Recent content by Chezamomo

  1. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania NMB Bank mmelewa sifa, mjingalie sana

    Roma mkatoriki aliwaambiaga.. hamkumsikia katika wimbo wake wa Mathematics..
  2. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuunganishwa na wadau mbalimbali wa masuala ya muziki

    Ngoja nimpigie mika mwamba..
  3. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Uganda Lady Mariamu yuko wapi?

    Sio mganda ni mnyankole kama ni myanda alipewa uraia..
  4. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya masharti ya STATUS ya Lissu nchini Ubelgiji

    Huwezi kuhua hivi hivi,!! Hivi hujui Kuna watu wanaangaika kuua kunguni?? Hata mbu kuua si Jambo la kawaida !!
  5. Chezamomo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

    Me nipo hapa fudi kaniagiza nikachukue "Rejeta""Sasa Niko njiani kuchukua 'Radiator"
  6. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Ipi gari yenye thamani zaidi kwa sasa

    Me naona ya kwangu Toyota GX 100 ndo gari ghali ,kwa sababu hata mabilionea wa hapa Tanzania wanashindwa kununua..
  7. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki anafanya nini Marekani?

    Ila Kuna watu wasahaulifu, katika wimbo wake wa "Mathematics" si alisema??..je kutaka kwenda Zimbabwe??.
  8. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki anafanya nini Marekani?

    Ba Bandugu bwaga manyanga, hayaokote Magufuli,..
  9. Chezamomo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HARMONIZE ATOA KIJIMBE INSTAGRAM.

    Na wewe acha "USHAMBA" .. kutuambia vitu vya kishamba...
  10. Chezamomo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yamtimua Kocha

    Sawa kwani Kuna shida??
  11. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa rushwa ya Tsh. 10 milioni Arusha akamatisha mwingine

    Tena story ya kusisimua..
  12. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti hifadhi ya Burigi

    Hakuna pori linaitwa biharamuro.. Pori linaitwa Kasindaga game reserve Ila lipo biharamuro..
  13. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

    Mnashindwa kutofautisha kati ya pancriatican juice .. na bile juice.. na location zake..
  14. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Hivi mnataja kabira au mkoa??!
  15. Chezamomo

    JamiiForums Tanzania Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Usiseme Ben pol.. sisi huku tunamjua Kama Bernardo Paulo..
Back
Top Bottom