Recent content by chelsea

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada:Good India State Universities with Civil engineering

    Check na hii osmania university,ipo hyderabad city,AP state,life sio expensive sana,kawaida na ni chuo kizuri ,ila uwe umefaulu form six vizuri,wapo makini na marks za form six,div1 na 2 wanachukua Div.3forget!! Just google,osmania university!all da best!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mpemba Akitongoza

    Asante saaaana X-Paster!!Upo juu kama nyota!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Why are the Nobel Prizes always given out on the 10th of December

    Obama hana mda mrefu madarakani, mabadiliko makubwa hayawezi kuonekana sasa, kwenye hiyo tuzo watakuwa wamezingatia sana approach yake katika uongozi.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Why are the Nobel Prizes always given out on the 10th of December

    hapo tujifunze nini sisi watz, Nyerere walimbania, hizo ni ngumu sana kwa kupata ukiwa kwenye hizi nchi zetu maskini
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je wanafunzi wenye mimba wakubaliwe darasani

    sasa hao watoto si watachochewa kufanya ngono, kama watakuwa na uhakika wa kuingia darasani na matumbo yao
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wasomi waamua kumuanika Makamba

    umenena mkuu hapo juu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamasika ajitosa kuwania ubunge

    kila mtu ana uhuru wa kuingia kwenye politics but we need action sio promise za maisha bora kila siku
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kupima Ukimwi sasa ni nyumba kwa nyumba

    wenye mabaa na wamiliki wa biashara nyingine waache kutumia mapenzi kama kigezo cha kuwapa kazi wadada zetu
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kombe la Cecafa Senior Challenge 2009

    Mungu ibariki tanzania.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi TRL wakubali kurejea kazin

    uongozi upunguze ubabe na ujali wafanyakazi
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ex-GF kajitangaza anao, napata kero vibaya

    Polesana kaka,usijali May God bless u uwe na majibu negative
Back
Top Bottom