Recent content by Chifyono

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

    Kucheka picha ni kosa?
  2. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hakika ni chama imara zaidi hapa nchini

    JF Tangu uchaguzi wa 2015 ulipomalizika na utawala wa JPM ukaanza rasmi ulitangaza nia yake ya kukimaliza kabisa chama cha CHADEMA hata kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 Kuna njia mbalimbali zimekuwa zikitumiwa na serikali hii ya ccm ili tu kukidumaza chama hiki lakini mpaka sana kinaonekana bado...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo wamtelekeza Idris, hakuna aliyeenda kumwangalia wala kumpost

    Hapa dar kituo cha mabatini kipo sehemu gani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge ambao hawatarudi bunge lijali waweke hapa wajitambue

    Hana jeuri hiyo Anajua wazi akifanya hivyo ataukosa ubunge, kwa sasa ACT kinahaha kimpata mgombea wanambembeleza Membe pia
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge ambao hawatarudi bunge lijali waweke hapa wajitambue

    Bunge limejaa Nafasi zilizowazi ndio hizo
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge ambao hawatarudi bunge lijali waweke hapa wajitambue

    Top ten hawezi kosa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ukae vizuri ikuingie hii pia man city akipoteza game siku ligi ikirejea tu na lfc ikashinda basi shughuli inakua imeisha
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge ambao hawatarudi bunge lijali waweke hapa wajitambue

    JF Mwaka huu wa uchaguzi kila mwananchi anayohaki ya kuchagua kiongozi anayemtaka 2015 wabunge walichaguliwa na walitoa ahadi nyingi sana kwa wapiga kura, ahadi nyingi hazijatekelezeka Wabunge wa majimbo yafuatayo hawawezi kurudi ndani ya bunge baada ya uchaguzi hapo octoba, ni vema wakatumia...
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu wanawake wa Sinza.

    Mkuu wacha uzembe chakacha papuchi izo! Unaweza kuwa na mwanamke wako anaishi mbagala lakini mishe zake anazipigia sinza na unaeza kuwa na demu wa sinza yuko poa sana katulia
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa vyafikia 1,192. Rais Kenyatta atangaza mpango wa Ksh 53.7 Bilioni kuchochea uchumi

    Mabeberu yameishimdwa lokodauni kenya ni nani aiweze
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo kunywa Heineken ni status kuwa wewe uko vizuri kiuchumi??

    Mikoani watu mambo bado sana Mwakajana nilirudi mkoani kwangu, aseee nimefika mkulima loung nawanangu wawili kila mtu na demu wake hapo nikajivutia demu wangu wa enzi izo Basi nikawaambia waagize wanachotaka, wao ni balimi, eagle, safari nk Nikajivutia smirnoff vodka then nikamix na Heineken...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati najivunia kuwa Mtanzania

    Navumilia sana kuwa mtanzania Ningekuwa na uwezo na mishe za kufanya ng'ambo mpaka muda huu nisingesalia hapa
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na X-girlfriend wangu anataka tupeane raha

    Hapa jf kila demu ni mzuri ameumbika kweli Any way wewe mwenyewe unamtaka
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko umeingia ndani......

    Kama unaumia sana mchukue umuoe mke wa pili
Back
Top Bottom