukishaipata Tanganyika Wazanzibar mliojisaahau huku tannganyika kama wewe na mnaouthamini uislamu kuliko uafrica wako tutakuapandisha kwenye jahazi urudi kwenu Zenj alafu tuone kama uta lilia kurudi Tanganyika

Labda wewe tukurudishe Malawi.

Mimi ni Mtanganyika na si Mzanzibari na nnakuhakikishia hata hao Wazanzibari muungano ukifa leo hii huna uwezo wa kuwapeleka kokote. Ungeanza na wachina kwanza ambao huna muungano nao na wapo hapa wanauza mpaka karanga. Kinakushinda nini?
 
Yaani wewe janja yako ni ya nyani!!
Unatishia watu eti Tanganyika ikirudi fikra za Nyerere zimekufa ili waendelee na mfumo huu ulioshindwa wa serikali mbili?
Ni Nyerere gani ambae angependelea muundo huu kwa jinsi mambo yalivyo sasa!??

Hebu ona hii;
Raisi wa muungano kwa sababu amezuiwa na katiba ya Zanzibar kugawa mikoa na wilaya za Zanzibar kama ilivyoainishwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano,

Mahakama ya rufani ya JMT imepigwa marufuku ya katiba ya Zanzibar kusikiliza mambo yahusuyo mahakama za kadhi, haki za binadamu na kutafsiri katiba ya Zanziba r.

Sheria zinazopitishwa na bunge la JMT ambalo pia limecomprise wazanzibar haziwezi kutumika zanzibar mpaka ziridhiwe na baraza la wawakilishi na huwa zinarudishwa katika bunge la JMT ili zifanyiwe marekebisho ndipo zitumike Zanzibar(yaani wanashurutishwa?)

Kwa kifupi, Katiba ya Zanzibar iko juu ya katiba ya JMT na baraza la wawakilishi liko juu ya bunge la JMT maana hivi vyote vinalazimika kufuata visiwani wanachotaka,

Of course zipo juu, kwa kuwa Zanzibar ni nchi na Tanzania ni muungano wa nchi mbili, moja ipo moja aliiuwa Nyerere, unategemea nini? nchi isiyokuwepo iwe na katiba?

Uko pamoja nami katika kukubaliana kuwa fikra za Nyerere zisidumu. Ahsante.
 
FaizaFoxy, kwa ukumbusho tu Azimilio la Arusha liliuawa Mwalimu akingali hai na liliuliwa huko huko Zanzibar mwaka 1991 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana chini ya Raisi Ali Hasan Mwinyi, Mzanzibari. Mwaka 2010 huko huko Zanzibar Muungano wa serikali mbili nchi moja uliuawa huko Zanzibar, Jakaya Kikwete, Raisi na Mwenyekiti wa CCM, alipoafiki kuvunjwa kwa Katiba na kuundwa kwa Muungano wa serikali mbili nchi mbili. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe alivyowahi kusema Mwalimu kuhusu Muungano;

Hakuna hata siku moja Mwalimu alisema/aliapa Muungano lazima udumu milele; alichosisitiza ni taratibu kufuatwa na hiyo ngio sababu ya kumwajibisha Aboud Jumbe na kuwapinga G55. Sana sana alionya kuwa kama Muungano unavunjika kwa sababu za kipuuzi kama za kibaguzi, Watanzania hawatabaki salama...dhambi ya kubaguana kikabila, kidini, kitabaka n.k. ingeendelea kuwatafuna kizazi hadi kizazi. Hata Marehemu Karume naye aliongelea jambo hilo; kwamba Muungano ni kama koti, likikubana unalivua.

Muda muafaka sasa umefika, hatuwezi tena kuendelea na Muungano huu kama ulivyo, msimamo wa CCM ni uendawazimu na bahati mbaya Kiongozi aliyeshindwa kuulinda kwa kutetea Katiba ndiye huyo huyo sasa anataka kuulinda kwa kutumia mabomu na kulazimisha;yale yale aliyokataa Mwalimu! Hekima imetuaga na sasa tunabwabwaja tu kama wehu, CCM kwa kweli inatupeleka pabaya na Mola atuepushie mbali. Misukule ya Lumumba iache kuhangaika kuzoa maziwa yaliyomwagika...Muungano kwishnei!

Uko pamoja nami katika kukubaliana kuwa fikra za Nyerere zisidumu. Ahsante.
 
Nimesoma maoni ya wengi hapa,nilichogundua hakuna hata mmoja mwenye ushahidi anayo ongea au kujua mada kwa undani zaidi, mfano adhari zake kiuchumi,ulinzi,kijamii na mambo mengi.
Nachoweza kusema msilete udini ndani ya haya mambo.
Faiza nimekusoma mada zako nyingi ni nzuri lakni unapoingiza dini unaonekana bado uko kwenye giza tororo.
Kwanza dini wote hapa tuliambiwa hukuchagua wewe kuwa mwislam wala mkristo. Usitake kufanya unajua sana kile unachokiamni wakati uliambiwa tu na kuonyeshwa vitabu vya dini.Hali kathalika katika hili la muungano. Tusifanye tunajua kuongea kuhsus tanganyika na zanzibar wakati haujui lolote.

Hayati Mwl Nyerere hakuwa mwanadamu mkamilifu. Naamin alikosea mengi lakni ni mengi alifanya sahihi.
Mfano tu kuleta muungano sio kwasababu ni nia ya kuuzima uislam ambao nj asilimia 98 na kufanya serikali isiyo na dini. Kwani wewe nieleze nchi gani africa ya kislam inafanya vizuri kuwa mfano?waarabu wanakaa kwao na kufathili mauwaji ya waislam na wasiokuwa na hatia hapa africa,wanafanya ufuska hiko kwao tena kwenye ardhi aliyozaliwa mtume na wengine. Unataka kusema nyerere ndo alitaka kuuwa uslam?

Tena kwa taarifa yako. Waislam wengi ambao hata majina yao hayapo kwenye kumbukumbu za waliopigania uhuru, walimsaidia sana Mwl katika mambo mengi. Uhuru na umoja na muungano haukuja kwa kichwa cha Nyerere wala nguvh yake binafsi.
Ndo maana hii inchi itabaki ya watu wote bila kuchagua dini wala kabila.
Chuki ya dini ni mbaya sana. Ni sumu,na kuoanisba muungano na dini ni mbegu mbaya sana ambayo naamini nyinyi wote wafia dini hamko tayri kwa hilo.
Muungano uliasisiwa kwa lengo moja tu. Umoja na ushirkiano. Wale wapemba ni ndugu zetu marafiki zetu..
Zanzibar haiwezi kwenda popote sababu ya watu wachache kama nyinyi mnaotaka kuleta mafrakano na ndugu zetu kwasababu ya dini.
Kama mtu umechoka kukaa tanzania ukahame.
Mkitoa mada na michango letenj hoja za msingi na sio kutukana viongozi. Kama kikwte juzi aliwaasa watu laknj wenye utindio wa ubongo waliona tofauti. Na wengine wamediriki kumwita mdini na nk. Dhambi hii itawafuateni hamwezi kwamwe kuchafua amani ya jamuhuri.
 
Back
Top Bottom