Roma Mkatoliki anafanya nini Marekani?

Mkuu hizo kwa wenzetu ni kazi za maana pia, sema kwa Bongo tu ndio mtu akifanya kazi ya ulinzi ndio anaonekana kachoka. Lakini wabeba box wa mbele Bongo wana mijengo ya maana wewe unaewadharau hauna.
Saaana tu. Na mshahara,mrefu tu kama wa mbunge huku

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Kabisa mimi niliona mfanya usafi wa shuleni huko mbele anamiliki benzi. Anakwenda kazini kwa usafiri wake,anamiliki mjengo wake,hapa Tanzania hata Dr wa binadamu hana.
Mkuu hizo kwa wenzetu ni kazi za maana pia, sema kwa Bongo tu ndio mtu akifanya kazi ya ulinzi ndio anaonekana kachoka. Lakini wabeba box wa mbele Bongo wana mijengo ya maana wewe unaewadharau hauna.
Tatizo kwa Tanzania mfanyaji wa hizo kazi huwa anajifunza kuanza kuidharau kabla hata hajaipata. Heshima ya kazi yoyote ile duniani hujengwa na kubebwa na anayeifanya.
 
Kabisa mimi niliona mfanya usafi wa shuleni huko mbele anamiliki benzi. Anakwenda kazini kwa usafiri wake,anamiliki mjengo wake,hapa Tanzania hata Dr wa binadamu hana.

Ukiona mtu anaandika hadharani hapa kubeza hizo kazi tambua yafuatayo kwanza ni maskini, au yupo yupo hana michongo ya maana au kaathirika na white color jobs ambazo yeye anadhani kwenda umechomekea kazini ndio mafanikio asikumbuke kua yeye saving yake kwa mwaka hata dollar 500 hafikishi zaidi atamaliza mwaka na madeni na kuanza na madeni, hakuna tajiri au mtu aliefanikiwa anaejua hustle anaeweza kudharau kazi ya mtu kama hawa watoto.
 
Sidhani Kama ana proffesional skills na uzoefu kufanya kazi ya maana kule. Kazi anazofanya zitakuwa ni usafi, kutunza wazee, kubeba mabox, Ulinzi etc...

Wewe utakua muhusudu vyeti vya shule wakati wenzako walishatoka huko kitambo wanaangalia unaweza kufanya nini kwa ufanisi, tena usichokumbuka hivo vyeti ulivyonavo hapo ndani havina dhamana yoyote ile hapa duniani maana sina hakika kama unajua walioendelea wako kwenye talent based education na academic specialization, wakati huo wewe wa dunia ya tatu bado unasoma masomo kumi history na physics humo humo na mnasoma historia ya masomo ya sayansi na ndio mnakuja kufundishwa maigizo ya practical wiki mbili za mwisho ndio maana wasomi wengi Tanzania japo sio wote hata kujiamini tu ni zero. Badilika
 
Sidhani Kama ana proffesional skills na uzoefu kufanya kazi ya maana kule. Kazi anazofanya zitakuwa ni usafi, kutunza wazee, kubeba mabox, Ulinzi etc...
Hizo kazi zinalipa vizuri kuliko hata huzi professional takataka kwabhapa kwetu

Kama mtu analipwa Tsh 10,000 kwa saa, huku hiyo hela unalipwa baada ya kutumikishwa kazi siku nzima.
 
Ila Kuna watu wasahaulifu, katika wimbo wake wa "Mathematics" si alisema??..je kutaka kwenda Zimbabwe??.
 
Huyu jamaa toka atekwe na kuachiwa kwa masharti akaona isiwe taabu akaamua kukimbilia zake Marekani mpaka leo huku nyuma akiiacha familia yake Tanzania.

Kumekuwepo na tetesi mtaani kuwa Roma anaishi Marekani kama mkimbizi wa kisiasa!

Je tetesi hizi ukweli upoje? Kama sio kweli Roma anafanya shughuli gani huko kwa Trump?
Anafanya mziki bana na wadau wakubwa wa kule , eti ni mkimbizi wa kisiasa , ivi roma anaonekana mwanasiasa eti, au msanii anae wakilisha jamii kwa mpande wa siasa sometimes? mwenye majibu
 
Kabisa mimi niliona mfanya usafi wa shuleni huko mbele anamiliki benzi. Anakwenda kazini kwa usafiri wake,anamiliki mjengo wake,hapa Tanzania hata Dr wa binadamu hana.
Kwa wastani huko wanalipwa around dola 3000 per month roughly

Dolla 100 kwa siku na unweza kuta ana kazi mbili au tatu

Hizo Ni around milioni 7 kibongo bongo

Ukija bongo MD analipwa 1.5m after makato anaambulia 850-900k

Masikini ya ulaya sio sawa na masikini ya TZ
 
Huyu jamaa toka atekwe na kuachiwa kwa masharti akaona isiwe taabu akaamua kukimbilia zake Marekani mpaka leo huku nyuma akiiacha familia yake Tanzania.

Kumekuwepo na tetesi mtaani kuwa Roma anaishi Marekani kama mkimbizi wa kisiasa!

Je tetesi hizi ukweli upoje? Kama sio kweli Roma anafanya shughuli gani huko kwa Trump?

Rama Mkatoliki ni project ya mabeberu yupo America anakua trained katika masuala ya siasa za kipinzani na mrengo wa kushoto....akirudi hapa anaanza harakati kama Bobi Wine....mabeberu wamegundua kutumia vijana wana mziki watapata kundi kubwa sana la vijana nyuma yao.
 
Sidhani Kama ana proffesional skills na uzoefu kufanya kazi ya maana kule. Kazi anazofanya zitakuwa ni usafi, kutunza wazee, kubeba mabox, Ulinzi etc...
Ana degree ya education dogo acha dharau
 
Back
Top Bottom