Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Mechi ya real madrid na Bayern Munich ilikuwa ovyo kabisa, Refarii alikuwa amedhamiria kuihujumu Bayern Munich. Kadi nyekundu aliyopewa Vidal ilikuwa feki kabisa na kuacha pengo kubwa kwa Bayern Munich, kulipelekea kutolewa kwa lewandowiski ili kuingiza viungo kuziba nafasi ya Vidal.
Ukiacha mambo ya kadi ya Vidal utakutana na magoli mawili aliyofunga Ronaldo ni ya off side goli la pili na la tatu ni ya hovyo kabisa ni off side dhahiri,.
Ukiacha vimbwanga vya magoli hayo feki utakutana na casemiro kubebwa mara tatu makosa mawazi ya kupewa kadi ya njano ambayo ingempelekea kupata kadi nyekundu lakini aliachwa mpk dakika za mwisho, kitendo kinachoonesha, Real Madrid alidhamiriwa kubebwa.
Kama si refaree kuwa na mapenzi na klabu ya madrid basi yawezekana uwezo wake wa kuchezesha mechi kubwa ni mdogo sana.