Recent content by chingyeddy

  1. chingyeddy

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 50, nifanyie biashara gani niwe milionea?

    Biashara hapana. Coaster utakuja kuniambia majanga. Muhim jenga nyumba/nunua nyumba uipangishe. Kod uchukue 4 kwa mwezi, kwa mwaka? Miaka kumi imerudi. Nipo tayar kukuelekeza. Tena million 35 unapata nyumba nzuri kabisa
  2. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitakuchukia for the rest of my life

    Mm iliwah kunitokea, nimeoa sasa mwingine. Usikubari jambo likuyumbishe.
  3. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo umetupotezea timing ya fumanizi, dah imekula kwetu

    Haaaaa wanajuana hao
  4. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekua migumu sana awamu hii ya 5

    Wanatoa sana mwishon
  5. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

    Free boti
  6. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina ujauzito - nimekata tamaa

    majanga kwa kweli.
  7. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Binti nataka nimuoe, ila nimeona anadaiwa na HESLB Mil 17 na mwaka wake wa mwisho chuo Alidisco

    Na ndoa ndo fasta fasta hivyo hongera.
  8. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa nina miaka mitatu, mama yangu na dada wanadai mtoto niliyezaa hafanani na mimi

    Ndugu huwa wanavunja sana ndoa. Mstiri mkeo hata kama alizaa nje. Kaa nae chini muamalize.. epuka stress
  9. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

    Mke wangu angenifanyia hivi, tusingefika tulipo sasa.
  10. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Shangazi anadai nashirikiana na mama yangu kumloga ili afe

    Elimu sio tatizo, hapa shida. Bibi yako alitaka wewe ndo Uwe mwangalizi wa mali zake.
  11. chingyeddy

    JamiiForums Tanzania DED Mteule Korogwe, Kwa hili Nakupongeza Rais Magufuli

    Namfahamu kwa miaka sita sasa. Tokea anasoma Maastrich Uni
  12. chingyeddy

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliosoma Havard

    Wapo wengi sana, kuna waliotoka Muhimbili, kuna waliopata Scholarship wakasoma Masters wengi sana.
  13. chingyeddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napoteza ndoa yangu, kisa nimemwambia nilishawahi kutoa mimba kabla ya kuwa nae

    Nakumbuka kuna binti, nikimpenda sana. Mpiganaji, niliplan kumsimamia shoo nzima ya mtaji wake. Nikajua ntamuoa, alivyoniambia aliwah kutoa mimba mpaka leo sitaki kumwona wala kumsikia.
  14. chingyeddy

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM natafuta mdhamini wa kunisomesha

    wabongo kwa Sound, angekua anafundisha Math ungesema, angefundisha History ungemlengesha. Haaaaaaaaaaaaaa
Back
Top Bottom