Recent content by CHIPANJE

  1. C

    JamiiForums Tanzania Dawa ya stress ni nini?

    Chijanganye kwenye makundi ya watu kwa kupiga story. Nakushauri pombe si njia ya kukusahaulisha eti usiwe unawaza juu ya jambo linalosumbua akili yako.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu analika niendelea naye au nimkaushie tu?

    Sasa hapo kinachokufanya uone analika ni kitu gani. Nakushauri kama una huo mpango upotezee maana akikuchokolea hutokuja kukuabali kuwa ndo yeye amekukataa!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Abdallah Mlawa na Malima Nderema, mwenye habari zao tafadhali

    Sina hakika lkn mi mtangazaji maarufu sana wa RTD embu jaribu kuuliza wazee walioweza kumfahu mtu huyu
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

    Kuna sababu gani kutambulisha kazi yako katika jambo hili? Lakini kwa maandishi yako unaonekana kama umeshavuta mgao tayari. Labda niachane na hayo, niseme hivi: 1: Kama shida yako kutaka kujua mbona ndani yake umekuwa na majibu na mitazamo ambayo ungependa ifanyiwe kazi? Hii inadhirihisha...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Abdallah Mlawa na Malima Nderema, mwenye habari zao tafadhali

    Nawakumbuka hawa watangazaji wa RTD enzi hizo walifanya vizuri sana kwenye kipindi cha ngoma za asili, nakumbuka kipindi kilikuwa kinafanyika baada ya taarifa ya habari ya saa 4 asbh sina hakika ilikuwa kila siku au kila. Embu mtujuze mwenye habari zao!
  6. C

    JamiiForums Tanzania A Wreath For Fr. Mayer By S. N Ndunguru

    Cha 4
  7. C

    JamiiForums Tanzania A Wreath For Fr. Mayer By S. N Ndunguru

    Wanajamiiforums, kwa wale waliobahatika kusoma kitabu hiki hakika watakubaliana nami kwamba mwandishi alijitahidi sana kuwa na connectivity nzuri ya matukio na kitabu kimejaa furaha na kutia huruma kwa baadhi ya wahusika. Nimefurahishwa na safari ya Fr Moyo kule Ukerumani had alipokuja kuwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI WAALIMU WAWILI 2 PHY & MATHS

    Nafasi za (2) za waalimu 1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female 2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male Sifa za mwombaji Awe na elimu ya Diploma tu. NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

    Well said Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

    Ni kweli nyoka aina ya kifutu ni mbaya sana.Mtwara ama Lindi wapo wengi sana.Ana rangi ya kombati za kijeshi,si mwenye papara lkn mazingira ya kung'ata ni pale hasa utakapokuwa umemkanyaga. Ni nyoka mzito sana na hana mbio
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ni nyoka gani mkubwa kuliko wote duniani

    Nilikuwa naangalia channel ya viumbe hai nikaona imejumuishwa kwamba *Black mamba* is among the five deadliest snake.So wapo watano na wengineo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi

    Inashauriwa kila kukicha speed ikikushinda kaa pembeni waachie watakaoweza kwenda na kasi ya sasa.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwl wa diploma wa Masomo ya MATHS, PHYSICS &HISTORY

    Nitafute kwa hiyo namba hapo!!!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwl wa diploma wa Masomo ya MATHS, PHYSICS &HISTORY

    Kiwango gani cha elimu unacho?
Back
Top Bottom