Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

Ningefurahi sana kama Mahakama ingetoa amri ya kuwakata na kuwafikisha mahakamani kwa nguvu wale ambao wameshindwa kutii wito wa kufika mahakamani. Hiyo ingetoa fundisho la umuhimu wa kila mtu kuheshimu na kufuata sheria na taratibu za nchi.
 
Kumbe mahakama zetu zikiachwa huru huwa zinatoa maamuzi sahihi bila kuegemea upande wowote
 
Wewe ni msemaji wa upande huo?

Any way,

Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache


Mfano,


Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?


Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu

Hazina faida!


Kama Hapa ni kazi Tu,

Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!


HAMTANIELEWA!
Mkuu hii haijakupata wewe, unadhani ukikosewa na kudharirishwa hiyo kazi itafanyika. Labda km unaona kusikiliza na kufuatilia hizi habari ndo kupoteza muda fumba macho na masikio
 
Hichi ndicho nilichotegemea kutoka serikali hii. Lakini yenyewe ndio imekuwa kipaumbele kufanya siasa za media ambazo hazitufaidishi chochote.

Mkutano wa hadhara unaanza kuita watumishi mbele kuwahoji halafu unawatukana na kuwadhalilisha. Kwanini usifanye kazi matokeo yaonekane???

Yako mambo ya msingi nchi hii hatujafocus huko. Ni aibu vyombo vyote vya habari kujadili kukamatwa kwa Wema Sepetu. Kujadili kuitwa kwa mashoga. There are faaaaaaar more important things havizungumziwi. Ndio hasara ya siasa za kiafrika. Wakati haya yote yanatokea:

1.Dola imeimarika zaidi dhidi ya shilingi ndani ya mwezi mmoja tu (2200 to 2243).

2. Mfumuko wa bei ya vyakula umetoka 5.9% mpaka 8.3% kwa January peke yake.

3. Tatizo la ukosefu wa ajira hatujaona a serious step taken by government so far. Kwanini unapopanda jukwaani usiaddress vitu kama hivi wewe kama Kiongozi?

Serikali hii imeajiri wataalamu wengi sana kwenye Wizara lakini haiwaachi wafanye kazi yao. Fananisha hotuba ya Commissioner mpya wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya na zile hotuba za Makonda (aluzishindwa kutofautisha kati ya GPS na GPRS). Huyu commissioner anafahamu anachofanya kwa kua ni field yake. Viongozi hawa wa kisiasa hata kwa serikali hii bado ni vikwazo kwa wataalamu na wasomi b'se wanataka wafanye wanayotaka wao hata linapokuwa jambo la kitaalam (mfano rais kusema mawakili wanaotetea wahalifu nao wawekwe ndani).

Ifike mahali hii hapa kazi tu ireflect kwenye jamii. Viongozi jengeni umoja wa wananchi. Tupende taifa letu na tufanye kazi kwa bidii.
Tuna Rais ambaye uwezo wa kufanya taifa letu kuwa hivyo anao mkubwa sana. Akikubali tu ushauri huu.
bro, tuna Rais bastard kuwahi kutokea. huo uwezo mkubwa unaosema haupo. Nchi hii inakufa na hakuna anayejitahidi kuinusuru. tunakwenda kubaya sana na chakushangaza, watu wako kimya as good as dead
 
Mahakama imetenda haki eenh?

Mpaka


Tundu Lissu amekua Msaada Mkubwa kwa Mbowe aliyekua Kakamatwa Jana akiwa Mafichoni kwa tuhuma za Biashara ya Mihadarati. Mbowe alienda kufungua shauri Mahakamani akiwa na Wakili wa Mahakama Kuu Tundu Lissu.


Na utanyooka tu,kiboko yenu Lissu ndiyo anayemtetea.Mjiongoze tu.Heshimuni KATIBA,acheni ushenzi wa kutumia madaraka yenu vibaya
 
Na utanyooka tu TEJA la MADARAKA.Na baada ya hili subiri akina Manji nyuma na Gwajima lazima ukaseme poo Bungeni
BABA GWAJIMA endeleza kusoma mpaka kieleweke... SIZONJE ndio somo linamhusu zaidi
 
Naona hizi sheria zipo zidi ya ukawa tu wengine hawatakiwi kuzifuata.
Hizi njaa hizi mradi familia iende chooni.
 
tumetoka kwenye madawa ya kulevyesha sasa tumeingia kwenye kupindisha sharia

nasubiria epsodes no.7 itakuwaje nayo
 
Back
Top Bottom