Orodha ya simu za 4G za android zenye RAM kuanzia 3GB pamoja na betri kuanzia 5000mAh.

Hizo aina za simu mbona sijawahi kuziona zinapatikana katika maduka gani?
 
Kuna jamaa ana LG G5 anataka kuniuzia Kwa laki 4 za kitanzania.
Vipi hiyo bei wadau?
 
Nipe maujanja ya kung'amua kama ni mchina au la.

unaeka app ya kuangalia soc (processor), app maarufu ni cpu-z

ingia playstore halafu download hio cpu z then ifungue, ikikuonesha soc yake ni snapdragon 820 then hio ni original ikionesha ni mediatek jua ni mchina.

au kwa uhakika zaidi tuma screenshot ya cpu z ukiifungua kwenye hio simu hapa ili uangaliziwe zaidi.
 
Ha ha haa ukiangalia kwa haraka haraka simu nyingi za kichina hizi ambazo ukisema 4GB RAM ni kama 1GB ya Apple Iphone ....

 
Hizo aina za simu mbona sijawahi kuziona zinapatikana katika maduka gani?
Ukizunguka kariakoo unaweza kuzipata, pia kuna baadhi ya simu kama Gionee zinapatakina maduka ya mtandao wa Smart Tanzania.
 
tecno haipo ???
Kwa sasa hamna hata TECNO moja ya 4G yenye 3GB RAM na betri kuanzia 5000mAh, labda tusubiri hizi za L9 na L9 Plus, huenda mojawapo ikawa na 4G, 3GB RAM na betri la 5000mAh, mojawapo ikiwa na sifa kama za hapo juu, basi tutaiweka kwenye list.
 
Back
Top Bottom