Msaada: Hoja ya kuoa wake wawili au zaidi

Jiulize hivi: mwanaume anapoamua kuongeza mke huwa anasukumwa na nini hasa kufanya hivyo? Je, huwa ni hali ya mwanaume huyo kuwaonea huruma wanawake ambao hawajaolewa?

Kama hiyo ndiyo sababu, basi nini hasa humsukuma mwanaume huyo kumuoa mwanamke mmoja miongoni mwa wale ambao hawajaolewa (tuamini kuwa wote wana tabia njema ya kuwafanya kuwa wake bora)?

Pia, kama hiyo ni sababu na ili kupata idadi hasa ya wanawake wa kuoa, je, mwanaume huyo ana taarifa za uhakika za uwiano baina ya wanaume na wanawake KATIKA ENEO ANALOISHI AU LILE ANALOTAKA KUMPATA HUYO MWANAMKE?

Hapa unaweza kujiuliza, kwa wale wanaosema ni sahihi kwao kuoa mpaka wake wanne (4), je uwiano wa wanawake na wanaume huwa haubadiriki kulingana na wakati? Na, je, hicho kimsukumacho mwanaume huyo kuongeza mke, kitakoma baada ya mwanaume husika kufanya hivyo?
 
CHAZA;
Nataka nitofautiane na weye kuhusu kuoa wake wengi ati kuwasaidia dada zetu na mama zetu wasiwe dada poa au mama poa. Nisamehe kwa kulitumia neno hili hapa; Nasema huu ni ufedhuli wa kupindukia. Nenda K'ndoni makaburini, nenda Ohio, nenda kule beach baharini, na sehem yeyote wanayoikaa hao madada poa.

Kama utawahesabu vizuri, si Darisalama tu hadi Dodoma, zaidi ya 60% ni kina Asha, Amina etc. Christina na Mary ndo walio baki. Sasa iweje hao walioruhusiwa kuolewa wa pili na wa tatu na wa nne ndo wanajikita kwenye hiyo biashara ya maudhi.
Labda tuseme basi Uadilifu wenu umekwisha!! Kulikuwa na mkakati wa kuwaona wanawake wa Kikristo na kuwa Silimisha mbona mkakati umebuma?

Mkristo atakaye oa mkemwingine, huyo anazini na mwisho wa wazinzi wote huyo Mkristo anaujua. Michepuko ni utashi wa mtu akisukumwa na tamaa zake mwenyewe.

Ushauri wangu, Kama umeoa, baki njia kuu. Mke mmoja tu. Ulimkuta msichana, ukamtoa usichana wake, leo kwa kukosa matunzo anaonekana ati kazeeka! We ni wa ajabu saana unaye anga,ia visichana hivyo usijue kuwa mkeo naye alikua hivyo. Mtunze sana mkeo, utamfaidi hata uzeeni. Ng'ombe hazeeki maini......Loh! Mmenikumbusha yule wangu mmoja tu. Hazeekiiiii

Nami napingana na wewe kwa 100%! Kuitwa Aisha et al siyo Uislam, hiyo moja. Laikini pili, dada poa kuitwa Asha et al haithibitiki kuwa yeye kweli anaitwa kwa jina hilo.Tatu kuhusu barmaid nalo hujajibu umerukia dada poa pekee!

Ikumbukwe kuwa hata hao dada poa ambao kwa wao kukudanganya kwa majina ukaamini kuwa ni Waislam pekee! Lets assume hao waliokudanganya ni kweli Waislam, unataka kusemaje? Kwa sababu hata Waislam wenyewe hawaoi wanawake wengi hilo laweza kuwa ni tatizo( Nazungumzia hapa Tanzani)!

Hivyo ukweli kuwa idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume iko wazi na wala huwez kubisha! Na pia wanaume walio kwenye ndoa ni wengi kuliko wanawake walio peke yao nalo huwez kubisha! Lakini naamini kama balance KIUADILIFU ingefanyika kila mtu angepata mume. Ila nakubaliana na wewe tu kwamba HATUNA UADILIFU!
 
Katika dunia wanawake ni wengi zaidi ya wanaume,hata katika Tanzania watoto wanaozaliwa kila siku watoto wa kike ndio wengi zaidi ya wakiume.Ndio maana ni ruksa kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Tukioa ratio ya 1:1 hao wanawake wengine ndio wanakuwa machangu,mahawara ,nk.Na vilevile kuna wanaume hawawezi kukaa siku 1 bila kuduu so wenye mke mmoja ndio wanachepuka hapo mke anapokuwa kwenye period kwa walioa wake wengi wanapeta.

Leo kwa Mama Mariam,Kesho kwa mama Khadija,keshokutwa kwa mama Latifa,Mtondogoo kwa mama Zuwena mwendo mdundo kama ligi ya bundesiliga.
 
Hao waliokuwa na wake wengi ni tamaa zao na wengi walipata matatizo...mfano Suleimani wake zake walimgeuza kutoka kwenye ibada ya kweli na hata yeye mwenyewe alijuta kuwa na wake wengi.

Lakini mkuu huoni Bwana Yesu mwenyewe alisema kuwa "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua tourati,hapana bali kuitimiliza? " mathayo 5 na wakati wa sheria hawakuzuiwa wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja.vipi hapo?
 
Habarini Wadau

Wakristo wengi wanaamini kuoa mke mmoja ndiyo sahihi kulingana na imani yao lakini biblia hiyohiyo inasomeka dhahiri jinsi Suleiman na Daudi waliokuwa vipenzi wa Mungu walivyooa wake wengi sana.Si hao tu ila wapo wengine pia.

Ni wapi Mwenyezi Mungu alipolazimisha uoaji wa mke mmoja tu? Yeye Muumba hajui kuwa idadi ya wanawake kubwa sana kuliko wanaume? Je ni dhambi kuoa wake wawili au zaidi ikiwa naweza kuwahudumia vyema? Hili si ni bora zaidi kuliko kufanya zinnaa na michepuko?

Msaada wenu nauhitaji.

Nice topic ndugu..

To tackle this problem (if it is a problem at all) we can take it in two different approach

Logic
After creation of Adam, God saw that Adam was not happy because of loneliness so He created a companion for him...God the all knowing would have created two women for Adam..even four..or ten..of 72 women for Adam if He thought it was appropriate, but out of His profound wisdom he gave him only one one..knowing that one is enough.

The ration of women to men
God is always precise and to the point in His plans..had He so wished for a man to have four women He would have made sure the ration is 1:4..but this is not the case

The ration again
Some people claim that the ratio shows that women are many compared to men..but what it boils down to is that female are born in greater numbers than men, but then how many grow up to marring age? can anyone state the ratio between matured women and matured men...dont people know that chances (scientifically proved) of a female infant surviving are very minimal as compared to male? to compensate for the deficit they have to be born in great number

Kimaandiko
Everywhere from Genesis to Corinthians the issue of marriage is expressed in terms of one man-one woman

Here are a few examples:
Genesis 2:24 - "therefore a man shall leave his father and mother and be joined to his wife...one flesh"
1Cor. 7:2------"nevertheless, because of sexual immorality, let each man have his own wife...."
Titus 1:6------"if a man is blameless, the husband of one wife...."
1Timothy 3:2--"a bishop must be blameless, the husband of one wife..."

Again there is nowhere where God allowed a man to marry more than one wife..If you consider the cases of Solomon, David, Abraham and co. you will realize that they married more than one woman out of their sexual immoralities and the good thing is they all had to suffer because of these action because they went against the word of God

Solomon became a worshipper of idols as a result of influence from his many wives
David suffered much including losing his first born with the wife of Uria because of his action of marrying many wives..again his son Amnon raped David's daughter Tamar because they were of different mothers..see?
Abraham lost his cool and slept with a beki tatu Hagal and produced the bastard Ishmael...see what happened..Hagal began despising Sarah and caused chaos in the house to the point that she (Hagal) had to be driven away
Most important all the chaos in the word as concerning Arabs and suicide bombing and everything are the results of Ishmael hating the lawful sons of Abraham
Jacob married two women and as the result his house was daily governed by the rivalry between Rachel whom he loved and Leah whom he despised..causing the latter not to enjoy life to the full

So all in all God never allowed a man to marry more that one woman..once you do that problems are sure to follow
For one thing God commands you not to sin..He is in no way becoming lenient as to say "because man is so weak lets allow him another woman to deter him from adultery" nooo! Mungu hakubembelezi na dhambi zako hazina excuse..otherwise wote angetufanya matajiri ili tusiibe!!!!

I dont know about other forms of faith that allow men to marry a multitude of women but one thing I am sure..if given a choice, no woman would wish to share a husband..and that is telling it in volumes..dont you think God would love to grant these women the desires of their hearts???
 
Suala la kuwa na mke/mwenza zaidi ya mmoja kwa wanaume, inategemea na uwezo wa mtu..
Naomba ieleweke vizuri ninaposema uwezo, Hivyo pengine hiyo ruhusa waliyojipa au kupewa hao mabwana ni kwa kutegemea uwezo wao wa kuwahudumia hao wanawake..
Kuoa au kuwa na mwenza usiyeweza kuwahudumia, ni kuchochea zinaa au michepuko kama vijana wa sasa wanavyoita
 
Lakini mkuu huoni Bwana Yesu mwenyewe alisema kuwa "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua tourati,hapana bali kuitimiliza? " mathayo 5 na wakati wa sheria hawakuzuiwa wanaume kuoa wake zaidi ya mmoja.vipi hapo?

Kama unatafuta maandiko exactly kuwa "usioe mke zaidi ya mmoja" hutayapata..tazama tu Mungu alimpa Adam wake wangapi na tazama wale waliooa wake wengi yaliyowakuta..then tazama maandiko ya Biblia yanasemaje kuhusu ndoa..na tukienda kwa mfumo huo nitakuuliza kama kuna mahali ambapo Mungu karuhusu kuoa wanawake wengi as in so much words?
 
Suala la kuwa na mke/mwenza zaidi ya mmoja kwa wanaume, inategemea na uwezo wa mtu..
Naomba ieleweke vizuri ninaposema uwezo, Hivyo pengine hiyo ruhusa waliyojipa au kupewa hao mabwana ni kwa kutegemea uwezo wao wa kuwahudumia hao wanawake..
Kuoa au kuwa na mwenza usiyeweza kuwahudumia, ni kuchochea zinaa au michepuko kama vijana wa sasa wanavyoita

Na maadam hakuna wanawake wawili waliokuwa sawa kwa kila kitu basi ujue huwezi kuwahudumia sawa wote...maana huduma haiishii kwenye msosi na mavazi tu..ni pamoja na kitandani, attention, care, comfort in times of distress nk..sasa uwe na wanawake wawili na iwe ni zamu ya mmojawapo umwambie mwenye zamu "leo sitakuja kwako mwenzio ana msongo wa mawazo inabidi nimpe company", uone moto wake!!!

Na kwa suala la kuchochea zinaa..vipi genye zikimpanda ambaye sio zamu yake na anajenga taswira mwenzake yupo anapewa mambo? You know what she is gonna do, dont you?
 
Katika dunia wanawake ni wengi zaidi ya wanaume,hata katika Tanzania watoto wanaozaliwa kila siku watoto wa kike ndio wengi zaidi ya wakiume.Ndio maana ni ruksa kuoa wanawake zaidi ya mmoja.

Tukioa ratio ya 1:1 hao wanawake wengine ndio wanakuwa machangu,mahawara ,nk.Na vilevile kuna wanaume hawawezi kukaa siku 1 bila kuduu so wenye mke mmoja ndio wanachepuka hapo mke anapokuwa kwenye period kwa walioa wake wengi wanapeta.

Leo kwa Mama Mariam,Kesho kwa mama Khadija,keshokutwa kwa mama Latifa,Mtondogoo kwa mama Zuwena mwendo mdundo kama ligi ya bundesiliga.

Kwa taarifa yako takwimu zinaonyesha kuwa wanandoa ndo wanaongoza kwa kuzini..na ukae ukijua moyo wa binadamu hauna kikomo cha matamanio...mpe mwanaume wanawake kumi na atadesire wa 11!!!
 
Kama unatafuta maandiko exactly kuwa "usioe mke zaidi ya mmoja" hutayapata..tazama tu Mungu alimpa Adam wake wangapi na tazama wale waliooa wake wengi yaliyowakuta..then tazama maandiko ya Biblia yanasemaje kuhusu ndoa..na tukienda kwa mfumo huo nitakuuliza kama kuna mahali ambapo Mungu karuhusu kuoa wanawake wengi as in so much words?

Thanks Inkhubu I hv been passing several times through these verses...but can u help me know did Solomon n David accused to make sin before God?
 
Last edited by a moderator:
Jiulize hivi: mwanaume anapoamua kuongeza mke huwa anasukumwa na nini hasa kufanya hivyo? Je, huwa ni hali ya mwanaume huyo kuwaonea huruma wanawake ambao hawajaolewa?

Kama hiyo ndiyo sababu, basi nini hasa humsukuma mwanaume huyo kumuoa mwanamke mmoja miongoni mwa wale ambao hawajaolewa (tuamini kuwa wote wana tabia njema ya kuwafanya kuwa wake bora)?

Pia, kama hiyo ni sababu na ili kupata idadi hasa ya wanawake wa kuoa, je, mwanaume huyo ana taarifa za uhakika za uwiano baina ya wanaume na wanawake KATIKA ENEO ANALOISHI AU LILE ANALOTAKA KUMPATA HUYO MWANAMKE?

Hapa unaweza kujiuliza, kwa wale wanaosema ni sahihi kwao kuoa mpaka wake wanne (4), je uwiano wa wanawake na wanaume huwa haubadiriki kulingana na wakati? Na, je, hicho kimsukumacho mwanaume huyo kuongeza mke, kitakoma baada ya mwanaume husika kufanya hivyo?

absolutely hakiwezi kukoma..give them an inch and they take a yard..give them a yard and they take a mile..
 
Thanks Inkhubu I hv been passing several times through these verses...but can u help me know did Solomon n David accused to make sin before God?

David was judged so and in 2Samuel 12:10 God told him..because of this "the sword shall never depart from your house, because you have despised me" and again God let die the child who was the fruit of this unholy sex as a punishment to David.

The case of Solomon after sinning by taking many wives God told him .."because you have done this, and have not kept my covenant.. I shall surely tear the kingdom away from you and give it to your servant" it was the punishment
 
kumbukumbu la torati 21:15-16
iwapo mtu yu na wake wawili mmoja hampendi mwingine ywampenda na wote wamemzalia wana isije ikatokea huyu ambae hapendwi akanyimwa mtoto wake urithi wa mzaliwa wa kwanza.

maneno siyo rasmi ila nimeona biblia inatambua ndoa ya wake wengi. labda kwa anayetaka kuwa askofu
 
“Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.”—Mwanzo 2:24. Hapa andiko linasema mkewe halisemi wakeze.

“Acheni kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.” (1 Wakorintho 7:2) Hapa pia ni mkewe na mumewe na mumewe na mkewe na si wake.

1 Timotheo 3:2 Kwa hiyo mwangalizi anapaswa kuwa asiyelaumika,+ mume wa mke mmoja, mwenye kiasi+ katika mazoea, mwenye utimamu wa akili,+ mwenye utaratibu,+ mkaribishaji-wageni,+ mwenye sifa za kustahili kufundisha,+

Tito 1:6 ikiwa kuna mwanamume yeyote asiye na shtaka,+ mume wa mke mmoja,+ mwenye watoto wanaoamini ambao hawako chini ya shtaka la kuwa wapotovu wala la kuwa watundu.+

ukisoma hiyo (wakorintho 1 7:1-5) inaelekeza kuwa na mke mmoja lakini ukisoma haya ya 6 anatahadharisha kwamba hayo aliyoyasema hapo juu siyo amri bali ni mawazo yake.
 
duniani dini zipo nyingi siyo ukristo na uislam tuu , kuna butha , hindu , uyahudi na n.k , na kila dini inautaratibu wake kwa wale waifuatao , misingi mikuu ya dini za ukristo na uislam utoka katika dini ya uyahudi , sasa kimsingi biblia inapande mbili yaani agano la kale na pili agano jipya , katika agano la kale yapo mengi yaliyoruhusiwa na siyo ya wake wengi tuu , mtu na dada yake yalioana mfano abraham na sarai , ila utimilifu wake uko katika agano jipya , ambayo halina wake wengi wala mtu na dada yake hawaoani tena , na ilikuwa hivyo tangu awali ndiyo maana adam alipewa mwanamke mmoja ambaye ni hawa .
 
kama si unafiki ni jambo jema
mkoa wa kilimanjaro wazee wengi wakristo
wana wake zaidi ya mmoja na wanatambulika rasmi
 
Nice topic ndugu..

To tackle this problem (if it is a problem at all) we can take it in two different approach

Logic
After creation of Adam, God saw that Adam was not happy because of loneliness so He created a companion for him...God the all knowing would have created two women for Adam..even four..or ten..of 72 women for Adam if He thought it was appropriate, but out of His profound wisdom he gave him only one one..knowing that one is enough.

The ration of women to men
God is always precise and to the point in His plans..had He so wished for a man to have four women He would have made sure the ration is 1:4..but this is not the case

The ration again
Some people claim that the ratio shows that women are many compared to men..but what it boils down to is that female are born in greater numbers than men, but then how many grow up to marring age? can anyone state the ratio between matured women and matured men...dont people know that chances (scientifically proved) of a female infant surviving are very minimal as compared to male? to compensate for the deficit they have to be born in great number

Kimaandiko
Everywhere from Genesis to Corinthians the issue of marriage is expressed in terms of one man-one woman

Here are a few examples:
Genesis 2:24 - "therefore a man shall leave his father and mother and be joined to his wife...one flesh"
1Cor. 7:2------"nevertheless, because of sexual immorality, let each man have his own wife...."
Titus 1:6------"if a man is blameless, the husband of one wife...."
1Timothy 3:2--"a bishop must be blameless, the husband of one wife..."

Again there is nowhere where God allowed a man to marry more than one wife..If you consider the cases of Solomon, David, Abraham and co. you will realize that they married more than one woman out of their sexual immoralities and the good thing is they all had to suffer because of these action because they went against the word of God

Solomon became a worshipper of idols as a result of influence from his many wives
David suffered much including losing his first born with the wife of Uria because of his action of marrying many wives..again his son Amnon raped David's daughter Tamar because they were of different mothers..see?
Abraham lost his cool and slept with a beki tatu Hagal and produced the bastard Ishmael...see what happened..Hagal began despising Sarah and caused chaos in the house to the point that she (Hagal) had to be driven away
Most important all the chaos in the word as concerning Arabs and suicide bombing and everything are the results of Ishmael hating the lawful sons of Abraham
Jacob married two women and as the result his house was daily governed by the rivalry between Rachel whom he loved and Leah whom he despised..causing the latter not to enjoy life to the full

So all in all God never allowed a man to marry more that one woman..once you do that problems are sure to follow
For one thing God commands you not to sin..He is in no way becoming lenient as to say "because man is so weak lets allow him another woman to deter him from adultery" nooo! Mungu hakubembelezi na dhambi zako hazina excuse..otherwise wote angetufanya matajiri ili tusiibe!!!!

I dont know about other forms of faith that allow men to marry a multitude of women but one thing I am sure..if given a choice, no woman would wish to share a husband..and that is telling it in volumes..dont you think God would love to grant these women the desires of their hearts???

Topic ya kiswahili kingereza cha nini? au unataka tujue na wewe unakijua.
 
Back
Top Bottom