Recent content by chikwanteni

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kesho rais wetu sema chochote kuhusu salary increment na kupanda madaraja

    Msilogwe na MAWAZO hayo no any addition
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Babu Seya, Papii, Mapya tena yaibuka

    Huu mjiza ujitokea Mungu atajizolea SIFA sana maana wengi wameonewa,Kama mwasumbi mchg,alifungwa maisha na akatoka nae huyu inawezekana ,ila shoo yake sasa utakuwa balaaa
  3. C

    JamiiForums Tanzania Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

    MTU kuonewa unashangilia,
  4. C

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha dishi cha Startimes bei sawa na bure

    Kipya 45000 yeye 80000 halafu eti karibia na bure ndugu tafuta mtandao mwingine
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamtolea uvivu Rais Magufuli

    Ushamba uliambiwa MTU akiwa mbugani kwenye mapumziko anatakiwa kuvaa suti kama askofu
  6. C

    JamiiForums Tanzania Barcelona mwisho wake leo umefika

    Mmmmmmmmh barcaaaa_refa=o
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Mahakama yawahukumu miaka mitatu au faini wafanyakazi wa Quality Group

    Wanalipa kwa pamoja jumla hiyo m22
  8. C

    JamiiForums Tanzania Real Madrid katika Robo Fainali dhidi ya Bayern Munich ilijawa na upendeleo kwa madrid

    Nimeshangaaaaaa sana ushabiki wa kiuvivu,inawezekana huyu alicheki mechi kwenye kalai LA bibi ni mechi tu bayani walibainika kuwa si kila timu ni arsenal ,Leo hii baka ,wakacheza jihadi,wakarudisha mtasema refa
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ally Kessy ataka mbwa, mbuzi, kuku, ng'ombe, baiskeli zilipiwe kodi

    MTU wa namanyere baadhi ya watoto wake ni machizi ,alipokuwa chadema alikuwa chiz akakosa ubunge Mara kibao alipohamia chama hiki akapona nahis hali ile inamrudia
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Magufuli ipo imara na haitishiwi na kelele za bungeni na mitandaoni

    Hiz hela za mafisadi zilizookolewa mbona hospitakil dawa hsmna bibi yangu kule mwanza anakufa kisa huduma mbovu
  11. C

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Idd Amin alikuwa anateka maadui zake, anawakata kichwa, anaweka kwenye Friji?

    Chinmbe chinembeeeeeee mnatumia simu vibaya badala ya kugoogle uangalie ukweli unaanza propaganda za kusafisha watu ,iddiamin ni moja ya watu katili hatari kuwHi kutokea angalia video zake you tube,acha kutetea ujinga
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia Amshangaa Mwakyembe kuhudhuria mkutano wa Roma na waandishi

    Safi mbunge wangu nikusifu hata kwa hilo
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna nini kwani kinaendelea Tanzania kwa sasa?

    Kama nyerere alivyosema katika moja ya hotuba zake mkienda kinyume na dhambi hii iwatafune mi naongezea na iwatafune Mara mia ili mnyoooke ,maana mnajifanya wajuaji sana watanzania mnaletewa NEEMA baba wa taifa kawatengenezea nchi nzuri nyie ujuaji mwingi badala ya kufuata misingi yake ,hata...
  14. C

    JamiiForums Tanzania GWAJIMA ANAOGOPEWA MPAKA NA TIGO SEMBUSE WEWE?

    Mtamteka gwajima?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu naliona bunge la 11 kuwa la kihuni sana tena sana

    Taarifa yako hii imejaa unafiki haina uchunguzi wa kina kujua yanayosemwa ni kweli au sio kweli ,hakuhojiwa ester kwa sababu bunge lina uoga hv wakahoji halafu voda,tigo wanadhibitisha kweli amemtisha then inakuwaje kwa wabunge na kamati zake zenye uongo na unafiki huu
Back
Top Bottom