Toyota Altezza Inauzwa (Just Imported)

Toyota Altezza Inauzwa (Just Imported)

kaka huna haja ya kuwajibu hao wajinga. kwanza hawana hela ya kununua alteza. na pili hawana mafuta ya kuweka katika alteza. ww kaa kimya hamna haja ya kuwajibu. anayetaka ataku pm. au kukutafuta katika cm. hata magari hawana hao. na ukiona analo basi kakodisha au la shemeji zao. achana nao. ni kawaida ya masikini. iko kitu kimesimama. potezea hao kapuku.

wewe ndio Mjinga hapa JF sio wote wajinga km nyie kwanini hatusaidiani kupeana ukweli?
hiyo gari hata km ipo ktk CIF ukaileta haiwezi kufikia 14m (kwani FOB haizidi $ 3300)
TRA hawataki gari iliyozeeka kupita miaka 10 gari ya 2001 moja unapigwa faini
kuna gari km hiyo Toyota Altezza zipatazo 30 kwenye mtandao wa alibaba

Japan Used Car Toyota Altezza, Japan Used Car Toyota Altezza Manufacturers, Japan Used Car Toyota Altezza Suppliers and Companies on Alibaba.comUsed Cars
Japanese_font_b_Used_b_font_font_v0.jpg_200x200.jpg
japanese_font_b_Used_b_font_font_v0.jpg_200x200.jpg
Japanese_font_b_Used_b_font_font_v0.jpg_200x200.jpg

Papizo acha usanii ingia ktk mitandao pekua na fika Banki yoyote hasa CRDB peleka milioni 7 au wasiliana na makampuni utasaidiwa kupata gari yako na Ubalozi wetu Japan wanawasaidia wengi wasitapeliwe
Fungukeni jamaani mbona faida ya JF hamuioni au mpaka tuwaombe Founder na Mods watuwekee ukurasa wake wa ku-Import Bidhaa maana ktk Desktop wauzaji wa magari walikuwepo
ingia Google tafuta www japanese used car
 
Last edited by a moderator:

Nafikiri utakua hujamuelewa Sting, ameeleza kwa kirefu sana (ahsante Sting na wengineo)
Wakati nimetaja bei pale juu nimeonyesha kua ni negotiable (inashuka), pengine nikaiuza kwa 12 au 13 ambapo faida haizidi 1mil.

Ningetegemea badala ya kuweka magari kwa bei za Alibaba, basi ungechanganua magari hayo mpaka yanafika hapa bandarini pamoja ma gharama zingine yanafikia Tshs ngapi??.

Kabla sijaanza biashara ya kuagiza magari nlikua na mawazo kama yako, kua naangalia bei ya gari na pengine kukokotoa kodi kwa CIF value. Kuna gharama kibao tu ndugu yangu mbali na CIF + Kodi ambazo kwa kawaida huwezi kuzifikiria.

Halafu sio lazima kila mtu anunue Alibaba au Autorec, hivyo sio lazima FOB unayoijua wewe ndio iwe iliyotumika hapa. Na ndio maana FOB ya supplier fulani inaweza kua sawa na CIF ya Supplier mwengine kwa aina hiyohiyo ya gari.

Narudia kukuomba mchanganuo wa kodi zote na other charges kwa hizo Altezza za Alibaba mpaka zinaingia barabarani bongo ili tuone kama hata 11 au 12 haitafika au kuvuka.

Ni hayo tu!!!
 
Last edited by a moderator:
gari yako utauza tu, kuna watu wapo kwa ajili ya kupondea wengine, sijui naagiza, kwani wamekatazwa, biashara huwa ni makubaliano ya watu wawili, wewe kama unaona bei kubwa omba upunguziwe, sijui alibaba, usikate tamaa gari utauza tu, sijui hata kama hao watu wamewai kuagiza gari, eti ushuru hauzidi mil 3, tra kuna ushuru wa hivyo, hapo bado zile siku system zinakuwa down haujaingizwa kwenye storage ya lazima, kuna vihela kibao vya njiani, watu wanasema tu.
 
Huyu rafiki yako lazima somo la biashara lilimpitia kushoto otherwise ndo wale waliotoka shule za kata. Yaani kanunua hicho ki-gari 7M halafu anataka kutulangua kwa 14M.

nitaftie hyo sa 7m altezza ukiipata iliyosimama.nitakupa 1.5 wewe jumla nanunua kwa 8.5million. kama hujui magari kaa kimya AU waulize wenzako, kwa bei yako YA million Saba kanunue Nissan march AU vits AU duet zikuchomokee magurudum YA nyuma kabla hujafika kwenu marangu
 
Hivi unajuwa magari kweli, gari ya 2001 with 65000 mileage unasema haiendi kwa bei hiyo???Kaa pembeni kama hujui magari vizuri

Jamaa yuko sawa gari hizo ukinunua kwa mtu mara nyingi watu huuza milioni 9 hadi 10 bro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom