Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura

Mahakama Kuu Dar es Salaam imetoa zuio la muda la kutokukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe hadi hapo maombi ya msingi yatakaposikilizwa.

SOURCE: ITV TANZANIA
 
Ujumbe kwa Sirro.
Leo Mahakama imetoa Maamuzi ya muda kwamba Mbowe asikamatwe hadi Ijumaa saa saba Mchana baada ya Maombi yake kusikilizwa, kama wataamua wasimkamate mpaka kesi ya Msingi itakaposikilizwa au la.
 
Kiu Taratibu hapo Mwanasheria wa Serikali ndio ata wa Wakilisha

Sababu hayo matendo walitenda muda wa kazi
Ingekuwa hivyo watendaji wa Serikali tusingewaona mahakamani wakishtakiwa na kesi mbali mbali
 
Tatizo la kesi hii ni kuanza kuifungua kwa kutaja majina ya hao viongozi huku kulalamikia majukumu yao ya kikazi ambayo yako katika tittle zao kikazi ndiyo maana maana walikataa kusaini barua za wito.

Na mashitaka yenyewe yanahusu majukumu yao kikatiba ndiyo maana Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameenda Mahakamani.

Ngoja tusubiri tuone kesi itaendeleaje na kama Taifa tutapata faida katika hii kesi.

lets wait and see
 
Tatizo la kesi hii ni kuanza kuifungua kwa kutaja majina ya hao viongozi huku kulalamikia majukumu yao ya kikazi ambayo yako katika tittle zao kikazi ndiyo maana maana walikataa kusaini barua za wito.

Na mashitaka yenyewe yanahusu majukumu yao kikatiba ndiyo maana Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameenda Mahakamani.

Ngoja tusubiri tuone kesi itaendeleaje na kama Taifa tutapata faida katika hii kesi.

lets wait and see

Hakuna sheria ianyosema ukitekeleza majukumu yako ya kazi basi uvunje Katiba na Sheria walizoapa kuzilinda.Labda kama huko CCM
 
Makonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
Hata kwa kesi binafsi kweli Hapa kazi tu. Kwa hiyo mambo binafsi ukiwa kiongozi wa serikali inabidi gharama ziwe juu ya serikali ni Tanzania pekee
 
Wewe utakuwa na matatizo. Polisi wanafanya lipi lenye tija? Unafikiri usipoenda mahakamani ndio utafanya mambo yenye tija?

Wewe ni msemaji wa upande huo?

Any way,

Kesi kama hizi ni kama kupoteza nguvukazi za watu (kodi) kwa faida ya wachache


Mfano,


Hii kesi inaweza kuzalisha chochote cha manufaa zaidi ya kumtoa mshindi ambaye hata hivyo sio wote watakubali ameshinda?


Tunahitaji kuachana na hizi siasa, REAL Tunaichelewesha Tanzania bila sababu

Hazina faida!


Kama Hapa ni kazi Tu,

Zifanyike kazi physical, Sio illusions ambazo zinakula TIME!


HAMTANIELEWA!
 
Hata kwa kesi binafsi kweli Hapa kazi tu. Kwa hiyo mambo binafsi ukiwa kiongozi wa serikali inabidi gharama ziwe juu ya serikali ni Tanzania pekee

Waache wa enjoy ride kwanza ngoja wakianza kuulizwa maswali ndipo watakoma,na vile Mahakimu nao wamewachoka ndipo watakapojua nini maana ya kutii KATIBA
 
Makonda, Sirro na Wambura hawawezi kuacha kazi za kitaifa wakashinda mahakamani. Wataenda mawakili wa Serikali tu kwani washtakiwa no watumishi na walikuwq wqnatekeleza majukumu ya Jamhuri
mkuu mahakama inapokuita kujibu tuhuma unatakiwa uende na sio utume mawakili,kwani anayeshtakiwa ni wakili wa serikali,ACHA mkuu,tatzio sheria Za Tanzania ni fake fake tu na masrah kwa wakubwa,hebu mtu wa kawaida puuza uone kama haujakaa sero miez sita bila dhamana,UONEVU SANA NCHI ZETU ZA AFRICA,HAKUNA HAKI,HAKI IKO KWA MWENYE PESA NA UWEZO KAMA UWEZO WAKO MDOGO BASI UJUE HAKI YAKO ITAGEUKA KUKUJERUH,WE NEED CHANGE,MIFUMO MIZIMO,ANGALIA HATA MAJESHI YETU YANAVYOKIUKA KATIBA NA SHERIA NA NGUVU KUBWA KWA RAIA WAKE,HAKUNA HAKI,WAKIKUKAMATA WANAKUFANYIA DHIHAKA NA UONEVU SANA,INAUMA SANA,TUFIKILIE MBALI WATANZANIA,HIZ MAMBO ZA USHABIK WA MTU AU CHAMA TUWEKE PEMBENI TUSIMAME SISI KWA PAMOJA,NCHI YETU INAHITAJI MABADILIKO KATIKA KATIBA NA SHERIA,SHERIA ZILE AMBAZO WAKOLONI WALIKUWA WANATUMIA KUTUBANA WAAFRICA NDIZO HIZO ASILIMIA KUBWA TUNATUMIA KUJINYANYASIA WENYEWE

ARISE TANZANIA,
 
Makonda Naomba usiende Mahakamani
Hii ni vita
Lazima watokee watu kukupinga
Fanya Kwa kumtanguliza mwenyezi mungu mbele
Utalipwa na Mwenyeziungu

Na avatar yako ilivo, sio wewe ulisema wanaompinga makonda Kimpango wao, bampa to bampa... Yule dada mwenye rehab centre kigamboni??

Awe mfano wa kuigwa atii sheria Bila shuruti.
 
Ujumbe kwa Sirro.
Leo Mahakama imetoa Maamuzi ya muda kwamba Mbowe asikamatwe hadi Ijumaa saa saba Mchana baada ya Maombi yake kusikilizwa, kama wataamua wasimkamate mpaka kesi ya Msingi itakaposikilizwa au la.
Francis12: kuchelewesha ufumbuzi wa tatizo siyo utatuzi wake.
 
Nilitegemea HAMTANIELEWA

so at least umepata kitu

THINK OUT OF CHADEMA AND CCM Tanzania!

Think about REAL LAWS!

Is this the CORRECT WAY?

HAMTANIELEWA!
You fake girl let me briefly enlighten you so that you stop your naïve rhetoric.
First every one has the right to free access to the courts for a remedy as recognized by the Constitution in Articles 13 (1), (3), (6) and 30(3). The right to be heard includes the right to have free access to the Courts for a remedy.
Secondly, the requirement of any government fiat before one could sue the government in s. 6 of the Government Proceedings Act is unconstitutional and void as it deprived an individual the right of free access to the courts. Read some cases you will get some lights
It is well set up that any statute that infringes the basic human rights is not void if the Republic proves that it is in public interest and makes adequate safeguards against arbitrary decisions as well as compliant with the doctrine of proportionality or reasonableness. But The Makonda and Siro style of calling and accusing people through public and media does not that principle of proportionality or reasonableness and in that case their procedures serve the ends of justice .
Also their procedure and style it offended the doctrine of proportionality in that it was so broad such that it is like accused at the same time made conclusion to public to believe that they are criminals. The Makonda and Siro style and procedure is therefore void and unconstitutional.
Therefore Mbowe has the right to constitutionally seek remedy for his name being tarnished and defamed.
 
Back
Top Bottom