Recent content by CHIPESI NAMISUKU

  1. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Lissu karibu nyumbani kwa amani, usifuate nyayo za Raila Odinga

    Baada ya dosari za uchaguzi mkuu wa Kenya wa 2017, kiongozi wa upinzani alisusia uchaguzi wa marudio na kuanza ziara nje ya nchi akitafuta uungwaji mkono kutoka mataifa na mashirika ya nje. Tarehe 17.11.2017 zaidi ya wafuasi walifika uwanja wa ndege wa Kenyata wakihimiza kuwa wamefika...
  2. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Mzee Mkapa ni nguzo ya Taifa wapo sahihi

    Tarehe 28/12/2019 niliandika kuhusu Mzee Mkapa kichwa Cha habari kikisema Nini maana ya Legacy? Niliandika naomba Kunukuu:- "Natamani sana kujua wasaidizi wa Rais Mkapa alioingia nao madarakani 1995. Kama kuna mtu ameacha Legacy ya kutosha kwenye nchi hii japokuwa hatuoni kwa macho ya kawaida...
  3. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu Tanzania tunawapataje?

    Kuanzia 2017 niliandika Sana kuhusu aina ya Viongozi tunaowahitaji. Makala zangu asilimia tisini nililenga kuandaa watu kutambua aina ya Viongozi Bora hata kwa kuiga Kutoka mataifa yaliyoendelea. Kwa upande wangu nafikiri nilimaliza kabisa kila kitu katika kutoa Elimu ya Nini tufanye ili...
  4. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Baada ya kura za maoni niseme haya mawili

    1. Vyama vya Upinzani nchini vina nafuu kubwa ya kulelea vijana na kuwafanya kuwa wanasiasa wakubwa mbeleni. Ni rahisi sana kwa kijana ambaye hana fedha lakini yupo Smart kushinda Ubunge akiwa Upinzani kuliko kwenye chama chetu tawala. Tuna mifano Halisi kabisa angalia Umri aliopata nao Ubunge...
  5. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro unavyouaibisha mkoa wa Dar e Salaam kitaaluma

    Mkoa wa Kilimanjaro pekee una shule 66 za Advance yaani mara sita ya shule zote za Mkoa wa Mtwara na Geita ambayo mtwara inashika nafasi ya kwanza na Geita ya Tatu, Kilimanjro ina Shule za Advance zaidi ya mara nane ya shule zote Lindi na karibu mara tatu zaidi ya shule zote za Morogoro na mara...
  6. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kila la Kheri Bernard Membe

    Membe jana kachukua Form ya kugombea Urais toka kwenye chama Cha ACT. Kwa mbaali namuona ulimi wake ukiteleza akiwa jukwaani na kusema Mambo yasiyoeleweka. Nimkubushe kuwa:- Sheria ya Usalama wa nchi namba 3 ya mwaka 1970 inakataza mambo mengi ambayo hayapaswi kufanywa na mtumishi wa Umma...
  7. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Dkt. Tulia Bungeni 2020

    CCM mpya inapambana Sana kuua Upinzani nchini, huenda wakafanikiwa au wasifanikiwe lakini niwakumbushe tena kuwa Upinzani wa kweli haupo kwenye vyama Bali upo kwenye mioyo ya watu na kwa Sasa Upinzani wa kweli utajitokeza ndani ya CCM yaani itakuwa CCM vs CCM. WOSIA KWA SERIKALI YA AWAMU YA...
  8. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Kuhusu Tanzania Kuingia Uchumi wa Kati, Prof Ngowi Mchumi amefafanua vizuri Sana hata mm layman wa Uchumi nimeweza kuelewa. Mambo ya Msingi hapa Ni kwamba: 1. Tunaposema tumeingia Uchumi wa Kati tunachukua Pato la WATANZANIA wote tunatafuta wastani. Maana yake Pato langu linajumlishwa na la...
  9. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

    Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
  10. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuingia Uchumi wa Kati maana yake nini?

    Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
  11. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Anna Mghwira atagombea Ubunge?

    Bado nafikiria kuhusu hekaya ya Mh Rais kuhusu Mwananzila. Kila mtendaji wa Serikali ninayemfikiria angeliisaidia Sana CC M pale Bungeni kujenga hoja na kunusuru zile mbao za madesk ya binge yasichakae namkumbuka Mwananzila. Baada ya kuandika kuhusu kiu yangu kwa Prof Kitila Mkumbo na Antony...
  12. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Hesabu za gizani za Membe

    Nimemsikiliza Membe Sana Wiki hii, inaonyesha kapania kweli kweli kugombea. Analalamika Sana kuhusu kanuni za CCM, kuhusu Adhabu yake, kuhusu katiba ya nchi nakadhalika. Huyu jamaa anaweza akawa na plan B ya Siasa na tunaweza kukutana na Surprise huko mbeleni. Kuna uwezekano Membe akaangukia...
  13. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sayansi ya siasa inatutaka wana CCM kuendelea kuomba kura bado hatujashinda

    Mojawapo ya makosa makubwa ya Kampeni na uchaguzi duniani Kote Ni kumu-Underestimate opponent wako. Hili kosa huwa halifanyiki kwenye Siasa tu hata kwenye michezo na kwenye medani za kivita Ni kosa kuu Kati ya makosa makubwa yanayotajwa. Kuelekea October kila mwana CCM anayezungumza anasema...
  14. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania "Mkiniacha mnaniogopa, mkinigusa mmenionea"

    Well, kwa mara nyingine nimemsoma Mwanasiasa nguli wa Haki za CHADEMA ktk kivuli cha "Monrovian Uamsho" aliyekabidhi kikoba cha "injili" na "Theolojia" kwa Mbowe na kukumbatia "Unyumbu"....Huyu ni Kamanda Mwamakula, yeye anajaribu kulalamikia kufutiwa leseni kwa Gazeti la Tanzania Daima huku...
  15. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wagombea uongozi katika vyombo vya dola

    Kuelimisha ni jambo jema, na shabaha ya kuelimishana ni kusaidiana ktk kupata maarifa mbalimbali ili maarifa hayo yatusaidie kup ata mwanga wa kuondoa giza la ujinga lililotamalaki vichwani mwetu. Katika tabia za wanadamu, usije kuona aibu kuitwa mjinga, maana mjinga yuko tayari kujifunza na...
Back
Top Bottom