Amani ya Sustainer Of the Worlds iwe kwenu:
Naomba msaada wa majina na /au websites za India State Universities good in Civil Engineering.Mambo mengine ya kuzingatia ni hali ya maisha ya mji chuo kilipo;Amani,unafuu wa maisha,usafi,suitable kwa kuchapa misuli,accessibility etc.
Natanguliza shukran zangu za dhati.
Peace
Qadhi.