Madakatari wa Tanzania ni wauaji wakubwa!

Uzembe,dharau,upuuzi,ushamba,nyodo na kiburi kwa madaktari husababisha vifo kwa wagonjwa.Ngoja nikusimulie kisa hiki:
Nilikua musoma mwaka juzi,nikaugua tumbo nusu ya kufa,nikaenda gvt hospital,nikapimwa na kuambiwa nina ascaris minyoo na kupewa midawa kibao,kila nilipotumia hizo dawa hali ilizidi kuwa mbaya mpaka nikazimia,nikarudishwa hapo hosp.,tukamkuta yule yule dr.,akasema hakuna shida dawa ndo inafanya kazi tusiwe na wasi,hali ilizidi kuwa mbaya nikakaribia kufa kbs,ikabidi nipelekwe priv.dispensar(AIC),baada ya vipimo dr.alisema nina typhoid kali sn na kwamba zile dawa nilopewa mwanzo ni vice vessa na ugonjwa na ni kali sn ,nikapewa dawa zingine,after 3days nikarecover.
Juzi kati mama mkwe alizidiwa ghafla ucku,tukamkimbiza priv.hosp.,tulipofika dr. alichofanya ni kumtundikia drip ya maji na kusepa,mama alizidi kutaabika tu,nikamfuata na kumuuliza tatizo la mgonjwa,akanijibu nisimfundishe kazi tusubiri asubuhi,niliuwasha moto pale,kuona hivyo alichukua vifaa na kwenda kumshughulikia mgonjwa,

Sio kila unayemkuta hospitali,kituo cha afya au zahanati ni daktari.
Sio kila anayekuandikia dawa na kutafsiri vipimo ni daktari.
Jua unampata wapi daktari(MD),ilo sio jukumu la daktari kukupa tangazo.
Jua tofauti kati ya Nurse,CO,AMO na MD.
Unaweza toka povu hapa wakati unayemzungumzia sio daktari...
 
Dr.Mo sio mtoa mada tu....kuna wengine wengi tu wanalalamikia maDR....kuna tatizo kaka watu wamechoka,badilikeni tunajua sio wote lakini mtu akikutana na DR kimeo lazima asema na akikutana na DR wa uhakika hasemi chochote kwasababu hicho ndio anachokitegemea hospital.......BTW usiweke LIKE kwenye post zinazosifia maDR tu angalia hata zinazotoa changamoto
Mimi nashangaaga watanzania sana....sana yaani..!
 
Mleta mada ahsante.Pamoja na kwamba baadhi ya madaktari wako kama mleta mada alivyojaribu kuainisha,tatizo kubwa la mleta mada ni kwamba tangu mwanzo alikwisha kosa imani na daktari huyo.Hii ilikuwa inatosha kwa mleta mada kutoendelea na huduma kwa daktari au hospitali hiyo.
 
Afadhali umenisaidia maananingesema mimi ningefungiwa huyu mleta uzi ni mbwandika ua mbeanganda mbwaaa!!!.

Huyu alieandika no mwongo...Mara anasema alipewa dawa ya sindano,baadae anadema kabla ya kuimeza alisoma maelekezo.......msitukane wakunga...........karma mtu kakosea Luna utaratibu wa kudai khaki yako badala ya kutukana madaktari......hivi unajua akina mama wangapi na watoto wanaokolewa name hawa madaktari unao wabeza katika nchi hii?
 
Ni Jukumu la doctor kuuliza kama una allergy na sulphur au allergy na dawa nyingine yoyote. Sio wagonjwa wote wamekwenda shule na kua waelewa na si rahisi ujue dawa ipi ina sulphur na ipi haina, ila doctor anapaswa kujua na kukuuliza.
Matatizo ni mengi mno kwenye hospitali zetu na vifo vingi ni kutokana na uzembe wa madaktari. wagonjwa wa sukari mara nyingi hufa kwa uzembe kwa kushushwa sukari wakati sukari iko chini tayari na mtu unconsious sababu hiyo.
Wagonjwa wengi wa sukari mara nyingi sukari hushuka sana kutokana na dawa wanazokunywa, ukimjulia na kama unajua zile dalili za sukari kupanda au kushuka unaweza hata wewe ukamtibu nyumbani, ikishuka unampa sukari, soda, glucose n.k. ndio maana wanaambiwa watembee na sukari na kitambulisho incase ata collapse njiani.
lakini akipelekwa kwa hawa dot com wetu ukambia ana sukari, hana anachojua zaidi ya kumpa dawa ya kushusha sukari zaidi, wakati ndio anammaliza kabisa. case kama hizi ni nyingi mno. Pima sukari yake kwanza kabla hujampa matibabu ya aina yoyote ikiwa kama dalili za kushuka au kupanda kwa sukari huzijui. mgonjwa wa sukari tatizo lake kubwa si kupanda sukari tu, hata kushuka kwa sukari, na ndio vifo vingi hutokana na hii hali.
Rosatan, hujawahi kua na mgonjwa nadhani ndio maana unaona wanaonewa.

Hivi allergy kama ya sulphur ni Emergency?kwann mgonjwa mwenyewe asiseme me nina tatizo hili ama lile..wabongo tunalaum mpaka inakera ati..
 
Ni Jukumu la doctor kuuliza kama una allergy na sulphur au allergy na dawa nyingine yoyote. Sio wagonjwa wote wamekwenda shule na kua waelewa na si rahisi ujue dawa ipi ina sulphur na ipi haina, ila doctor anapaswa kujua na kukuuliza.
Matatizo ni mengi mno kwenye hospitali zetu na vifo vingi ni kutokana na uzembe wa madaktari. wagonjwa wa sukari mara nyingi hufa kwa uzembe kwa kushushwa sukari wakati sukari iko chini tayari na mtu unconsious sababu hiyo.
Wagonjwa wengi wa sukari mara nyingi sukari hushuka sana kutokana na dawa wanazokunywa, ukimjulia na kama unajua zile dalili za sukari kupanda au kushuka unaweza hata wewe ukamtibu nyumbani, ikishuka unampa sukari, soda, glucose n.k. ndio maana wanaambiwa watembee na sukari na kitambulisho incase ata collapse njiani.
lakini akipelekwa kwa hawa dot com wetu ukambia ana sukari, hana anachojua zaidi ya kumpa dawa ya kushusha sukari zaidi, wakati ndio anammaliza kabisa. case kama hizi ni nyingi mno. Pima sukari yake kwanza kabla hujampa matibabu ya aina yoyote ikiwa kama dalili za kushuka au kupanda kwa sukari huzijui. mgonjwa wa sukari tatizo lake kubwa si kupanda sukari tu, hata kushuka kwa sukari, na ndio vifo vingi hutokana na hii hali.
Rosatan, hujawahi kua na mgonjwa nadhani ndio maana unaona wanaonewa.

Nmekupata vizuri lkn nadhani hatujaelewana kitu,ishu ni kusaidiana coz workload ni kubwa na kila mtu anataka kutibiwa.km unajua tatizo lako y usisaidiane na dr?me ni victim mmoja wapo.nikifka hosp lazma nmwambie dr nina allergy na sulphur na pia nina ulcers ili atakaponitibu ajue atanipa dawa gani..
 
sasa unadahani wagonjwa wote wanajua na wanaweza kujihami mapema kama wewe? kuulizia medical history ya mgonjwa au kama mgonjwa ana allergy ni jukumu la daktari. hata kama unaumwa malaria, dr hawezi kukurupuka tu kukuandikia dawa, sharti akuulize kama aina ya dawa anazokupa zina madhara yoyote kwako au kama zinaweza kukutibu. sio kila aina ya dawa ya ugonjwa fulani, inawatibu watu waote wenye ugonjwa huo. tatizo madaktari wengi wa wa tanzania hawako makini na kazi yao. mtawatetea sana lakini huo ndio ukweli.
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Juzi kati nilikuwa naumwa nikaenda hospitali moja kubwa tu ya serikali. Nilikutana na daktari mmoja mwanamke, anayeonekana kabisa kwamba hajiamini na kazi yake na wala hajui alifanyalo. Niligundua kwamba hajiamini ama kwa sababu hana maarifa ya kutosha au ni kanjanja (divisheni 5!). Baada ya vipimo, daktari huyu aliniandikia dawa na kunielekeza niende nikaichukue pharmacy.

Nilipofika pharmacy, mfamasia akashindwa anipe dawa gani kwani kwenye maelekezo dr hakuandika kama ni dawa niliyopaswa kupewa ni sindano au ya vidonge. Ilinibidi nirudi kwa daktari kumuomba aandike upya ila nilikuta tayari ameishaondoka kwani muda wa kazi ulikuwa umekwisha. Basi, ikanibidi nirudi tena kwa mfamasia tushauriane cha kufanya. Mfamasia akasisitiza kwamba hawezi kunipa dawa bila kujua kama ni ya vidonge au sindano. Nikamuuliza tufanyeje. Akaninishauri niende jengo la pili nimtafute daktari yeyote nitakayemkuta nimuombe anisadie kutatua tatizo hilo. Ikanibidi nifanye kama nilivyoelekezwa.

Kwenye hilo jengo la pili sikubahatika kukutana na daktari yeyote ila nilibahatika kukutana na nurse mzoefu ambaye aliniambia kwamba dawa ile kwa kawaida hutolewa kama sindano. Niliporudi kwa mfamasia nikamwambia nimekutana na dakari amesema dawa inayotakiwa ni ya sindano (ili kupunguza mlolongo wa kupata dawa maana siku yenyewe ilikuwa Ijumaanisingepata dawa ingebidi nikae hadi Jumatatu!). Mfamasia akanipa dawa yangu nikasepa.

Kabla ya kutumia ile dawa ilinibidi kwanza nihakikishe kwamba najiridhisha kuhusu matumizi yake pamoja na madhara yanayoambatana na utumiaji wa dawa ile, kitu ambacho sikugusiwa kabisa na yule dakatari wangu. Dawa niliyopewa ina madhara makubwa yanayoambatana na matumizi yake kama inavyoonyesha hapa:

Dexamethasone
Generic Name: dexamethasone (oral) (dex a METH a sone)
Brand Name: Baycadron, Dexamethasone Intensol, DexPak 10 Day Taperpak, DexPak 13 DayTaperpak, DexPak 6 DayTaperpak, Dexpak Jr. Taperpak, Zema Pak 10-Day, Zema Pak 13-Day, Zema Pak 6-Day
What is dexamethasone?
Dexamethasone is a corticosteroid that prevents the release of substances in the body that cause inflammation.
Dexamethasone is used to treat many different inflammatory conditions such as allergic disorders, skin conditions, ulcerative colitis, arthritis, lupus, psoriasis, or breathing disorders.
Dexamethasone may also be used for purposes not listed in this medication guide.
Important information about dexamethasone
You should not use this medication if you are allergic to dexamethasone, or if you have a fungal infection anywhere in your body.
Before taking dexamethasone, tell your doctor about all of your medical conditions, and about all other medicines you are using. There are many other diseases that can be affected by steroid use, and many other medicines that can interact with steroids.
Your dexamethasone dosage may change if you have any unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you during treatment.
Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection or worsening an infection you already have or have recently had. Tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication.
Do not receive a "live" vaccine while you are taking dexamethasone. Vaccines may not work as well while you are taking a steroid.
Do not stop using dexamethasone suddenly, or you could have unpleasant withdrawal symptoms. Talk to your doctor about how to avoid withdrawal symptoms when stopping the medication.
Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using a steroid.
Before taking dexamethasone

Dexamethasone can weaken your immune system, making it easier for you to get an infection. Steroids can also worsen an infection you already have, or reactivate an infection you recently had. Before taking dexamethasone, tell your doctor about any illness or infection you have had within the past several weeks.
To make sure you can safely take dexamethasone, tell your doctor if you have any of these other conditions:
liver disease (such as cirrhosis);
kidney disease;
a thyroid disorder;
diabetes;
a history of malaria;
tuberculosis;
osteoporosis;
a muscle disorder such as myasthenia gravis;
glaucoma or cataracts;
herpes infection of the eyes;
stomach ulcers, ulcerative colitis, or diverticulitis;
depression or mental illness;
congestive heart failure; or
high blood pressure
Tell your doctor if you are pregnant or plan to become pregnant while using this medication.
Dexamethasone can pass into breast milk and may harm a nursing baby. Do not use this medication without telling your doctor if you are breast-feeding a baby.
Dexamethasone can affect growth in children. Talk with your doctor if you think your child is not growing at a normal rate while using this medication.
How should I take dexamethasone?
Take dexamethasone exactly as prescribed by your doctor. Do not take in larger or smaller amounts or for longer than recommended. Follow the directions on your prescription label.
Your doctor may occasionally change your dose to make sure you get the best results.
Your steroid medication needs may change if you have unusual stress such as a serious illness, fever or infection, or if you have surgery or a medical emergency. Tell your doctor about any such situation that affects you.
This medication can cause unusual results with certain medical tests. Tell any doctor who treats you that you are using dexamethasone.

Wear a medical alert tag or carry an ID card stating that you take dexamethasone. Any medical care provider who treats you should know that you are using steroid medication.
Store at room temperature away from moisture and heat.
What happens if I miss a dose?
Call your doctor for instructions if you miss a dose of dexamethasone.
Long-term use of high steroid doses can lead to symptoms such as thinning skin, easy bruising, changes in the shape or location of body fat (especially in your face, neck, back, and waist), increased acne or facial hair, menstrual problems, impotence, or loss of interest in sex.
What should I avoid while taking dexamethasone?
Avoid being near people who are sick or have infections. Call your doctor for preventive treatment if you are exposed to chicken pox or measles. These conditions can be serious or even fatal in people who are using steroid medication such as dexamethasone.
Do not receive a "live" vaccine while using dexamethasone. The vaccine may not work as well during this time, and may not fully protect you from disease. Live vaccines include measles, mumps, rubella (MMR), oral polio, rotavirus, typhoid, varicella (chickenpox), H1N1 influenza, and nasal flu vaccine.
Avoid drinking alcohol while you are taking dexamethasone.
Dexamethasone side effects
Get emergency medical help if you have any of these signs of an allergic reaction to dexamethasone: hives; difficulty breathing; swelling of your face, lips, tongue, or throat.
Call your doctor at once if you have a serious side effect such as:
problems with your vision;
swelling, rapid weight gain, feeling short of breath;
severe depression, unusual thoughts or behavior, seizure (convulsions);
bloody or tarry stools, coughing up blood;
pancreatitis (severe pain in your upper stomach spreading to your back, nausea and vomiting, fast heart rate);
low potassium (confusion, uneven heart rate, extreme thirst, increased urination, leg discomfort, muscle weakness or limp feeling); or
dangerously high blood pressure (severe headache, blurred vision, buzzing in your ears, anxiety, confusion, chest pain, shortness of breath, uneven heartbeats, seizure).
Less serious dexamethasone side effects may include:
sleep problems (insomnia), mood changes;
acne, dry skin, thinning skin, bruising or discoloration;
slow wound healing;
increased sweating;
headache, dizziness, spinning sensation;
nausea, stomach pain, bloating;
muscle weakness; or
changes in the shape or location of body fat (especially in your arms, legs, face, neck, breasts, and waist).
This is not a complete list of side effects and others may occur. Call your doctor for medical advice about side effects. You may report side effects to FDA at 1-800-FDA-1088.
What other drugs will affect dexamethasone?
Many drugs can interact with dexamethasone. Below is just a partial list. Tell your doctor if you are using:
aspirin (taken on a daily basis or at high doses);
a diuretic (water pill);
a blood thinner such as warfarin (Coumadin);
cyclosporine (Gengraf, Neoral, Sandimmune);
insulin or diabetes medications you take by mouth;
ketoconazole (Nizoral);
rifampin (Rifadin, Rifater, Rifamate, Rimactane); or
seizure medications such as phenytoin (Dilantin) or phenobarbital (Luminal, Solfoton).
This list is not complete and other drugs may interact with dexamethasone. Tell your doctor about all medications you use. This includes prescription, over-the-counter, vitamin, and herbal products. Do not start a new medication without telling your doctor.

Hapa ndipo nilipokuja kugundua kuwa kumbe sio tu kwamba watu wanakufa kwa kukosa matibabu ila wengi wao hufa kwa kukosa maelekezo sahihi ya dawa kutoka kwa madaktari uchwara, hasa kwenye hospitali na zahanati za serikali. Hebu tazama hiyo orodha ndefu ya madhara ya pembezoni ya dawa hii, halafu imagine daktari anampa mgonjwa dawa kama pipi bila kumpa taarifa kama hizo! Hivyo, basi madakatri wengi wa hospitali za umma ni wauaji wakubwa!
Tatizo la ujuaji siku hizi ndo husababisha kifo
Dexamethasone ni dawa nzuri sana pengne tukikwambia madharaya dawa zote unazotumia..
Je Utazitumia?
 
Najuta kusoma huu ugilori
 
Du duu inatisha
 
Na ili waikopi ninatakiwa nilipe sh 86,000/=? Bila hivyo nikae na CD yangu nikafilie mbali, sina hela hiyo na pia sioni uhalali wa malipo hayo kwani hiyo CD ukiweka kwenye kompyuta inafunguka haihitaji uchawi wowote ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom