No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,774
Wewe mdada mrembo ulikuwa na Ishu zako za maana tu,au ulikuwa na ajira yako ya maana tu Ingawa siku hizi mara chache sana kukuta mdada amefulia sijui kwa sababu ile elimu ya Ujasiriamali imeeleweka sana kwenu! Sasa je ikitokea mambo yameenda kombo, Wenzetu huwa mnatumia mbinu gani kurudi kwenye Mstari.