Nimeamini ITV is the Best. Walicho kificha jana TBC, nimekiona leo kupitia ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamini ITV is the Best. Walicho kificha jana TBC, nimekiona leo kupitia ITV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MZIMU, Apr 18, 2013.

 1. MZIMU

  MZIMU JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2013
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 4,067
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi hili Shirika la Utangazaji TBC, ni kwa maslahi ya nani? Jana wakati Naibu Spika wa Bunge alipo amuru Askari wa Bungeni Kumtoa Nje Tindu Lisu, kwanza TBC waliondoa Sauti za Vurugu iliokua inaendelea, na kama haitoshi wakafunga kabisa matangazo ya Bunge.

  Nawashukuru ITV, kwani katika taarifa ya leo Ya saa tano Usiku, wameonyesha full drama ilivyokua.

  TBC ni Wazugaji tu.
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 24,077
  Likes Received: 11,447
  Trophy Points: 280
  umeona ee .ila nji hii kWA HILA,WANAWEZA KUMFANYIA VISA MZEE MENGI.ILA TBC NI JANGA LA TAIFA,NI CHOMBO CHA MTU BINAFSI OR?
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2013
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Cha ccm. Hukumbuki mkataba wa tido mhando na mizengwe ya ccm?
   
 4. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2013
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata Star Tv wamejitahidi sana kuonyesha mambo yalivyokuwa
   
 5. mcubic

  mcubic JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2013
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 10,013
  Likes Received: 3,899
  Trophy Points: 280
  vp kikanuni Ndugai yuko sahihi ama? tujuzeni kabla mama "thank u very much" hajatoa muongozo leo.
   
 6. z

  zinj JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 791
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Mkuu mcubic
  Mh. Ndugai amekiri kumruhusu Mh. Lissu kusimama na kuomba mwongozo wa spika kwa Mara 10.

  Kulingana na kanuni za Bunge, hazijaeleza ukomo wa mbunge kusimama na kuomba mwongozo wa spika.

  Kwa kuzingatia Hilo Mh. Job Ndugai hayuko sahihi ni vyema angetumia busara ya kawaida, kuliko kutoa uamuzi huo alio ufanya.
   
 7. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2013
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,082
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  ni chombo cha sisiemu wanafanya wanayoambiwa na nape
   
 8. c

  chicotton Member

  #8
  Apr 19, 2013
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC NI MAMBUxxxxxx la wanafadhiliwa na serikali na NI kituo cha serikali ndio maana wako kwa maslah YA ccm na kamwe hawawezi kuja kuonesha habari zinazoichana gvt, angalia campaign ZA CHADEMA M4C, linj walishaoneshaga?
   
 9. delusions

  delusions JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 4,840
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Kwa mslahi y taifa big up
   
 10. c

  chicotton Member

  #10
  Apr 19, 2013
  Joined: Feb 14, 2013
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza mbunge hawezi kufungiwa kuingia bungeni siku tano, anatakiwa kutolewa kikao kimoja tuu hapo Ndungai kateleza, pili kuomba muongozo hakujaainisha kila mbunge aombe mwongozo Mar moja AU tatu, NI kwa kadiri YA aonavyo mbunge kuwa kunahitaji muongozo, alafu wale waliotukana F......ck you, kuna watu wamebeba mimba zisizotarajiwa na siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa walitakiwa kuwa wakwanza kuwajibishwa lakn labda NI KWAKUA wanatoka ccm, kama Ndungai angeanza na hawa kusingekua na lawama
   
 11. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #11
  Apr 19, 2013
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  ITV the super bland number one Tanzania.
   
 12. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2013
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,058
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  Mi sjaelewa pale Nchemba anapoomba watanzania wamwombee ana jambo kubwa la kuuliweka hadharani, kwa awazo yng naona ile n defence mechanism tu hana lolote la kuliweka hadharani isipouwa anataka ku-draw attentiion ya watanzania ili waache k-concetrate na hali ilivyoo sasa huku wakisubiri hilo kubwa analolizungumzia nchemba!
   
 13. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2013
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,127
  Likes Received: 1,786
  Trophy Points: 280
  Hivi bado una imani na TBC...? Mpaka unaangalia. Ile ishashikwa na CCM inalinda maslahi yao
   
 14. N

  Nduimana New Member

  #14
  Apr 19, 2013
  Joined: Apr 9, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC walfcha mengi lkn kupitia kituo bora jana tumeona kila kitu big up ITV
  T-Tv
  B-Binafsi kwa
  C-ccm
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  Apr 19, 2013
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
 16. s

  seremi Senior Member

  #16
  Apr 19, 2013
  Joined: Mar 19, 2013
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakini si kodi zetu zinanunua na kuendesha tbc? Bila kuangalia itikadi ya mtu sote tunalipa kodi! Shame on them.
   
 17. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mkuu,
  Hana cha maana huyu na ni miongoni mwa watu hatari sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Yeye ni chama tu na hana uchungu na waTZ wanaotaabika kwa maisha magumu yanayosababishwa na chama chake cha wezi.
   
 18. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2013
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,541
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Haka katafsiri kamekaa vizuri.. Ndio maana mimi nimesahau hata inapatikana katika masafa gani, mimi na ITV, STAR TV & Channel Ten...
   
 19. WaKatende

  WaKatende Senior Member

  #19
  Apr 19, 2013
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TBC inafanya kaz kw maslahi ya chichiemu. Hata kwny kampn za cdm huwa wanaoneshga anaeongea na sio umat wa wa2
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,627
  Likes Received: 16,018
  Trophy Points: 280
  Hamna haja ya kuangalia TV B-w-e-g-e ya CCM (TBC)
   
Loading...