Umuhimu wa Dkt. Tulia Bungeni 2020

Oct 7, 2019
51
156
CCM mpya inapambana Sana kuua Upinzani nchini, huenda wakafanikiwa au wasifanikiwe lakini niwakumbushe tena kuwa Upinzani wa kweli haupo kwenye vyama Bali upo kwenye mioyo ya watu na kwa Sasa Upinzani wa kweli utajitokeza ndani ya CCM yaani itakuwa CCM vs CCM.
WOSIA KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

Ili Serikali ya awamu ya Tano istaafu kwa amani lazima kuwe na Mpango wa "Succession plan" kuandaa warithi sahihi wenye fikra na maono Kama Serikali itakayoondoka madarakani 2025.

Nasema istaafu kwa amani kwa kuwa Kuna mabadiliko makubwa Sana ndani ya CCM kitabia, tabia hizo zinajionyesha wazi wazi Sasa na zitajionyesha baadaye kwa ukubwa ifikapo 2024 kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Vurugu anazozifanya Membe msidhani yupo Mwenyewe huenda Kuna watu nje na ndani ya CCM wenye agenda yao Sasa na 2025.

Twende sawa.
Kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita ndani ya CCM hakuna utulivu, kulikuwa na msuguano wa wazi Kati ya CCM ya Zamani na CCM mpya.

Hili lilionekana waziwazi na Kuna waliofukuzwa, wengine wakaomba msamaha na wengine ndio Hawa kina Membe ambao wanajitutumua kuondoa utamaduni wa CCM wa kuachiana kwa vipindi viwili.

Narudia kusema Membe hayupo mwenyewe Kuna kundi linamuumga mkono ndani na njee ya CCM.
Kuelekea 2025.

Kwa Sasa Mambo yanaonekana Kama ni ya kawaida Ila Serikali hii ya awamu ya Tano Kama isipojipanga vizuri watakuja kujuta baada ya 2025.

Kama CCM ya Zamani ikifanikiwa kupenyeza watu kwenye nafasi tatu muhimu (Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge) kwenye Serikali ya awamu ya sita Mambo hayatakuwa Kama yalivyo.

Niliwahi kuandika UMUHIMU wa Rais Magufuli kuandaa mrithi wake mwenye maono, fikra na Falsafa Kama zake ili kuwe na continuity ya Yale aliyoyafanya.

Pamoja na kuandaa mtu wa kuyalinda na kuyaendeleza Yale aliyoyafanya lazima awe na uwezo wa kuwalinda wastaafu wetu.

Kwa Nini Tulia Ni Muhimu?
Dkt. Tulia yupo Hapo alipo kutokana na Uteuzi wa Rais Magufuli, kabla ya Rais Magufuli kumteua hakuna mtu aliyekuwa anamjua zaidi ya watu wake wa karibu na wale aliowafundisha pale UDSM.

Kwa maana hiyo Tulia ni zao la Rais Magufuli, huyu anatakiwa aandaliwe kuwa Spika wa bunge 2025.

Nina Imani kuwa huyu anaweza kuyalinda maslahi ya Serikali itakayoondoka ndani ya bunge, simuoni Ndugai akirudi baada ya 2025 hivyo Kama wasipoandaa mtu sahihi kwenye kiti hiki bunge linaweza kuja kutumika Kama eneo la kuwaadhibu baadaye.

Uwezo anao na kwa Muda wa miaka 5 ameweza kuwasimamia wabunge si wa chama chake tu Bali hata wale wakorofi wa vyama pinzani.

Tumeona kilichotokea Malawi baada ya Chakwera kuingia Madarakani. Kitu cha kwanza alichofanya ni kurekebisha Sheria na kuondoa Kinga ya kutokushtakiwa kwa Rais aliyeondoka Madarakani.

Juzi juzi bunge letu lilipitisha Sheria ya kuweka Kinga ya kutokushtakiwa Baadhi ya Viongozi, Sheria hii itakuja kuondolewa Mara Moja baada ya Serikali hii kuondoka Madarakani Kama hawatawaacha warithi sahihi. Dkt. Tulia kwa vyovyote vile anatakiwa ashinde ili kuanza kutengeneza mazingira ya 2025.

Kuhusu wabunge wengine.
Huwa narudia kila Mara kuwa CCM mpya isaidie Kuondoa wabunge wote wa awamu zilizopita kwa lengo la kumuondolea Rais wabunge aliorithi toka awamu nyingine.
Kuna faida nyingi, mojawapo ya faida hizo ni kuondoa vinasaba vya wabunge wa CCM ya Zamani kabisa au wapunguzwe Sana. Awamu hii lazima CCM mpya ijitahidi kuweka wabunge wengi ambao si masalia ya awamu nyingine zilizopita. Wabunge Hawa wapya watajifunza na kujijengea uwezo kuelekea 2025. Hawa watalisaidia bunge kuwa na utulivu 2025.
Hasara ya kuvuka na haya masalia yenye vinasaba na awamu zilizopita Ni rahisi kutumika. Nayasema haya maana najua maisha ya Mtu asiyekuwa na madaraka yapoje. CCM imebadilika tujifunze.
Naruhusu mawazo Mbadala toka kwa mwanaccm mwenzangu maana hii inatuhusu sisi zaidi.
tulia n.jpg
 
Apa nafikiria sana kama kweli wewe ujafanyia ubaya mpaka ukaandika hii makala! Yaani umeonyesha njia ambazo zinaenda kutumika ili kulinda makosa na wakosaji.Umeonyesha kua CCM inafanya makosa mengi tena kwa makusudi ili mradi watawala wamejiwekea kinga .....huu ni uchuro na uhaini dhidi ya katiba..
 
Sisi tunawaza maslahi ya Taifa wewe unawaza maslahi ya CCM mapya...
 
CCM mpya inapambana Sana kuua Upinzani nchini, huenda wakafanikiwa au wasifanikiwe lakini niwakumbushe tena kuwa Upinzani wa kweli haupo kwenye vyama Bali upo kwenye mioyo ya watu na kwa Sasa Upinzani wa kweli utajitokeza ndani ya CCM yaani itakuwa CCM vs CCM.
WOSIA KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO.

Ili Serikali ya awamu ya Tano istaafu kwa amani lazima kuwe na Mpango wa "Succession plan" kuandaa warithi sahihi wenye fikra na maono Kama Serikali itakayoondoka madarakani 2025.

Nasema istaafu kwa amani kwa kuwa Kuna mabadiliko makubwa Sana ndani ya CCM kitabia, tabia hizo zinajionyesha wazi wazi Sasa na zitajionyesha baadaye kwa ukubwa ifikapo 2024 kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.

Vurugu anazozifanya Membe msidhani yupo Mwenyewe huenda Kuna watu nje na ndani ya CCM wenye agenda yao Sasa na 2025.

Twende sawa.
Kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita ndani ya CCM hakuna utulivu, kulikuwa na msuguano wa wazi Kati ya CCM ya Zamani na CCM mpya.

Hili lilionekana waziwazi na Kuna waliofukuzwa, wengine wakaomba msamaha na wengine ndio Hawa kina Membe ambao wanajitutumua kuondoa utamaduni wa CCM wa kuachiana kwa vipindi viwili.

Narudia kusema Membe hayupo mwenyewe Kuna kundi linamuumga mkono ndani na njee ya CCM.
Kuelekea 2025.

Kwa Sasa Mambo yanaonekana Kama ni ya kawaida Ila Serikali hii ya awamu ya Tano Kama isipojipanga vizuri watakuja kujuta baada ya 2025.

Kama CCM ya Zamani ikifanikiwa kupenyeza watu kwenye nafasi tatu muhimu (Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge) kwenye Serikali ya awamu ya sita Mambo hayatakuwa Kama yalivyo.

Niliwahi kuandika UMUHIMU wa Rais Magufuli kuandaa mrithi wake mwenye maono, fikra na Falsafa Kama zake ili kuwe na continuity ya Yale aliyoyafanya.

Pamoja na kuandaa mtu wa kuyalinda na kuyaendeleza Yale aliyoyafanya lazima awe na uwezo wa kuwalinda wastaafu wetu.

Kwa Nini Tulia Ni Muhimu?
Dkt. Tulia yupo Hapo alipo kutokana na Uteuzi wa Rais Magufuli, kabla ya Rais Magufuli kumteua hakuna mtu aliyekuwa anamjua zaidi ya watu wake wa karibu na wale aliowafundisha pale UDSM.

Kwa maana hiyo Tulia ni zao la Rais Magufuli, huyu anatakiwa aandaliwe kuwa Spika wa bunge 2025.

Nina Imani kuwa huyu anaweza kuyalinda maslahi ya Serikali itakayoondoka ndani ya bunge, simuoni Ndugai akirudi baada ya 2025 hivyo Kama wasipoandaa mtu sahihi kwenye kiti hiki bunge linaweza kuja kutumika Kama eneo la kuwaadhibu baadaye.

Uwezo anao na kwa Muda wa miaka 5 ameweza kuwasimamia wabunge si wa chama chake tu Bali hata wale wakorofi wa vyama pinzani.

Tumeona kilichotokea Malawi baada ya Chakwera kuingia Madarakani. Kitu cha kwanza alichofanya ni kurekebisha Sheria na kuondoa Kinga ya kutokushtakiwa kwa Rais aliyeondoka Madarakani.

Juzi juzi bunge letu lilipitisha Sheria ya kuweka Kinga ya kutokushtakiwa Baadhi ya Viongozi, Sheria hii itakuja kuondolewa Mara Moja baada ya Serikali hii kuondoka Madarakani Kama hawatawaacha warithi sahihi. Dkt. Tulia kwa vyovyote vile anatakiwa ashinde ili kuanza kutengeneza mazingira ya 2025.

Kuhusu wabunge wengine.
Huwa narudia kila Mara kuwa CCM mpya isaidie Kuondoa wabunge wote wa awamu zilizopita kwa lengo la kumuondolea Rais wabunge aliorithi toka awamu nyingine.
Kuna faida nyingi, mojawapo ya faida hizo ni kuondoa vinasaba vya wabunge wa CCM ya Zamani kabisa au wapunguzwe Sana. Awamu hii lazima CCM mpya ijitahidi kuweka wabunge wengi ambao si masalia ya awamu nyingine zilizopita. Wabunge Hawa wapya watajifunza na kujijengea uwezo kuelekea 2025. Hawa watalisaidia bunge kuwa na utulivu 2025.
Hasara ya kuvuka na haya masalia yenye vinasaba na awamu zilizopita Ni rahisi kutumika. Nayasema haya maana najua maisha ya Mtu asiyekuwa na madaraka yapoje. CCM imebadilika tujifunze.
Naruhusu mawazo Mbadala toka kwa mwanaccm mwenzangu maana hii inatuhusu sisi zaidi.
View attachment 1499239
Sweetheart Chipesi, you started very well, but unfortunately with a bit minor you concluded with an error. Please just rectify it.
 
Duh huyo apite Mbeya na chupi yake akae mbele ya wanaume? Hii ni kashifa kwa makabila ya mkoa wa Mbeya
 
Kwa Nini Tulia Ni Muhimu?
Dkt. Tulia yupo Hapo alipo kutokana na Uteuzi wa Rais Magufuli, kabla ya Rais Magufuli kumteua hakuna mtu aliyekuwa anamjua zaidi ya watu wake wa karibu na wale aliowafundisha pale UDSM.

Kwa maana hiyo Tulia ni zao la Rais Magufuli, huyu anatakiwa aandaliwe kuwa Spika wa bunge 2025.

Nina Imani kuwa huyu anaweza kuyalinda maslahi ya Serikali itakayoondoka ndani ya bunge, simuoni Ndugai akirudi baada ya 2025 hivyo Kama wasipoandaa mtu sahihi kwenye kiti hiki bunge linaweza kuja kutumika Kama eneo la kuwaadhibu baadaye.
View attachment 1499239
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
P
 
Juzi juzi bunge letu lilipitisha Sheria ya kuweka Kinga ya kutokushtakiwa Baadhi ya Viongozi, Sheria hii itakuja kuondolewa Mara Moja baada ya Serikali hii kuondoka Madarakani Kama hawatawaacha warithi sahihi. Dkt. Tulia kwa vyovyote vile anatakiwa ashinde ili kuanza kutengeneza mazingira ya 2025.
Una hofu kuwa Magufuli ataondolewa kinga ya kushtakiwa? Unahisi Kuna Madhambi kibao ameyafanya Wakati wa Urais wake? Unahisi kwanini Marais wastaafu Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawajawahi kuwa na hofu ya kushitakiwa? Kwanini Sasa Magufuli, Ndugai na Ibrahim Juma wana hofu ya kushtakiwa? Bila shaka Unajua Una hofu Kuna dhambi wamezifanya na hazisameheki, au siyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom