Hayo mambo ya kichuya, Pogba hana kiwango hicho..
Japo nasikia alienda kwa "Vardy" yule tolu wa ile timu ndogo iliyopanda daraja kwa kasi na kubeba "ndoo" hapo jirani kuchukua maujuzi, sasa sijui kama anatumia mbinu alizopewa ipasavyo? Au kwa kuwa timu yetu ya manyuu ni kongwe sana...
Suala la kuwa na mke/mwenza zaidi ya mmoja kwa wanaume, inategemea na uwezo wa mtu..
Naomba ieleweke vizuri ninaposema uwezo, Hivyo pengine hiyo ruhusa waliyojipa au kupewa hao mabwana ni kwa kutegemea uwezo wao wa kuwahudumia hao wanawake..
Kuoa au kuwa na mwenza usiyeweza kuwahudumia, ni...
Shukrani kwa aliyeweka hii thread, I knew about meditation before, the rest most of them ndo nimevisikia kwako..
Na mimi nina maswali mengi yameibuka, but I think I need to read or view the videos from the recommended source..
Then, may be I will get back to you
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.