Recent content by chicotton

  1. C

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Huyu jamaa ana promo za porini sana nahisi amevurugwa huyu
  2. C

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Hapa kuna mashaka maana kama lengo ni ushauri hizo habari za land cruiser v8 zinatokea wapi?na kama una gari ya piston nane unatumia iweje uulizie ushauri wa subaru turbo wakati mfuko wako unaruhusu kumiliki v8! Unaonekana unapenda sifa sana na nadhani lengo lako ni kujitapa na si kuomba ushauri...
  3. C

    Ushauri: Ununuaji wa magari

    Nunua hyo gari ni nzur na ina space ya kutosha. Nimeitu.ia mwaka wa tatu sasa na nilishasafiri nayo dar mwanza mara tano nenda rudi ni haikuwah kunisumbua hata. Nilishasafiri nayomwanza tanga frm 0600asbh nilipoiwasha nikaja kuizima saa nane usiku baada ya kufika tanga lakini bado kinanda...
  4. C

    Naomba kujuzwa matatizo ya Nissan Note na Honda Fit

    Nakushauri uangalie zaidi nissan note yenyewe ni imara spare zake zinadum sana japo upatikanaji wake sio kama wa toyota. Iyo honda hamna kitu hapo
  5. C

    jaman nipo serious i need a man 28 to 30 ma self nipo 25

    Be specific unataka man kwa ajili ya nini? Massage short time fck au wa kukuoa? Alafu njoo uni PM nadhani naweza kukusaidia kwa hilo
  6. C

    Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    Mnawe uso muone matukio hizi ni nyakati za mwisho allah kawaulize waarabu watakwambia maana yake nini. Mambo ya kutaka umaarufu kwa kuharibu na kukashfu imani za watu yamepitwa na wakati waislam wanaamini torati na mitume wote waliopita mpaka yesu mtoto wa mariamu. Hao wachungaji wanatafuta...
  7. C

    Sintah "sisi mastaa wenye masters degree hatuwezi pigizana kelele na mashoroko mageni"

    Sio mashoroko mageni NI mashokoro mageni yaani mambo YA kisasa, mambo mapya AU hata kama ukiwa unashangaa shangaa kitu waweza ambiwa mashokoro mageni kwako! Walah wala msi mponde kama kasoma NI bidii yake binafsi muacheni ajitape atakavyo. Ksma wewe hujataka kutsngaza elim yako piga kimya, bora...
  8. C

    Natafuta Mwanamke kwa ajili ya kudate-Dodoma

    Tafuta mke uoe acha kuitangaza ngono hadharani, hyo ni zambi ya kujiyangaza ambayo ni mbaya zaidi kuliko dhabi ya kimya kimya
  9. C

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    NADHANI huyo askofu amekurupuka na hajui maana na dhana YA kuanzidhwa kwa hicho kikundi. Cdm NI vizur waandar press conference na kutuambia malengo na madhumuni YA kikundi hicho
  10. C

    Toyota Altezza Inauzwa (Just Imported)

    nitaftie hyo sa 7m altezza ukiipata iliyosimama.nitakupa 1.5 wewe jumla nanunua kwa 8.5million. kama hujui magari kaa kimya AU waulize wenzako, kwa bei yako YA million Saba kanunue Nissan march AU vits AU duet zikuchomokee magurudum YA nyuma kabla hujafika kwenu marangu
  11. C

    Natafuta Gari. Toyota Gx115 au Gx110 au altezza

    ulishatimiza ndoto zako?
  12. C

    samsung galaxy s duos for sale

    Sidhani kama Samsung walishatoa SIM YA line mbini nimepata wasiwasi na uwezo wa hyo SIM, labda kwa ukubwa wa umbo NI kubwa bt ndani sasa mmmmh
  13. C

    Nimeamini ITV is the Best. Walicho kificha jana TBC, nimekiona leo kupitia ITV

    Kwanza mbunge hawezi kufungiwa kuingia bungeni siku tano, anatakiwa kutolewa kikao kimoja tuu hapo Ndungai kateleza, pili kuomba muongozo hakujaainisha kila mbunge aombe mwongozo Mar moja AU tatu, NI kwa kadiri YA aonavyo mbunge kuwa kunahitaji muongozo, alafu wale waliotukana F......ck you...
Back
Top Bottom