Mwanafunzi wa UDSM natafuta mdhamini wa kunisomesha

long neck

Member
Aug 29, 2016
70
25
Ni mwanachuo wa chuo kikuu cha dar es salaam,naomba udhamini katika masomo yangu.

Kwa taasisi binafsi,shirika, mtu binafsi anaemiliki shule ya private,naomba tuwasiliane.

Nachukua bachelor of arts with education(BaED) History and Geography.

Kwa yoyote atayekuwa tayari kunisaidia tuwasiliane inbox.kwa makubaliano maalumu.

Makubaliano:

1.Nitafundisha kwa muda wote mpaka pale nitakapomaliza gharama(deni) zake.

2. Field zote nitafanyia apo

3. Na baada ya kuhitimu masomo yangu nitaendelea kufundisha hapo haijalishi shule ipo mazingira gani.

4.Na Mengine tutawasiliana zaidi ataponihitaji.
 
Mkuu kila la heri!ila kwa bongo ni ngumu sana!ila ungeyaweka haya makubaliano maalumu hapa labda ungewavutia!pia nlikua nakushauri ungejaribu kwenye NGO na mashirika ya kimataifa
 
NI MWANACHUO WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,NAOMBA UDHAMINI KATIKA MASOMO YANGU.

KWA TAASISI BINAFSI,SHIRIKA, MTU BINAFSI ANAEMILIKI SHULE YA PRIVATE,NAOMBA TUWASILIANE.

NACHUKUA BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION(BAED) HISTORY AND GEOGRAPHY.

KWA YOYOTE ATAYEKUWA TAYARI KUNISAIDIA TUWASILIANE INBOX.KWA MAKUBALIANO MAALUMU.
MAKUBALIANO:
1.NITAFUNDISHA KWA MUDA WOTE MPAKA PALE NITAKAPOMALIZA GHARAMA(DENI) ZAKE.

2. FIELD ZOTE NITAFANYIA APO
3. NA BAADA YA KUHITIMU MASOMO YANGU NITAENDELEA KUFUNDISHA HAPO HAIJALISHI SHULE IPO MAZINGIRA GANI.
4.NA MENGINE TUTAWASILIANA ZAIDI ATAPONIHITAJI.
 
Mkuu kila la heri!ila kwa bongo ni ngumu sana!ila ungeyaweka haya makubaliano maalumu hapa labda ungewavutia!pia nlikua nakushauri ungejaribu kwenye NGO na mashirika ya kimataifa
Nashukuru mkuu kwa ushauri mzuri
 
idea yako nimeipenda ila ungekuwa unafundsha Mathematics ningekulengesha kwa mmiliki wa St Annie Schools ....kwa hayo masomo umekosa Credibility... kila la kheri jaribu kutafuta.....
 
idea yako nimeipenda ila ungekuwa unafundsha Mathematics ningekulengesha kwa mmiliki wa St Annie Schools ....kwa hayo masomo umekosa Credibility... kila la kheri jaribu kutafuta.....
nashukuru kwa kunipa moyo
 
idea yako nimeipenda ila ungekuwa unafundsha Mathematics ningekulengesha kwa mmiliki wa St Annie Schools ....kwa hayo masomo umekosa Credibility... kila la kheri jaribu kutafuta.....
wabongo kwa Sound, angekua anafundisha Math ungesema, angefundisha History ungemlengesha. Haaaaaaaaaaaaaa
 
Hiyo ni kweli lkn, masomo ya science na math's yana uhaba mkubwa wa walimu. Angepata kirahisi zaidi msaada
 
Back
Top Bottom