Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

Chadema Diaspora si kila kitu mfanye ni siasa.
..shida yenu ni kutaka Watanzania wamchukie Rais wao kwa njia na gharama yoyote bila kujali mnaathiri wasio na hatia kwa kiasi gani.
...mapinduzi yenu yamevunja ungo.
...JITAMBUE..UZANDIKI WENU HAUNA AFYA KWA MTANZANIA.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine wamechanjwa chale za ku-criticize viongozi wakubwa bila kujenga hoja zenye mashiko. Wakishafanya upuuzi huu tayari hujiona wako juu!. Let the dog lie.
 
MKuu JokaKuu , mimi sikubaliani na kauli ya JK kuhusu mto Nile.

Nakumbuka wa Egypt walikataa Tanzania isipeleke mradi wa maji Shinyanga ambao unge extend hadi maeneo mengine kwa kuhofia kupungua kina cha maji.

In rare cases ambazo namsifu Lowassa bila kusahahu hujuma alizozitendea taifa hili ni pale alipokuwa waziri wa maji.Lowassa alisimama kidete kuwakatalia wa Egypt kwa hilo.

Misri wakasema Gamal Abdiel Nasar aliwahi kusema uhai wa Misri upo mto Nile na yupo tayari kwenda vitani kwa hili akitishia kuishambulia Tanzania. Hata ilipokwenda katika ngazi ya kimataifa Egypt walishindwa.

Wamisri wakaahidi kuchimba visima ambavyo hawakurudi tena baada ya kuona issue imetulia.
Kujenga Urology ni mbinu zile zile za kumlisha ng'ombe mashudu ili ukamue maziwa.

Rais Kikwete atambue wenzetu wanatumia rasilimali wazlizo nazo kuendeleza nchi zao.
Ni jambo na ujinga wa hali ya juu kuagiza mchele kutoka Misri badala ya kutumia resource tulizo nazo kufanikisha miradi hiyo.

Ni jambo la kushangaza kwamba watu wa Shinyanga na Singida wafe wa kiu ya maji kwasababu ya kuwafikirika wamisri.

Ethiopia wanajenga mradi mkubwa kwa maendeleo ya nchi yao ili waondokane na handout.
Hilo lazima Kikwete alitambue na lisitumiwe kuidhalilisha nchi.

Hana sababu za ku rally watu wengine kama yeye hawezi ku deliver kwa resource zetu.
Kutokana na kufanya kila jambo kwa njia za kisiasa, Tembo na Twiga wanakwisha huku serikali ya JK ikijua wanapouzwa na nani anauza. Ameridhika rasilimali zimalizwe ili kufurahisha watu.

Watanzania lazima tusimame katika ukweli na huu ni ukweli kuwa handout anazotafuta Kikweta hazisaidii hata kidogo katika maendeleo yetu zaidi ya kutufanya tuonekane omba omba.

Ujenzi wa kituo cha Urology unaweza kufanywa na Watanzania wala hauhitaji msaada wa Egypt.
Pesa za kulipa posho za 30,000 kwa watu 600 kwa siku 90 zinataoka wapi kiasi cha kushindwa kujenga Unit ya Urology?

Juzi hazina bilioni 480 zimetoweka achilia mbali mizigo ya ufisadi na wizi kama hesabu za CAG zinavyoonyesha.Leo tunashindwa kusimamia hayo tunawalaumu wanaojipangia maendeleo yao.

Kauli ya JK haifai kwa kuangalia mambo mengi, ni kauli aliyoitoa kisiasa na si kicuhumi.
Ni kauli ya kupendeza watu na kusahahu watu wake.

Sikubaliani na kauli zake na sijui hotuba zake ana zifanyia review na analysis au anaamka na kusoma tu. I totally disagree kwa hili. JK is wrong
! Kikwete is wrong
Nilitaka kushangaa wewe tena ukubaliane na JK.
 
Nakubaliana naye ikibidi na sikubaliani naye inapolazimu. Nipo huru na siyo loyal kwa mtu, watu au chama.

Kwahili JK is wrong hata kwa kufumba macho au bahati mbaya kakosea jamani. Tuseme wazi kakosea.
Ndio yale yale ya kusema tunapamabana na ujangili kwa kukamata pembe tani 20 mwaka jana!

JK is full of gaffe, aache kusema kama hana la kusema. Tunaokane hovyo kwasababu ya kauli kama hizi.

Muhimu, katika hoja zangu lipi nimemsingizia au kumuonea?
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Naona wengi wame ni misunderstand walicho chukia wa Ethiopia. Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.

Hii post imeintend ku inform, note hate kama wengi wanavyo fikiria.

Angalizo: Wengi wanadhani mto Nile unamwaga maji yake Ethiopia; sio kweli, bali Blue Nile kutoka Ethiopia humwaga maji yake Nile.

View attachment 141763

Kwa Mawazo mgando km haya angekuwa ananyea debe zile enzi za mchonga meno...ana bahati anabwabwaja enzi hizi za uhuru wa kusema hata pumba km hizi.
 
Saa ingine napata shida sana, kuelewa watu wanavyoelewa maana ya Upinzani!. Kuwa mpinzani siyo kupinga kila kitu, au kuchekela wakati mwenzako katoa kauli ambayo umetafsiriwa au kuchukuliwa ndivyo sivyo! Sasa wewe Chadema Diaspora hapa Kikwete ana kosa gani?? Hiyo statement yake ipo poa kabisa na haina tatizo, na ndiyo ukweli huo!
 
"Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni"I salute my honorable President for the statement
 
Sasa kalikoroga namna gani? Katoa ushauri ambalo ni jambo jema kabisa. Hao wanaompinga hawajui kwamba sisi tukiamua kuyatumia hayo maji tutakavyo basi watakufa maana watayakosa. Tena kwenye hili wasimguse Jakaya kabisa
 
Mh. Jakaya Kikwete. tafadhali nakuomba ujikite kwenye kutatua matatizo ya Watanzania. Acha kuingilia masuala yasiyokuhusu. Waachie UN na AU. wayasemee matatizo ya mataifa. Utatuletea migogoro isiyo ya lazima.
 
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Naona wengi wame ni misunderstand walicho chukia wa Ethiopia. Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.

Hii post imeintend ku inform, note hate kama wengi wanavyo fikiria.

Angalizo: Wengi wanadhani mto Nile unamwaga maji yake Ethiopia; sio kweli, bali Blue Nile kutoka Ethiopia humwaga maji yake Nile.

View attachment 141763

"a world is not a right place and safe to live not becouse of the evil people, but rather...of the who dont do anything about it" Albert Einstein...hii itakuwa aplicable na watu kama hawa badala utaifa kwanza we unaleta uchama kwanza mmelishwa nin nyie mazombi
 
Pro-Chadema uwa nawashangaa sana yaani upinzani kwao na rais Kikwete umevuka mipaka wapo radhi kushirikiana na mataifa ya nje yenye nia mbaya na Tanzania, hawana tena uzalendo.

Hawana maana hao mkuu, nimemchallenge mtoa mada kuleta exact qoute ya mhe JK juu ya mada yake ameshindwa kuileta.
Ho nawaita ni pro CHADEMA vinuka mkojo tu, stupid kids on the block.
 
MKuu JokaKuu , mimi sikubaliani na kauli ya JK kuhusu mto Nile.

Nakumbuka wa Egypt walikataa Tanzania isipeleke mradi wa maji Shinyanga ambao unge extend hadi maeneo mengine kwa kuhofia kupungua kina cha maji.

In rare cases ambazo namsifu Lowassa bila kusahahu hujuma alizozitendea taifa hili ni pale alipokuwa waziri wa maji.Lowassa alisimama kidete kuwakatalia wa Egypt kwa hilo.

Misri wakasema Gamal Abdiel Nasar aliwahi kusema uhai wa Misri upo mto Nile na yupo tayari kwenda vitani kwa hili akitishia kuishambulia Tanzania. Hata ilipokwenda katika ngazi ya kimataifa Egypt walishindwa.

Wamisri wakaahidi kuchimba visima ambavyo hawakurudi tena baada ya kuona issue imetulia.
Kujenga Urology ni mbinu zile zile za kumlisha ng'ombe mashudu ili ukamue maziwa.

Rais Kikwete atambue wenzetu wanatumia rasilimali wazlizo nazo kuendeleza nchi zao.
Ni jambo na ujinga wa hali ya juu kuagiza mchele kutoka Misri badala ya kutumia resource tulizo nazo kufanikisha miradi hiyo.

Ni jambo la kushangaza kwamba watu wa Shinyanga na Singida wafe wa kiu ya maji kwasababu ya kuwafikirika wamisri.

Ethiopia wanajenga mradi mkubwa kwa maendeleo ya nchi yao ili waondokane na handout.
Hilo lazima Kikwete alitambue na lisitumiwe kuidhalilisha nchi.

Hana sababu za ku rally watu wengine kama yeye hawezi ku deliver kwa resource zetu.
Kutokana na kufanya kila jambo kwa njia za kisiasa, Tembo na Twiga wanakwisha huku serikali ya JK ikijua wanapouzwa na nani anauza. Ameridhika rasilimali zimalizwe ili kufurahisha watu.

Watanzania lazima tusimame katika ukweli na huu ni ukweli kuwa handout anazotafuta Kikweta hazisaidii hata kidogo katika maendeleo yetu zaidi ya kutufanya tuonekane omba omba.

Ujenzi wa kituo cha Urology hauhitaji msaada wa Egypt.Posho za 30,000 kwa watu 600 kwa siku 90 zinataoka wapi kiasi cha kushindwa kujenga Unit ya Urology?

Juzi hazina bilioni 480 zimetoweka achilia mbali mizigo ya ufisadi na wizi kama hesabu za CAG zinavyoonyesha.Leo tunashindwa kusimamia hayo tunawalaumu wanaojipangia maendeleo yao.

Kauli ya JK haifai kwa kuangalia mambo mengi, ni kauli aliyoitoa kisiasa na si kiuchumi
Ni kauli ya kupendeza watu na kusahahu watu wake.

Sikubaliani na kauli zake na sijui hotuba zake ana zifanyia review na analysis au anaamka na kusoma tu.
I totally disagree kwa hili. JK is wrong
! Kikwete is wrong

handout za chama chenu ndo zitaleta faida kwa taifa..?"logic will get u from A to B, nut immagination will take u everywhere..." Einstein
 
Hawana maana hao mkuu, nimemchallenge mtoa mada kuleta exact qoute ya mhe JK juu ya mada yake ameshindwa kuileta.
Ho nawaita ni pro CHADEMA vinuka mkojo tu, stupid kids on the block.
Cha kufurahisha zaidi rais wetu JK kipenzi cha watanzania uwa hana muda wa kuwajibu, nikuakikishie hakuna adhabu kali kama kuwapuuza wapuuzi dawa yao ni kuwaacha waandike tu watumie uhuru wao huku wamejificha kwenye computer zao.
 
acha porojo mkuu, kusema kwamba JK hana Jurisdiction na mto nile una maanisha nini while the source of nile ipo hapa Tanzania(Ziwa Victoria- white nile, bule nile imeoriginate Lake Tana Ethiopia na mito hii miwili imekutana Khatourm Sudan Kufanya mto mmoja, nchi zenye mamlaka ni pamoja na Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Kenya, Ethiopia, Eritrea, South Sudan, Sudan na Egypt, umejisikia unachokisema lakini?? Propaganda yako dhaifu imefeli

huyu jamaa aliyetoa hii post kwanza haijui geografia ya huu mto pili kaja kwa lengo la kutengeneza bifu na kupima upepo,umeleza vyema sana mkuu pengine kupitia narration zko atajifunza kitu
 
handout za chama chenu ndo zitaleta faida kwa taifa..?"logic will get u from A to B, nut immagination will take u everywhere..." Einstein
Ungejibu hoja kwa hoja ningekuelewa zaidi. Hata hivyo ahsante kwa mchango wako
 
Mh. Jakaya Kikwete. tafadhali nakuomba ujikite kwenye kutatua matatizo ya Watanzania. Acha kuingilia masuala yasiyokuhusu. Waachie UN na AU. wayasemee matatizo ya mataifa. Utatuletea migogoro isiyo ya lazima.

Ndugu,hili nalo linamhusu sana,fahamu vema jografia ya nchi yako.
 
Kama Chadema Diaspora unaandika habari kwa ajili ya kuitetea Ethiopia basi mlaaniwe milele ,sasa kuna ubaya gani hapo?kwani aliposema Nile river for tanzanians alikosea?alikua unataka aseme for mbowe?
HATA KAMA SIASA LAKINI UTAIFA UWEKWE MBELE HABARI YA KIPUUZI KAMA HII INAAMINIWA NA WAPUUZI WA STAILI YENU ,hivi unaujua vizuri mgogoro wa Nile river?hao jamaa walitaka hata maji ya kunywa glassmoja kutoka lake victoria yasichukuliwe Tunakushukuru sana Mh Mkapa kwa ule mkwara ambao uliwapa wa Egypt hadi wakakaa sawa na kutambua kuwa TZ tuna haki miliki ya Nile kwa sababu umeanzia ziwa victoria

Tuondolee w.e.hu wako, CHADEMA inaingiaje hapa. Mimi si CCM wala mshabiki wa Kikwete, lakini sioni uhusiano kati ya mleta mada na CHADEMA.
Kila mtu mwenye akili timamu anaona hakuna baya lolote katika statement ya Kikwete. Alichosema ndiyo ukweli wenyewe.
Tatizo ninaloliona hapa ni kale ka ugonjwa ka wanaCCM ka "compulsive obsessive disorder" ambapo hudhani kila asiyekubaliana na Kikwete au CCM ni lazima awe mfuasi wa CHADEMA na kulazimika kila mara kujiridhisha sivyo.
Mbona mimi si mfuasi wa CCM lakini naziunga mkono hoja zake zote mbili; ile ya wito wa Kagame kuketi meza moja na wahutu na kumaliza tofauti zao na hii ya sasa ambayo hata darasa la saba ataiona mantiki yake.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia
​

Watu wa Ethiopia wamekuja juu kwenye social media (see attached links comments) baada ya kauli za JK juu ya mto Nile. Kauli hizo alizitoa Jumapili 23 Feb, 2014 alipo tembelewa na waziri wa mambo ya nje wa Egypt Dar es salaam, Tanzania.

Kauli hizo ni;

“Tanzania’s president tells Egypt’s foreign minister that his country will work hard to ensure that the Nile remains a source of cooperation between Nile Basin countries, not conflict”

"Tanzanian President Jakaya Kikwete has said Nile Basin countries should consult and decide on a mutual agreeable arrangement prior to the construction of any dams that impact several countries, stated Egyptian Foreign Minister Nabil Fahmy."

WaEthiopia wamekuja juu na kudai kuwa JK akae mbali na mgogoro wa mto Nile, kwani wamesha wekeza dola zaidi ya billion 4.2 kwa ajiri ya project ya kutengeneza bwawa la umeme.

Ikumbukwe kuwa JK hana jurisdiction ya mto Nile kwa hiyo kauli zake zimewakela sana waEthiopia walio wekeza $4.2 billion kwaajili ya mradi wa bwawa la umeme. Moja ya comments za muEthiopia imeandika "The dam is guilding bt the Ethiopian people, Not by Egyptian or Tanzaian aid"

Pia ikumbukuwe kuwa JK alishatoa kauli juu ya waHutu na waTusi ambazo zilileta mkanganyiko kwenye mahusiano yetu na Kagame.

Link za habari za Egyptian prime minster kutembelea Tza na Mradi wa Mega dam la waEthiopia walilo invest $4.2 billion

Egypt FM hails ‘positive’ Tanzanian stance on Ethiopia dam | EthioTube Play

Egypt and Ethiopia spar over the Nile | Al Jazeera America

MY TAKE: I DON’T THINK JK’s MOVES ARE WELL CALCULATED. Penye blue; inamaana kama Ethiopia itaendelea na mradi wake wa bwawa la umeme inamaana JK yupo tayari kutuingiza vitani kuzuia hilo?

Naona wengi wame ni misunderstand walicho chukia wa Ethiopia. Kilicho wauzi ni hiki; Wapo concerned with the fact that he (JK) stated the Nile casin countries have to consult Egypt when they plan using the river. Egypt never consulted the other basin countries when they built whatever they like. Musevini has recently warned Egypt to stop abusing black africans.

Hii post imeintend ku inform, note hate kama wengi wanavyo fikiria.

Angalizo: Wengi wanadhani mto Nile unamwaga maji yake Ethiopia; sio kweli, bali Blue Nile kutoka Ethiopia humwaga maji yake Nile.

View attachment 141763

Mmmmmmh bila Shaka na wewe ni mawakala wa kagame......hakuna utata wowote, ni propaganda ovu dhidi ya Tanzania na rais wetu
 
Tuondolee w.e.hu wako, CHADEMA inaingiaje hapa. Mimi si CCM wala mshabiki wa Kikwete, lakini sioni uhusiano kati ya mleta mada na CHADEMA.
Kila mtu mwenye akili timamu anaona hakuna baya lolote katika statement ya Kikwete. Alichosema ndiyo ukweli wenyewe.
Tatizo ninaloliona hapa ni kale ka ugonjwa ka wanaCCM ka "compulsive obsessive disorder" ambapo hudhani kila asiyekubaliana na Kikwete au CCM ni lazima awe mfuasi wa CHADEMA na kulazimika kila mara kujiridhisha sivyo.
Mbona mimi si mfuasi wa CCM lakini naziunga mkono hoja zake zote mbili; ile ya wito wa Kagame kuketi meza moja na wahutu na kumaliza tofauti zao na hii ya sasa ambayo hata darasa la saba ataiona mantiki yake.
akili zako zina kutu mtoa thread anaitwa nani?
 
Back
Top Bottom