Recent content by Chebyshev

  1. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Ukweli kuhusu Qnet na hii nmekuja kujua baada ya rafiki yangu wa karibu ambae nlkuwa namchukulia kama ndugu kunilaghai na kuniingiza kwnye hayo matatizo. Nasikitika nlimuamini sana rafiki yangu na hiyo kitu ikaja kunicost. Qnet ni matapeli sana, they will tell you everything ili uingie kwnye...
  2. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Queen of South season 2

    Hii series ni kali sana. Nimeangalia season 1 na 2. Moja kati ya series kali kwa kipindi hiki
  3. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Kuna Majogoo wa Jirani wanawika Saa 6 hii ya usiku je ni Majogoo kweli au ndiyo wale Ndugu zetu?

    Inawezekana ndio mkuu, especially kama hayo majogoo yakiwa yakizungu.. hayanaga formula za kuwika.
  4. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    A Walk To Remember The Chance Notebook When Harry Met Sally Love Actually Dear John P.S I Love You
  5. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    A Walk To Remember
  6. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Tukio lililo mtoa machozi

    Story inasikitisha ila nimeisoma kwa shida sana. Kama wewe ndo umehitimu chuo kikuu na uandishi wako ndo huu, napata mashaka.
  7. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Wadada mnapofulia huwa mnatumia mbinu Gani?

    Daah we acha tu, now imebaki historia. ile ndo ilikuwa Milan yenyewe
  8. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Wadada mnapofulia huwa mnatumia mbinu Gani?

    Shida na mateso kaumbiwa mtoto wa kiume.
  9. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kampuni nzuri ya bima za Magari ambao siyo wasumbufu

    Mkuu sorry kidogo... hivi SANLAM before ilikuwa sio African Life?
  10. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unawala sana nini mkuu?
  11. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Kijana pole sana, ila bado hujachelewa.. unaweza kubadili mtazamo na kumrudua muumba wako kwa toba. Wewe kuendelea kuwa hai licha ya maovu yako yote huwez juwa Mungu ana kusudi gani na wewe. It's never too late
  12. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Na mvua hizi, mwendo wa muvi tuu hamna kutoka nje...!!!

    Ma_gape live
  13. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania msaada gharama za hostel udsm.........

    Kaka kwa main campus ni sh 800 per day na mabibo ni sh 500 per day NB: washapanga tayar majna ya accomadation xo jicheki ili ujue umepata wapi
  14. Chebyshev

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukokotoa kiasi cha fedha ya Mkopo kuwa %

    Hey ze duduz, nmepata 3,705,500. Ada yangu ni 1,300,000 nmelamba % ngapi hapo?
Back
Top Bottom