Ingekuwa leo ndio uchaguzi....Hali ingekuwaje...CCM?

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
174
Wana Jf,

Mimi sina maneno mengi....lakini kutokana na Sizonje toka aingie madarakani na zile ahadi zake lukuki lakini utekelezaji wake ulivyo na matendo yake jumlisha na kauli zake chafuuu kwa waliomchagua.......JE LEO WANGESIMAMA NA HUYU JAMAA hali ingekuwaje.......?

Naomba angalia huu umati wa watu......halafu linganisha na matarajio feki aliyohaidi Sizonje...!

UNAFIKIRIA SIZONJE AKIONA HII CLIP ATALALA USINGIZI KWELI......??
 
hahah heeeh ivi we unawajua nyumbu ww yani wangesahau kama wanafukuzwa na simba wangeanza kurudi kule kule siku ya kupiga kula
 
Nyumbu mna kazi kweli, mnasahau haraka sana - Juzi tu mmetoka kupigwa kata 20 CCM kwa 1, mshasahau ?
 
Wana Jf,

Mimi sina maneno mengi....lakini kutokana na Sizonje toka aingie madarakani na zile ahadi zake lukuki lakini utekelezaji wake ulivyo na matendo yake jumlisha na kauli zake chafuuu kwa waliomchagua.......JE LEO WANGESIMAMA NA HUYU JAMAA hali ingekuwaje.......?

Naomba angalia huu umati wa watu......halafu linganisha na matarajio feki aliyohaidi Sizonje...!

UNAFIKIRIA SIZONJE AKIONA HII CLIP ATALALA USINGIZI KWELI......??

Kwani ni clip ya kwanza hapa tz?
 
Juzi kati si mmenyukwa kata 20 kwa 1? Au ni kenya ?

Mbona chadema mnajidanganya, juz hazijapita hata wiki 2 Kasulu uchaguzi mdogo , ktk kata 4 , ccm imekomba kata zote

Watanzania hawawezi kuwakabidhi nchi chadema, ninyi ni wapiga dili tu.
 
CCM haiwezi kuondoka madarakani kama upinzani kutwa wanashinda kutetea ujinga,wizi,ufisadi,ukahaba,ushoga,kesi za ajabu ajabu ili mradi watrend tu kwa vitu vya ajabu ajabu!!
Badilisheni sera zenu bila hivo itachukua karne ccm kuondoka,trust me!!
 
Wana Jf,

Mimi sina maneno mengi....lakini kutokana na Sizonje toka aingie madarakani na zile ahadi zake lukuki lakini utekelezaji wake ulivyo na matendo yake jumlisha na kauli zake chafuuu kwa waliomchagua.......JE LEO WANGESIMAMA NA HUYU JAMAA hali ingekuwaje.......?

Naomba angalia huu umati wa watu......halafu linganisha na matarajio feki aliyohaidi Sizonje...!

UNAFIKIRIA SIZONJE AKIONA HII CLIP ATALALA USINGIZI KWELI......??

Ni heri ya Huyo unayemkataa kuliko ..........
 
Kwani uchaguzi wa madiwani na jimbo moja la ubunge haviwezi kuwa ni tadhimini tosha ya kama uchaguzi ukifanyika leo nani ataibuka kidedea?
 
Kwa jinsi hali ilivyo usipoteze hata muda wako kuwaza Magufuli(CCM) angepata ushindi wa kishindo upinzani wanakazi ya ziada kuweka siasa za ukanda pembeni plus ulutherani...CCM lazima wajipigie nje ndani upinzani lazima wataendelea kulalamika tu wameonewa makelele hayo hayo kila siku mpaka tumeshayachoka.
 
IKIFIKA 2020 CCM ITASHINDA TUU KAMA ILIVYOSHINDA KATA 20 NA CHADEMA KATA 1.

KWAIYO KAMA WEWE MPENDA CHADEMA NI BORA ULALE NYUMBANI KULIKO KWENDA KUIPIGIA KURA
CHADEMA UNAPOTEZA MUDA WAKO BURE
 
Back
Top Bottom