Recent content by Chenge

  1. Chenge

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ajali iliyotokea Arusha leo ndio niliyoiota

    Kwa hiyo wewe ndo maharage ya ukweni?
  2. Chenge

    JamiiForums Tanzania Karibuni Tujenge Dodoma

    Kwa sasa hizi bei huwezi kupata wateja. Dodoma ya sasa hakuna tena inflow ya wafanyakazi wanaohamia na waliohamia mostly walishanunua. In few years to come biashara ya nyumba za kupanga Dodoma itakuwa ni hasara tupu.
  3. Chenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

    Nipe namba ya mke wake nimalize mchezo
  4. Chenge

    JamiiForums Tanzania Importation ya Gari-Exemption ya Kodi kwa Wafanyakazi wa Serikali

    Huu utaratibu bado upo?
  5. Chenge

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Mtaalam gari ya automatic kukosa nguvu wakati wa kupanda mlima, shida ni nini?
  6. Chenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Orodha ya simu za 4G za android zenye RAM kuanzia 3GB pamoja na betri kuanzia 5000mAh.

    Hizo aina za simu mbona sijawahi kuziona zinapatikana katika maduka gani?
  7. Chenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video mpya ya Harmorapa: Kiboko ya mabishoo

    Dogo katisha sana!
  8. Chenge

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa leo ndio uchaguzi....Hali ingekuwaje...CCM?

    Ingekua mbende mbende kifo cha mende.......
  9. Chenge

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Ingekuwa hivyo watendaji wa Serikali tusingewaona mahakamani wakishtakiwa na kesi mbali mbali
  10. Chenge

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Hapo sasa. Sioni kama kuna mwendelezo wa kesi zaidi ya maombi kutupwa
  11. Chenge

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

    Natabiri hilo ombi siku ya ijumaa mchana litatupiliwa mbali na akitoka nje atakutana na vijana wakimsubiri ambapo itabidi akahifadhiwe hadi J3
  12. Chenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: External HD inaandika Format kila nikiiweka kwenye PC

    Sotware naona ndo itakuwa rahisi zaidi. Nipe link nidownload hiyo software
  13. Chenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: External HD inaandika Format kila nikiiweka kwenye PC

    Flash disk ikiwa na format ya RAW unafanyaje kui recover?
  14. Chenge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: External HD inaandika Format kila nikiiweka kwenye PC

    Possibly ilichomolewa bila kufuata utaratibu hivyo hata ukiformat haitakubali
Back
Top Bottom